Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Hahaha nafuga kwelikweli, pole ndugu najua haupend ila wote tulimsikia, mi nikajua tutalipwa kesho yake. Kwanza hata wakilipa au wasilipe mimi kodi yangu ntakatwa deile, mshahara wangu utaendelea kukatwa. i dont give a damn, to hell with it. Mtajijua wenyewe mimi napambana mwenyewe huyo jamaa atakaa hapo naye ataachia tu, watakuja wengine and so forth,
Baaada ya povu lote hili naomba nikutakie usiku mwema kesho nina majukumu yatakayo fanya nikatwe kodi yangu ili upatiwe huduma za kijamii za kimagumashi
Pole mkuu,
sumu ya panya ikae mbali nawe maana hizi hasira ulizonazo unaweza jilipua.
 
Nakumbuka siku moja tukiwa ziarani na mkwere nchi fulani bwana mmoja aliuliza "hivi tukiamua kuachana na ununuzi wa madini ya Afrika mtayatumia kufanya nini?"

Swali hili linaungana na kauli yako kuhusu umuhimu wa elimu kwa watu wetu nchi hii inahitaji sana elimu.

Si madini tuuu tuna resources nyingi bado hazijatusaidia.

Pole zake bwana Ngosha anatakiwa apewe elimu shibishi ya the " corporate world"
Ni giza totorooo, tuendelee tu, nchi ya viwanda yaja
 
Ni ushauri gani wa kitaalamu unaounglea ambao Raisi wa nchi hakuupokea? Tume aliyounda alichukuwa Profesa ktk UDSM wote wa Sayansi, Uchumi na Sheria, hata Profesa Kabudi ambaye ndiye Mtaalamu wa Sheria na Mwalimu mashuhuri wa Sheria TZ alikuwemo kwenye watu waliomshauri Raisi wa nchi, sasa ni ushauri gani mwingine ulitaka Raisi achukuwe?

Hao walikuwa wanamshauri au walikuwa wanafanya anavyotaka? Kama kweli walikuwa wanamshauri mbona walishindwa kudhibitisha ile 450tr iliyosemekana tunawadai, baada ya ripoti mbili za tume za makinikia? Halafu taasisi yetu ya kodi ikakokotoa tukapa tunachodai lakini mpaka leo hakuna chochote kilicholipwa? Mbona Lissu alisema kirahisi kwamba shida ni kwenye mikataba? Wakati mikataba ya wizi ya madini inaingiwa huko nyuma hao wataalamu ni yupi aliwahi kuonya kwamba kuna wizi kwenye mikataba hiyo?
 
Dada yenu Mange anasemaje?
Ina maana mlisahau au hamkuelewa kuhusu uwepo wa kikao cha bodi ya barrick kuhusu suala hili?
Unatetea ujinga! Tumepigwa kama mafala ila hatutaki kukubali. Watu wako Kanada wanagonga glass za mvinyo wanacheka!
 
26155952_327208287784774_1002140840820211712_n.jpg
 
Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!
Mpwa, hakuna anayefurahia hii hali the problem, huwa hamtaki kusikiliza upande wa pili! Mnapofanya jambo tayari mnakuwa na majibu yenu mfukoni na mengine yote yanayofuata ni harakati za kutaka kuhalalisha hayo majibu yenu!

Wakitokea watu wa kusema this's not right mtawasemanga kwa maneno ya kashifa na dharau! I believe, hata kupigwa risasi kwa Tundu Lissu kunahusiana sana na suala la makinikia kwa sababu,wote wanaojifanya wazalendo walimuona Tundu Lissu ni msaliti... wakataka kumuua!!

Binafsi, tangu mwanzo nilisema hapa kwamba hatufahamu kabisa ni nini hasa tunadai na hoja yangu ikijielekeza kwenye takwimu za Mruma na zingine zote zilizofuata! Nikaeleza ni namna gani ilivyo ngumu kushinda vita ambayo hufahamu mnapigania nini!

Mkamwaga kejeli na kashfa... tukaitwa wasaliti tunaotetea wazungu! Yaani JF kwa mfano, ikawa ni DHAMBI kubwa kutumia elimu yako kuweka ukweli wa mambo!!

Baada ya kejeli hizo kilichofuata ni Tanzania kuonekana ni taifa la maju'ha pale tulipoitangazia dunia kwamba tunawadai Acacia US$ 190 Billion wakati Market Cap ya Barrick, the largest gold producer duniani haifiki hata $25Billion!

