Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Tunazungumzia mikataba ya madini iliyoingiwa chini ya sheria ya madini iliyopitishwa bungeni kwa hati ya dharula as if tu akimbizana na dunia kabla haijafikia mwisho wake! Sijasema kuna mikataba ambayo haijawa ya siri!!!
Sawa, umezungumzia suala la mikataba ya madini na hapo hapo ukazungumzia suala la mikataba hiyo ya "wakati huo kuwa ya siri" na ndio maana nikahoji ni mikataba ya kipindi kipi haijawahi kuwa ya siri?

Mikataba ni mikataba... iwe ya madini; makinikia or else ni mikataba ambayo tangu enzi hizo na hadi sasa imekuwa ikifanywa siri!!
 
Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo ya ******* kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !

Aliambiwa approach yake sio sahihi, mkawaita wenye mawazo tofauti wasaliti. Mambo ya nchi hayaendeshwi kwa akili ya mtu au kundi moja tuu. Lazima u accommodate challenges ili kujenga uwanja mpana sana wa fikra na hapo ndio tunaweza kusonga mbele pamoja.
LAKINI SIO KWA KILA MWENYE MAWAZO MBADALA unamchukia na kumfanyia visa, hutafika popote kamwe.
 
Paskali leo umeandika bujebuje. Hayo makubaliano yalikuwa ni long term, na utekelezaji wake ni hivyo hivyo. Hivi hujui kuwa miezi mitatu ni negligible kupima utekelezwaji wa substantive long term agreements? JF hakupaswi kuletwa hoja rejareja kutoka Ufipa.
 
Acha kujisahaulisha Ina maana hukusikia kuwa " hizo hela nazitaka mapema kwelikweli"
 
Aliambiwa approach yake sio sahihi, mkawaita wenye mawazo tofauti wasaliti. Mambo ya nchi hayaendeshwi kwa akili ya mtu au kundi moja tuu. Lazima u accommodate challenges ili kujenga uwanja mpana sana wa fikra na hapo ndio tunaweza kusonga mbele pamoja.
LAKINI SIO KWA KILA MWENYE MAWAZO MBADALA unamchukia na kumfanyia visa, hutafika popote kamwe.
Nani alimwambia nani, approach ipi siyokuwa sahihi, na huyo alipendekeza approach gani mbadala iliyokwisha kufanikiwa wapi? Vinginevyo yours is utterly nonsense.
 
Rais hapaswi kulaumiwa kwenye hili na anahitaji kutiwa moyo na watanzania wote bila kuingiza itakadi za vyama. Kwa hakika amepambana lakini kuna sehemu tunakwama, hasa kwenye utaalamu wa mambo haya ya madini na mikataba mibovu ambayo inasimamiwa kimataifa na ilishaingiwa huko nyuma.

Naamini Kinu cha uchenjuaji makinikia kitakua suluhisho la huu wizi wa mchana, rais aendelee kubana hayo mkontena haiwekani muuza korosho ajiendeshe kwa kuuza maganda ya korosho badala ya korosho yenyewe. Tumeibiwa sana.
Anapaswa kulaumiwa maana hataki kusikiliza ushauri anaopewa,anapenda kujitafutia sifa za kijinga kuliko kutumia akili ova
 
Kwanza kabisa mikataba yote ya madini ipelekwe bungeni kama alivyoahidi kwenye kupokea ripoti ya makinikia ya kwanza, na pia zile milioni 50 kwa kila kijiji zitolewe maana ni ahadi ya kwenye kampeni!
mikataba yote si inapitishwa bungeni tena kwa mbwembwe na wale wabunge wetu wa ndiooooooooo"
 
Hakuna malipo nje ya mkataba,
Cha muhimu ni srikali kuweka wazi nikataba ijadiliwe kwa uwazi ili kuondoa au kupunguza mambo ya asilimia kumi. Botswana na Ghana waliweza kutikana na uwazi na uzakendo was mamlaka husika (parliament na rais)
Pia ni lazima wabunge na watz wore tuacge siasa za kubaguana kwa vyama Bali tufanye siasa za hoja kuhusu rasilimali zetu. I
Haiwezekani wabunge wanazomeana kisa tu mcgango umetolewa na mpinzani
Hatustahili/tunastahili kulipwa kutokana na mikataba na si mazungumzo ya kupata public support
Mkuu iyo ishashindikana maana wakienda mbugeni wanapewa maelekezo kutoka juu,wapinzani wanaonekana kama second class citizens na hawastahili kuchangia chochote matokeo yake tunaendelea kupigwa ngumi za usoni
 
Mzee Baba, Paskali ingekuwa vyema ukaandika barua ikulu, tena barua ya wazi kumkumbusha Mkuu kuhusu wadeni wetu Acacia, na nakala imfikie Paramagamba.
Hilo swali lako sisi hatutaweza kulijibu.

