MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Salama wandugu,
Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa,
Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola kuwa na nguvu duniani yaani hata Kama wewe unataka kuuza viazi mbatata katika soko la dunia utauza kwa Dola ndivyo ilivyokuwa na ikafanikiwa.
Waarabu wanazalisha mafuta wakiingiza sokoni Bei ni kwa Dola hapa ndipo Gaddafi hakufanya pia na ikawa chuki.
Sasa kinachoendelea huko Russia ni mfano tu Dola na Euro zinashuka kwa Kasi ya 5G kutokana kuondolewa na Putin katika ununuzi wa mafuta tutarajie Hali kusambaa zaidi baada ya Vita kuisha anguko la Dola iliyoasisiwa na G Washington