Mkasema tunatumia data za wezi... mkasahau au mkawa hamfahamu kwamba ni data hizo hizo ndizo zinazotumika duniani kote including kwenye masoko makubwa ya hisa na mitaji!! Hii maana yake ni kwamba, kusema Acacia/Barrick walipe US$190 Billion wakati Market Cap yao kwa pamoja haifiki hata US$25 Billion... Barrick watasema wazi hizo takwimu zenu ni irrelevant manake za kwetu zinazotumika na kuwa certified na NYSE ni hizi!

Tanzania tukisema takwimu hizo ni za uongo ina maana tutatakiwa kuithibitishia dunia ni namna gani makinikia ya Acacia peke yake yanavyoweza kuzalisha dhahabu karibu nusu ya dhahabu yote inayozalishwa Australia!
Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!
Hakuna aliyewasubiri mshindwe isipokuwa wenye akili zao walishajua kwamba mmeshindwa from Day 01.

Kwa mfano, Lissu alisema wazi kwamba ukitaka kupambana na haya madude lazima kwanza ujitoe kwenye ile mikataba ya kidunia inayowalinda! Faida za kujitoa ni kwamba unawavunja nguvu na hivyo wanakuwa hawana kwa kukimbilia.

Kinyume chake, msipofanya hivyo jamaa watawapeleka mahakamani!!!

Hadi leo, ikija japo ripoti ya danganya toto kama ile ya US$300 Million out US$190 Billion, mnakimbilia kumkashifu Lissu kwamba mbona hawajaenda basi mahakamani! Yaani, hoja ya msingi kwenu mnaona "wao kwenda mahakamani" na sio kujitoa kwenye hizo mahakama kunafanya wavunjike miguu!!!

Matokoe yake, hadi leo hii hatuna ubavu wa kuchukua maamuzi magumu dhidi yao kwa sababu wateule wanafahamu wakifanya hivyo Acacia wataenda mahakamani!

Sasa hivi hapo mlisubiriwa kushindwa au mlijishindishwa wenyewe since day 01 kwa kuwa too optimistic na kutotaka kusikiliza maoni ya wengine?!

Narudia, as for now, Acacia hawana sababu ya kwenda mahakamani kwa sababu, makinikia bado yapo. Kayataifisheni ndipo mtayakumbuka maneno ya Lissu!
Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo ya ******* kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
AMEJARIBU? Anajaribu wakati anasubiria aje KUFANYA nani?! Hatuna shida ya rais ambae kazi yake ni KUJARIBU bali tunahitahi rais anayetakiwa KUFANYA! Kama kazi ya rais ni KUJARIBU basi hata Le Mutuz anaweza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sababu hakuna asiyeweza kujaribu!
 
Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo ya ******* kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote na kuitwa ,,shithole" !
Mkuu upuuzi wetu mutaendelea kujaribu mpaka lini, hujagundua mpaka leo tatizo lilipo?
Miaka mingapi tangu tupate uhuru mpaka leo USIFANANISHE NA USA waliopata uhuru miaka 200 ilopita
TUJIFANANISHE na JAPANI,ONDONESIA,MALASYIA,KOREA,CHINA
CCM mnajiona ninyi peke yenu ndio mnahaki pekee kuitawala tanzania
Sasa tukija kwenye Mambo ya siasa jinsi Marekani au UK wanavyokabidhiana madaraka vyama tofauti hamtaki mifano hiyo
 
Ok kijana unaonekana unajua kudadavua mambo ila unasumbuliwa na ukurupukaji ambao unatilia shaka elimu yako uliyokariri.
Serikali haijawahi kujadiliana wala kukubaliana kulipana na kampuni ya Acacia Bali ilijadiliana na kampuni ya Barrick kuhusu hayo. Unapotuletea financial report ya Acacia unatuchanganya na upupu wako. Na kama umefuatilia financial report ya Barrick wakakwambia subiri hadi Feb,14 kwa nn husisubiri ??? Kila mmoja wetu hapa anasubiria kwa hamu na ukisha ji commit kulipa hauna maana kuwa ni wakati huohuo on the spot. Njoo na taarifa ulizonazo za uhakika siyo kutuchosha na report za acaccia ambao tuliwakana kwa kutosajiliwa nchini. Next time husituletee threads za kukurupuka Fanya kazi ununue Noah yako nyambafu wewe
Nawe ni wale wale tu! Hata kama umemwita mleta mada ni mkurupukaji unayetilia shaka elimu yake kimsingi mkurupukaji ni wewe ambae ndie hasa elimu yako inapaswa kutiliwa shaka!

