Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Pascal naona ka tenda kako kameanza kubuma sio povu hilo, situliambiwa hili jambo limewekwa kiporo hadi June kwenye mkutano mkuu wa Barrick?
 
kuelewa magufuli anapigana na zimwi gani la corporate world its about time kila mtu asome ECONOMIC HITMAN -TOM DEBEER ni kama yale yale yaliyofanyika iran yanajirudia hivi
 
Ukishagundua unaibiwa usikurupuke na kumshushia mzingo mwizi wako; kuwa na kifua muache akauze ila rudi haraka kwenye sheria ama taratibu mlizowekeana - anzia hapo utampata tu yeye si anajifanya mjanja bana.

Sasa tulitakiwa turudi kwenye sheria zetu zote za Nishati na Madini kwa uwazi mpana tena kwa misaada ya wadau wote nguli wa sheria nchini kwa umoja wetu, hili lingekuwa dogo - tungeshinda tu.

Ila kwa sasa, kundi moja kamata mwizi, kundi jingine limesimama linasema tuanze na sheria zetu kwanza. sasa mimi nipo mtu kati sijui nijiunge na kundi lipi?
 
Mwanzo tulitegemea kupata Gari aina ya Noah kwa kila mtz na mafuta full tank.sasa tunasubil Balimi 4 4 kila mtz
 
Ukitumia gold mining data, za Acacia na duniani kwa ujumla, utapata conclusion kwamba, sio tu Acacia bali hata hao Barrick Gold Mine hawana uwezo wa kulipa zile pesa... I repeat, HAWANA UBAVU. Data zetu zipo so irrelevant!

Look, according to USA Gold, total gold produced duniani in 2016 ni tani 3100.

Tani 3100 ni sawa na 3,100,000 kg

Kwa mujibu wa mtandao wa GoldPrice, bei ya dhahabu at 14:15 EAT ilikuwa 1,333.01 per ounce. Anyway, sijui pametokea nini manake pamekuwa na sharp decline in price from around US$ 1342 to 1,333.01 lakini wametoa best price as $1356 per ounce (for gold bar).

1 oz ni takribani 28.5 grams.
3,100,000 kg = 3,100,000,000 grams = 109 M ounce (maximum)

Thamani yake ni 109,000,000 x $1356 = $ 148 Billion (maximum)

Hii maana yake ni kwamba, dhahabu iliyozalishwa duniani kote mwaka 2016 ina thamani ya takribani $150 Billion wakati pesa tunayodai sisi ni $190 Billion!

Yaani, Acacia/Barrick kulipa ile pesa ina maana waachiwe dhahabu YOOOOOOTE duniani kwa mwaka mzima. Aidha, wazalishe dhahabu hiyo at ZERO cost ndipo wanaweza kulipa deni (assuming uzalishaji na bei vinabaki constant)!!!

Look again, hoja ni kwamba ni tunaabiwa kupita kiasi.

Ina maana na Australia wanaibiwa kupita kiasi?

Mwaka 2016 Australia walizalisha 270 tani za dhahabu! Remember, Australia ni among top gold producers duniani!!!!

Tani 270 = 270,000 kg = 270,000,000 grams = 9.5M ounce (Maximum)

Thamani yake kama ingeuzwa leo, ingekuwa 9,500,000 x $1356 = $13 Billion (maximum).

Hii maana yake ni kwamba, endapo Australia wataamua kuwalipia deni Acacia, basi watalazimika kutumia dhahabu yao yooooooooote kwa takribani miaka 15 (190 billion/13 Billion) ndipo wanaweza kumaliza deni lote la Acacia na hapo tuki-assume, Australia wanazalisha dhahabu hiyo at ZERO cost na kila mwaka wanazalisha tani 270.

Kwahiyo kwa data zisizo-make sense kama hizo TUSAHAU eti kwamba Acacia au hata Barrick watakuja kulipa hata 25% ya kile wanachodaiwa! Na hili nilisema tangu awali.

Na ukweli ni kwamba, sioni uwezekano wa kulipa hata 10% ya kile wanachodaiwa!

BONUS: According to Bloomberg, New York Stock Exchange walifunga soko tarehe 12.01.2018 wakati Barrick Gold wakiwa kwenye position ifuatayo:

View attachment 677012
Unaona hapo chini, Market Cap ni 17.64 Billion. Na tunaposema Barrick ina maana na hesabu za Acacia zipo ndani yake bila kusahau hesabu za kampuni zao zingine zote.

So, with Market Cap ya 17.64, ina maana endapo shareholders WOOOOOOOTE wa Barrick Gold wangeamua kutoa shares zao zoooooooooote free of charge kwa Barrick kisha Barrick wakauza shares zooooooote na kuamua kutumia mapato ya uuzaji wa hizo share, bado wangeweza kulipa ONLY $17.64 Billion wakati tunawadai $190 Billion na huku pia tunaiacha Barrick Gold mikono mitupu!!!

Hii maana yake ni kwamba, deni husika HALILIPIKI kwa sababu takwimu zilizotolewa ni za UONGO... simple and clear!!
Hivi deni wanalodaiwa na serikali yetu ni malimbikizo ya kutoka nyuma au ni ya mwaka 2016 tu?
 
Paskal mtani wako wa Chato alizuia wasitafsiri ile Lugha ya malikia ili wengi wasijue yule prof anaongea nini.Changa la macho .hapo ndipo mtamkumbuka Sir Lissu na kungundua mzalendo wa kwel ni yupi
Eti "rais wa wanyonge" wakati huo hutaki hao wanyonge wajue mbaya wao atawalipa kitu gani! mnafiki mkubwa huyu!
 
Ukitaka kumkamata ndege aliyezoea kula mtama kwenye shamba lako usiwe na haraka na kukurupuka vinginevyo hutampata! ndiyo maana kuna neno "nyatia" hata simba huwa anafanya hivyo kwenye mawindo yake
 
Watu walipewa mpaka nishani/tuzo za heshima kwa kazi iliyotukuka na mkuu wa nchi... Ndio aina na uongozi tuliochagua, mambo ya "font ferd" kwenye kila kitu..

Mijitu na mimidomo michafu inaropoka tu,tumeliwa,tumeibiwa tutalipwa 700b had I Leo kimyaaaaa halafu tukuombee,tukuombee uzidi kuropoka?never ever
 
Back
Top Bottom