Dola ya kale ya Kiislam (Mesopotamia) ilitawala Dunia Takribani miaka 500 na ilikuwa sana, ila ilikuwa na tatizo kubwa moja

Hakukuwahi kuwa na dola Mesopotamia ya Kiislamu kwa sababu hadi 600BC Uislamu haukuwepo.
Happy?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa hata maana ya Uislam hauifahamu lakini nnakushauri
Msome vizuri mleta mada halafu shindana nae, sikuyaleta mimi hayo ya "Mesopotamia" kuwa "Dola ya Kiislam' nisome vizuri, nimeuliza maswali.
Nishindane nae ili iweje ?

Acha kukaa kihasara hasara
 
Nishindane nae ili iweje ?

Acha kukaa kihasara hasara

Ili sisi tupate kuelewa maana wewe na mleta mada mnaonesha mnaielewa "Dola ya Kiislam ya Mesopotamia" ambayo sisi wengine (hususan mimi) hatuielewi ndiyo maana nimeuliza maswali. Unaweza bishana na yeye siyo mimi, au msaidie kujibu maswali niliyouliza, la na wewe huelewi au huna majibu ya nilichokiuliza basi nnakushauri usiendelee kubishana na mimi kitu ambacho hukielewi na uwache mihemko ya kukurupuka.
 
Yule bibi kafika?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Niacha

Acha kukaa kihasara hasara
 
Bila shaka Mtoa mada alitaka kuongelea Ottoman Empire na sio utawala wa Mesopotamia.
 
Mesopotamia haikuwa dola ya kiislamu mzee wangu, ilikuwa ni himaya ya wayunani miaka mingi sana kabla ya yesu. Ilikuja angushwa na Alexander the great na kuwa chini ya ya Wagiriki hadi eneo lile lilipokuja kuchukuliwa na warumi kabla uislamu haujaanza. Uislamu ulianza takriban miaka 300 baada ya ukristo ulioachwa na Yesu. Wakati huo hakukua na Mesopotamia tena kwani hata dola ya ugiriki nayo ilikuwa imeshaanguka na eneo lote kuwa liko chini ya Kaisari ambaye alikuwa mrumi; ndiyo maana Yesu alisema "Ya Kaisari mpe Kaisari....".
 
Yes nilisha rekebisha hapo awali ktk uzi huu na Faiza fox
 
Kama Mroma hakutawala dunia kwa nn dunia nzima tunaluga yenye mizizi ya kilatini
Warumi ndiyo watawala wa kwanza na wapekee duniani, hayo mapigano yameamza baadaye sana hukuKB na walimfanya kuachia baadhi ya maeneo
Ulaya, afrika na mashariki ya kati ilikuwa mali ya mrumi na ndiyo waliyotunga sheria za kutawala ardhi kwa kutumia uongoz

Mpaka leo warumi kwa kutumia maarifa ya waajemi tukawa na secularism kila mahali kwa busara ya kikristu
 
Roma hawakutawala dunia lkn maeneo waliyokuwepo walinyang'anya watu ardhi na kuweka katka himaya yao. Ndo maana historia inaeleza Zaid enclosure sysytem kuwahusu waroman zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipofika Rome alikutana na upinzani gani ?
VITA kali sana na ya ajabu lizuka kwanza moto ulikuwa unatembea juu ya maji! na kuzomea km watu, so ukachoma mashua zooote walizokuja nazo! maadui wakashindwa kukimbia

wakaishiwa chakula cha akiba, na siraha wakaanza kuomba kuolewa, na maadui ...yaani wanaume wenzao wazima wazima. tangia hapo ushoga ukakua sana ya mnooo! mpaka leo!

huko nyuma wake zao wakawa wasagaji ratio ya me na ke ikawa kubwa mpaka leo ni ivo! uzunguni kote me wana sko sana haijalishi umri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…