Rudi kwanza hata kwa hao Barrick! Total Revenue (sio Profit) ya mwaka 2016 ilikuwa haifiki hata US$10 Billion. Na tunaposema Barrick maana yake ndani yake kuna kampuni zaidi ya 5 including Acacia lakini total revenu yao haikufika US$10 halafu nyie na elimu zenu fake mnakuja na madai ya US$190 Billion!

Na kama unadhani hakuna ripoti yoyote upande wa Barrick Gold basi unatakiwa kuitafakari upya hiyo elimu unayojivuna kuwa nayo maana yake, Barrick Gold wenyewe wanasema:
TORONTO, January 16, 2018 — Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX)(TSX:ABX) (“Barrick” or the “Company”) today announced preliminary full year gold production of 5.32 million ounces for 2017, in line with the Company’s adjusted guidance of 5.30-5.50 million ounces, and preliminary full year gold sales of 5.30 million ounces. Preliminary fourth quarter gold production was 1.34 million ounces, and preliminary fourth quarter gold sales were 1.37 million ounces. The average market price for gold in the fourth quarter was $1,275 per ounce.
Hiyo ni premilinary report na kwa mwenye uelewa anafahamu hata kama patakuwa na tofauti na full audited report, bado margin error haiwezi kufikaa +/-10%.

Best Gold Price as for now (from gold bar) ni US$1,361.51 per ounce.

Which means, endapo Barrick Gold wangeuza dhahabu yao yote ya mwaka 2017, wangeingiza mapato ya 5.32 Million ounces x = US$7.23 Billion!

Ukiangalia hayo mapato hayajatofautiana sana na mapato yao ya mwaka 2016.

Now from US$7.23Billion, deduct production cost ubaki na Gross Profit kisha tumia your own common sense ni namna gani serikali inaweza kulipwa US$40 Billion (kodi iliyolimbikizwa) let alone US$190 Billion (Kodi + adhabu).

Kwa kukusaidia tu, mwaka 2016, Gross Profit ya Barrick Gold ilikuwa less than US$4 Billion. Which means, kama Barrick leo hii wanaamua kutumia gross profit yao yote kila mwaka, kulipwa hizo US$40 Billion itachukua at least 10 years na kulipwa $190 Billion itachukua roughly 30 years. Yaani hapo Barrick tunawafanya misulule... kila wanachozalisha, 100% ya gross profit yao tunachukua sisi!!!

Sina shaka hata Ju'ha Mkuu duniani hapa anaweza kuhoji, ikiwa 100% tutakuwa tunachukua sisi, why should they keep doing business?!

Btw, ina maana kwavile kwenye meza ya majadiliano kulikuwa na timu ya Barrick ndo unadhani atakayelipa ni Barrick Gold na sio Acacia?! Hivi unafahamu Barrick inaungwa na zaidi ya kampuni 5?! Why should other companies use its fund kwa sababu ya utukutu wa kampuni nyingine?!

Sasa endeleeni kujitia kujua wakati mnashindwa hata kutafuta ripoti nyepesi kama hizi!!!
 
pascal Mayallaya nionavyo mimi acacia wanatuchezea akili. Hakuna cha hasara wala nini. Wanajenga hoja ili waje kutufilisi.

Walishatupeleka mahakamani au wamefuta ile kesi? Maana hatujaambiwa. Isitoshe waligoma kulipa na aliyekubali kulipa ni Barrick. Acacia walisema hawalipi au walikubali? Sikumbuki.

Wazungu wahuni wale wanataka kutufilisi. Siamini kama wanapata hasara.
 
Nakumbuka siku moja tukiwa ziarani na mkwere nchi fulani bwana mmoja aliuliza "hivi tukiamua kuachana na ununuzi wa madini ya Afrika mtayatumia kufanya nini?"

Swali hili linaungana na kauli yako kuhusu umuhimu wa elimu kwa watu wetu nchi hii inahitaji sana elimu.

Si madini tuuu tuna resources nyingi bado hazijatusaidia.

Pole zake bwana Ngosha anatakiwa apewe elimu shibishi ya the " corporate world"
Ni kweli mkuu tuna resources nyingi sana na hatuzitumii. Sasa hivi kila mtu anaangalia makinikia na hela tulizoambiwa tutalipwa na ile faida tuliyoambiwa tutagawana pasupasu. Kweli hatutumii akili. Kilimo tu tukilma kisawasawa tutalisha africa.
 
