Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakukuwahi kuwa na dola Mesopotamia ya Kiislamu kwa sababu hadi 600BC Uislamu haukuwepo.
Happy?
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy?
Kabla hujaenda huko jifundishe kuelewa unachokisoma. Anza kwa kusoma kichwa cha habari cha mleta halafu ujibu mswali niliyomuuliza.
Unaweza pia.kusaidia kujibu "Dola ya Mesopotamia ya Kiislam ilikuwepo lini na mtawala alikuwa nani".
Huelewi unachokisoma? Nimeuliza maswali halafu unataka niyajibu mimi badqla ya kumumshinikizq.mlwta mada atajibu au wewe umsaidie.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga au ujinga upo kwenye genes zako?
Sent using Jamii Forums mobile app