Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Tanzania itapiga hatua sanaa tukiacha ujinga na ushabiki wa kisiasa... Tuweki mambo wazi bila kujali itikadi wapo walosemea hili wakaoneka wapuuzi tu machoni petu....

Kumbuka anapokosea Raisi madhara hayaoni yeye ni wananchi watakao umia sisi tumebaki kusifu tu.... Ifike wakati nyeupe iwe nyeupe

Kuna siku mwanao au mjukuu atauliza utajisikia aibu wewe nawaambia.
 
Mimi ninaamini kuwa hawa jamaa wana bide time tactic huku wanahamisha assets zao kidogo kidogo. Hata tukishtuka kwamba hawana nia na uwezo wa kulipa its too late, hakuna asset ya kui confiscate.

We have to be street smart!
 
Pasco anauliza tutalipwa lini?
Mkuu Amani Jua, sio tuu niliuliza tutalipwa lini, bali pia nimeonyesha mahesabu ya Acacia yakionyesha, has no capacity to pay.

Labda baba yake Barrick amlipie lump sum halafu Acacia amlipe baba kidogo kidogo.

Japo zimebadilishwa jina kutoka goodwill money into kifuta machozi, ili fedha hizi zi make sense ni lazima zote zilipwe kwa mara moja, sijawahi sikia kifuta machozi kinacholipwa kwa installments.

P.
 
Leo ni zaidi ya mwaka, bado hatujalipwa senti tano, wanene wa Barrick leo wametinga ikulu yetu na kumhakikishia rais wetu kuwa mambo haya yanakwenda safi, Barrick wenyewe wakatoa press release kusisitiza hayo, lakini kitu cha ajabu kabisa, leo Acacia nao wameibuka na press release yao kuwa hajui chochote!.

Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Atoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Hajui Chochote Kuhusu Makubaliaano Yoyote na Tanzania. - JamiiForums

Wajemeni hii ngoma bado mbichi.
P.
Mambo ya watu wazima wakati mwingine waachie watu wazima! Subiri, kitaeleweka!
 
Nakumbuka siku moja tukiwa ziarani na mkwere nchi fulani bwana mmoja aliuliza "hivi tukiamua kuachana na ununuzi wa madini ya Afrika mtayatumia kufanya nini?"

Swali hili linaungana na kauli yako kuhusu umuhimu wa elimu kwa watu wetu nchi hii inahitaji sana elimu.

Si madini tuuu tuna resources nyingi bado hazijatusaidia.

Pole zake bwana Ngosha anatakiwa apewe elimu shibishi ya the " corporate world"

Ipo siku tutayatumia acha yabaki. Mfano Almasi ambayo tangu wanachimba mpaka leo serikali haijapata faida na mashimo yamebaki . Unaonaje hiyo Almasi ambayo hatuna cha kuifanyia sisi Waafrika tukaamua kutengeneza barabara ya almasi na kujenga mijengo ya almasi halafu vikawa vivutio kwa waatalii nina imani tungeingiza fedha nyingi kuliko hii habari ya kuambiwa eti tangu Almasi ianze kuchimbwa hatujawi kupata faida bali tumeachiwa mashimo tuuu. Hiyo nayo sawa
 
mfanyabiashara kama anadaiwa siku zote atakuambia anapata hasara hata kutengeneza mahesabu feki ya hasara hawezi kukuambia anapata faida. Mtu anauza gold tani kwa tani anapata hasara wakati gold ina dhamani kuliko dola kuliko asset yoyote 🤔🤔 ajabu sana
 
Ipo siku tutayatumia acha yabaki. Mfano Almasi ambayo tangu wanachimba mpaka leo serikali haijapata faida na mashimo yamebaki . Unaonaje hiyo Almasi ambayo hatuna cha kuifanyia sisi Waafrika tukaamua kutengeneza barabara ya almasi na kujenga mijengo ya almasi halafu vikawa vivutio kwa waatalii nina imani tungeingiza fedha nyingi kuliko hii habari ya kuambiwa eti tangu Almasi ianze kuchimbwa hatujawi kupata faida bali tumeachiwa mashimo tuuu. Hiyo nayo sawa
Wakisema kua hiyo nyumba siyo salama nani atakua mtalii ? tukubali tukatae ni ukweli kua ujinga ndo inatusumbua unadhani duniani kote Afrika ndo kuna madini ? na kama hapana Mbona huko wameridhika na wanachopata ? na wanapata faida ? sisi kutofautisha aliyeenda shule na yule hajaenda shule haina utofauti
 
Kuna vitu nilisema humu sasa vinatokea, hizi dana dana za Acacia na Barrick, zinaendelea, mwanzo ilikuwa ni miezi 3, ikaja 6, ikaja 9, ikaja 12 ambayo ni mwaka, sasa tunakwenda mwaka wa pili, senti tano kipande haijapokekelewa, leo asubuhi ndipo Acacia katoa kubwa kuliko, kumbe alishapewa makubaliano ya serikali yetu na Barrick, lakini akayagomea. Sasa Barrick anataka kununua Acacia ili atekeleze makubaliano na serikali yetu, Acacia agoma kununuliwa.