Yani nikifikiria zile Noah zetu...naumia sana roho. Maana nilisharenew leseni na kuuza kale is starlet kangu. Ntatembea kwa miguu hadi lini?

Maana mkuu kabisa alituambia "wanaume wamekubali kutulipa"...

Maskini nchi yangu...... aliyeiloga Mungu amlaani
ha ha ha!!! Mkuu nimecheka hadi basi!!!!
 
Usichokielewa au unachokifumbia macho ni kuwa hizo data ulizotumia ni sehemu ya udanganyifu wa makampuni ya madini duniani! Hawajawahi kuweka wazi data halisi za uvunaji na faida ya dhahabu!!! Nikuulize kitu! Mtendaji wa barick alikuja DSM na ndege binafsi lakini miaka yote hapa nchini hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida zaidi ya tozo ndogo ndogo kama mirahaba! Miaka yote wanadai wanapata hasara, kwa nini hawafungashi virago? Mbona wanahisa wanapeana gawio kila mwaka? Mbona wanatembelea ndege binafsi ili kutetea mgodi unaozalisha hasara? Ukweli ni kwamba tunapigwa sana!!!
Hebu tuwekee wewe unaeujua ukweli
 
Nakumbuka siku moja tukiwa ziarani na mkwere nchi fulani bwana mmoja aliuliza "hivi tukiamua kuachana na ununuzi wa madini ya Afrika mtayatumia kufanya nini?"

Swali hili linaungana na kauli yako kuhusu umuhimu wa elimu kwa watu wetu nchi hii inahitaji sana elimu.

Si madini tuuu tuna resources nyingi bado hazijatusaidia.

Pole zake bwana Ngosha anatakiwa apewe elimu shibishi ya the " corporate world"
Ajachelewa bado...amuone luwasa amfundishe vipaumbele vyake vitatu vya Elimu...Elimu...Elimu. na sio yale mambo yake ya pushup majukwaani.

Ataelewa tuu iwe kwa njia ngumu au nyepesi....katikati ya mchezo usioujua utajifunza kanuni zote kwa gharama ya adhabu....machozi jasho na damu.
 
Acha ujinga wewe, unaweza kuwa na hoja lakini unaposema kama wanapata hasara basi wafungashe virago. Ni biashara ngapi hapa nchini watu wanafanya kwa hasara na wala hawazifungi? Ni mashirika ngapi ya umma yanaRun kwa hasara lakini hayafungwi? Jenga hoja zako tuzikubali lakini usitake tuamini kwamba biashara ukiendesha kwa hasara basi suluhisho ni kuifunga. Hata wajasiriamali wengi tu wanafanya biashara zao kwa hasara lakini hawaachi.
Jitu kama hilo halijawahi hata kumiliki Biashara ya Genge so msamehe bure
 
Rais hapaswi kulaumiwa kwenye hili na anahitaji kutiwa moyo na watanzania wote bila kuingiza itakadi za vyama. Kwa hakika amepambana lakini kuna sehemu tunakwama, hasa kwenye utaalamu wa mambo haya ya madini na mikataba mibovu ambayo inasimamiwa kimataifa na ilishaingiwa huko nyuma.

Naamini Kinu cha uchenjuaji makinikia kitakua suluhisho la huu wizi wa mchana, rais aendelee kubana hayo mkontena haiwekani muuza korosho ajiendeshe kwa kuuza maganda ya korosho badala ya korosho yenyewe. Tumeibiwa sana.
Anapaswa kulaumiwa kwa kufanya machaguo mabovu....priorities zake ni za hovyohovyo sana...

kama smelter ni priority kwann yupo bize kujenga treni ya umeme wakati nchi haina umeme?....

hivi chato ilitakiwa kujenga uwanja wa ndege ai smelter?...

Kununua midege na kujenga smelter kinatakiwa kianze kipi?

Hayo ni machache anayopaswa kulaumiwa kwayo na bado mengi tuu ikiwamo kushindwa kuwekeza katika elimu na kuwekeza katika kujenga miundombinu ya kifahari...

he always think of leaving a legacy behind his path but unfortunately he will leave buildings and mega structures on land and not peoples hearts....

legacy must be felt in your peoples hearts and mind and not necessarly a tangible things.
 
Kwahiyo we pascal ulimuamini yule ndugu yako pale jumba jeupe?? Poleni.
Uzuri mimi simuamini hata aseme nini so wala hainisumbui baadae
 
Back
Top Bottom