Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Mzee Baba, Paskali ingekuwa vyema ukaandika barua ikulu, tena barua ya wazi kumkumbusha Mkuu kuhusu wadeni wetu Acacia, na nakala imfikie Paramagamba.
Hilo swali lako sisi hatutaweza kulijibu.

Tukasubiri Noah, Noah zikageuka Balimi, sasa Balimi zenyewe ndo hatahatupewi ili mbao zilegee.

Hii ndio TZ ya vi-wonder
Na TZ ndio Poliwood kwenyewe
Trump alisema kweli
Shithole country
 
Pascal Mayalla Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!
Very good point, kinachokosekana kwenye hili ni transparency, kula usiri, kwenye awamu zote, miaka, alificha, kikwete, alificha, magufuli alificha hata vikao, mimi, naona transparency inaleta ukakasi

Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!

Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote.
 
Usichokielewa au unachokifumbia macho ni kuwa hizo data ulizotumia ni sehemu ya udanganyifu wa makampuni ya madini duniani! Hawajawahi kuweka wazi data halisi za uvunaji na faida ya dhahabu!!! Nikuulize kitu! Mtendaji wa barick alikuja DSM na ndege binafsi lakini miaka yote hapa nchini hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida zaidi ya tozo ndogo ndogo kama mirahaba! Miaka yote wanadai wanapata hasara, kwa nini hawafungashi virago? Mbona wanahisa wanapeana gawio kila mwaka? Mbona wanatembelea ndege binafsi ili kutetea mgodi unaozalisha hasara? Ukweli ni kwamba tunapigwa sana!!!
Hakuna fikra mbovu kama hii, kwani wewe unauhakika hana biashara nyingine ya kununua ndege? Kuna uhusiano gani wa ndege binafsi na faida ya kampuni? Mtu ana mtoto karani wa benki, leo kaja ofisini na VX ya baba yake, meneja akiwa wewe lazima umsingizie wizi na Kazi umfukuze, acha cheap assumptions
 
JOHANNESBURG, Jan 15 (Reuters) – Acacia Mining said on Monday said fourth-quarter production fell by a third on the previous year due to a ban on exports of gold and copper concentrates in Tanzania.

The London-listed miner said production in the three months to December fell 30 percent to 148,477 ounces compared with a year ago and 22 percent from the previous quarter. This brought 2017 gold to 767,883 ounces, ahead of its expectations of 750,000 ounces.

The company shut its flagship Bulyanhulu mine in September as the miner bled cash due to the government export ban that was introduced in March.

Tanzania believes it is not getting enough revenue from its minerals and is encouraging the construction of a local smelter.

"We are also continuing to support efforts towards achieving a negotiated resolution with the Tanzanian government," said interim chief executive Peter Geleta.

The cash balance as at December stood at $81 million after a $15 million outflow in the fourth quarter.

The all-in sustaining cost of producing an ounce of gold, an industry benchmark, fell to 779 per ounce compared with 952 per ounce a year ago.

(Reporting by Zandi Shabalala, editing by Louise Heavens)
 
Rais hapaswi kulaumiwa kwenye hili na anahitaji kutiwa moyo na watanzania wote bila kuingiza itakadi za vyama. Kwa hakika amepambana lakini kuna sehemu tunakwama, hasa kwenye utaalamu wa mambo haya ya madini na mikataba mibovu ambayo inasimamiwa kimataifa na ilishaingiwa huko nyuma.

Naamini Kinu cha uchenjuaji makinikia kitakua suluhisho la huu wizi wa mchana, rais aendelee kubana hayo mkontena haiwekani muuza korosho ajiendeshe kwa kuuza maganda ya korosho badala ya korosho yenyewe. Tumeibiwa sana.
kutiwa moyo unakokusema kunaendana na kushauriwa hata yale usiyoyapenda kuyasikia. kwa vile ukisikia au ukisoma usichokipenda "unampoteza" mhusika basi tumeamua kunyamaza ili ajishauri mwenyewe na aamue mwenyewe
 
Uko sawa, Ila pia inategemea na feed grade, /recovery/tonnage, kama feed grade ni nzuri, unaweza operate kwa hata dollar 500 kwa wakia moja.
Ni kweli unachokisema ila kwa Tanzania mgodi ambao umekuwa na feed grade kubwa kuliko migodi yote ulikuwa ni mgodi wa Barrick Tulawaka ambao uliwahi kuwa na 40g/tonne, iliyosalia kama Bulyanhulu maximum grade ni 12g/tonne,Buzwagi kwa sasa ni 1.5 to 3g/tonne. Ukiangalia capacity ya mill huwa inategemea feed grade,kwa mfano unapokuwa na high grade basi capacity ya mill inakuwa ni ndogo ili kuweza kuaccomodate valuable materials ktk kifusi madini na feed grade inapokuwa ndogo basi capacity ya mill inakuwa kubwa kwa mfano Geita Gold Mine wana mill kubwa ambayo inapokea kiasi cha tani zaidi ya 1000 kwa saa na feed grade yao ni ndogo sana lakini wanayo resource kubwa,nadhani nimeeleweka
 
Leo ni zaidi ya mwaka, bado hatujalipwa senti tano, wanene wa Barrick leo wametinga ikulu yetu na kumhakikishia rais wetu kuwa mambo haya yanakwenda safi, Barrick wenyewe wakatoa press release kusisitiza hayo, lakini kitu cha ajabu kabisa, leo Acacia nao wameibuka na press release yao kuwa hajui chochote!.

Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Atoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Hajui Chochote Kuhusu Makubaliaano Yoyote na Tanzania. - JamiiForums

Wajemeni hii ngoma bado mbichi.
P.
Sasa tufanyeje P?
 
Back
Top Bottom