Nilitaka kuelewa imeangukaje maana fedha nyingi za fedha za madafu kuipata $ hela kidogo imeongezeka...kama hatuna mbinu ya kushusha bei ya mafuta anayopsndisha Waziri wa fedha kwa kutumia Ruzuku ya 100B huku kwingine tunakua tumevaa bukta kubwa hatukuwezi..