Tukasubiri Noah, Noah zikageuka Balimi, sasa Balimi zenyewe ndo hatahatupewi ili mbao zilegee.

Hii ndio TZ ya vi-wonder
Na TZ ndio Poliwood kwenyewe

Mkuu atajibiwa jibu moja tu ki kwao Mayala ni njaa
 
Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo ya ******* kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
Inategemea na namna unavyoshindwa,kama hauko tayari kupokea ushauri wa kitaalamu unatumia kuliko akili,mpaka unaonywa hutaki kusikiliza hatuna budi kuchekwa maana unajifanya mjuaji kwenye mambo usiyoelewa
 
Aliambiwa approach yake sio sahihi, mkawaita wenye mawazo tofauti wasaliti. Mambo ya nchi hayaendeshwi kwa akili ya mtu au kundi moja tuu. Lazima u accommodate challenges ili kujenga uwanja mpana sana wa fikra na hapo ndio tunaweza kusonga mbele pamoja.
LAKINI SIO KWA KILA MWENYE MAWAZO MBADALA unamchukia na kumfanyia visa, hutafika popote kamwe.

Ni nani mwenye mawazo mbadala na anachukiwa na kufanyiwa visa? Isitoshe kwa nini unataka mawazo ya binadamu xyz tu ndiyo yasikilizwe na ya wengine yasisikilizwe? Maamuzi alioyachukuwa Raisi wa nchi siyo yake peke yake bali ni watu ambao wako kumshauri ikiwa ni pmj Baraza la Mawaziri pmj na Bunge kwani baadhi ya Mabadiliko yalipelekwa Bungeni, sasa ni washauri gani wengine wewe ulitaka wasikilizwe?
 
Inategemea na namna unavyoshindwa,kama hauko tayari kupokea ushauri wa kitaalamu unatumia kuliko akili,mpaka unaonywa hutaki kusikiliza hatuna budi kuchekwa maana unajifanya mjuaji kwenye mambo usiyoelewa

Ni ushauri gani wa kitaalamu unaounglea ambao Raisi wa nchi hakuupokea? Tume aliyounda alichukuwa Profesa ktk UDSM wote wa Sayansi, Uchumi na Sheria, hata Profesa Kabudi ambaye ndiye Mtaalamu wa Sheria na Mwalimu mashuhuri wa Sheria TZ alikuwemo kwenye watu waliomshauri Raisi wa nchi, sasa ni ushauri gani mwingine ulitaka Raisi achukuwe?
 
Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo ya ******* kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
Mkuu shida in ccm ndo imeleta umimi,yaani jambo likiwa zuri nila ccm yaani ccm wanabeba credit badala ya credit kupewa watanzania,likiwa baya ndo tunatwishwa mzigo watu wote, kwa mfano hili la acicia watu walijifanya wao ndo wazalendo na wafia nchi hii,MTU yeyote aliyekuwa ama mawazo tofauti au njia toufati na yao ya kulisolve alionekana ni adui na msaliti,Mfano Lissu anaitwa kibaraka cha wanzungu kwa kosa gani? Mimi na elimu Yangu ndogo niliona na kusikia Lissu akitutahadhalisha some possible outcomes juu ya hatua tulizochukua na tunazotaka kuendelea kuchukua dhidi ya Acacia, but nyie wasomi mnaelewa sana hakujari na mkambatiza majina,sas
Ni njia gani hizo ambazo tungepaswa kuchukuwa ambazo msingecheka na kukebehi kama zisingetoa matokeo positive? Nitajie moja tu ambayo ingefanikiwa na msingecheka!
Mbona kama Mh Lissu alisuggest njia sahihi ya kupitia na mh Nape akakazia kwa kusema kuliko na makelele mengi usipuuzi tu maana unaweza ukaokota hata Moja lenye maana but we didn't care
 
Back
Top Bottom