Kwenye uzi huu niliuliza kwanini Acacia hakushirikishwa tangu mwanzo?.

Haya ndio matokeo

Hizi ni press release za Acacia na Barrick za asubuhi hii.

.

Kuna vitu watu tukisema humu uzalendo wetu unavyooneshwa vidole, yanavyokuwa kutokea tulioyaona, sasa ndio tunaanza kuelewana mwisho siku tutaelewana tuu.

P
 
Na hamtolipwa, atagoma kununuliwa na mwisho watapelekana mahakamani barrick na Acacia na baadae itaenda hadi miaka mitatu huku wakijiandaa kuondoka na kuelekea Congo kuendelea na kazi zao
 
Naona mkuu Mayalla unafukua makaburi. Ila watz ni wasahaulifu sana hili nalo tulishalisahau tukahamishiwa kwenye korosho!
 
Kumfuta mtu ujinga ambao ama amejivika mwenyewe au kavikwa si jambo la siku moja Paskali,cha msingi tusichoke bali tuongeze juhudi.
Kuna vitu nilisema humu sasa vinatokea, hizi dana dana za Acacia na Barrick, zinaendelea, mwanzo ilikuwa ni miezi 3, ikaja 6, ikaja 9, ikaja 12 ambayo ni mwaka, sasa tunakwenda mwaka wa pili, senti tano kipande haijapokekelewa, leo asubuhi ndipo Acacia katoa kubwa kuliko, kumbe alishapewa makubaliano ya serikali yetu na Barrick, lakini akayagomea. Sasa Barrick anataka kununua Acacia ili atekeleze makubaliano na serikali yetu, Acacia agoma kununuliwa.

Kwenye uzi huu niliuliza kwanini Acacia hakushirikishwa tangu mwanzo?.

Haya ndio matokeo

Hizi ni press release za Acacia na Barrick za asubuhi hii.

.

Kuna vitu watu tukisema humu uzalendo wetu unavyooneshwa vidole, yanavyokuwa kutokea tulioyaona, sasa ndio tunaanza kuelewana mwisho siku tutaelewana tuu.

P
 
Pascal Mayalla Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote.

Makinikia (Acacia) - Failure
Korosho - Failure
Elimu bure - Failure
Mnatuletea umaskini nyie wenyewe kila mnachogusa ni majivu tu tunaambulia.
 
Kuna vitu nilisema humu sasa vinatokea, hizi dana dana za Acacia na Barrick, zinaendelea, mwanzo ilikuwa ni miezi 3, ikaja 6, ikaja 9, ikaja 12 ambayo ni mwaka, sasa tunakwenda mwaka wa pili, senti tano kipande haijapokekelewa, leo asubuhi ndipo Acacia katoa kubwa kuliko, kumbe alishapewa makubaliano ya serikali yetu na Barrick, lakini akayagomea. Sasa Barrick anataka kununua Acacia ili atekeleze makubaliano na serikali yetu, Acacia agoma kununuliwa.

Kwenye uzi huu niliuliza kwanini Acacia hakushirikishwa tangu mwanzo?.

Haya ndio matokeo

Hizi ni press release za Acacia na Barrick za asubuhi hii.

.

Kuna vitu watu tukisema humu uzalendo wetu unavyooneshwa vidole, yanavyokuwa kutokea tulioyaona, sasa ndio tunaanza kuelewana mwisho siku tutaelewana tuu.

P
WaTz wengi hatuwazi mambo kwa uhalisia wake bali twatumia mihemuko tu so lazima wakushambulie..
lakini ukweli ukija dhihirika utetezi wenye mantiki wanakua hawana
 
Na hamtolipwa, atagoma kununuliwa na mwisho watapelekana mahakamani barrick na Acacia na baadae itaenda hadi miaka mitatu huku wakijiandaa kuondoka na kuelekea Congo kuendelea na kazi zao

Wakati huo makinikia na production itakuwa inaenda tu
 
Any decision you make in life you are responsible for it
Yani nikifikiria zile Noah zetu...naumia sana roho. Maana nilisharenew leseni na kuuza kale ka starlet kangu. Ntatembea kwa miguu hadi lini?

Maana mkuu kabisa alituambia "wanaume wamekubali kutulipa"...

Maskini nchi yangu...... aliyeiloga Mungu amlaani
 
Back
Top Bottom