njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
Amuulize nani huko serekalini? zile ripoti za makinikia kuna mtu aliziulizia ama zilifanywa mubashara kusaka kick ya kisiasa? Hicho kishika uchumba kuna mtu aliulizia au serekali ilisema kuua soo baada ya kuona lile deni kichekesho la 450Tr kukosekana? Wanapaswa waje waseme kama wamepewa sio wakati kutafuta kick wanakuja bila kuitwa, lakini likibuma unataka watu wakaulizie kama zimeingia.
Alafu mtoa mada akumbuke pesa hailipwi na Accacia bali Barrick