Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Samia kipindi yupo Zanzibar, aliwapongeza wazanzibar uchumi umekuwa. Watu kwenye sherehe wanatoa zawadi na wanaonekana wanamaisha mazuri kama kama vile ulaya.Wewe acha kujifyatua akili hapa,hakuna aliyejadili hii mada kwa misingi ya udini,bila shaka wewe ndio umeileta hii thd kwa misingi hiyo ndio maana unajishtukia,nyuzi zako nyingi hapa JF zina maudhui ya chuki ya udini,
Pambana na hali yako hapo Tegeta kwa ndevu,hao US wanaweza hata wasikupe Visa japo ukatembee tu.
Nikashangaa inakuwaje muislamu safi ajilinganishe na makafiri? Kwanini asiseme Afghanistan, Tunisia, Gaza, Pakistan, Saudia Arabia n.k
Nasikia naye Bakhera anataka kuacha kutumia bidhaa za makafiri, amesema kama bidhaa inatoka china, marekani, japan, korea n.k anatupa au anachoma moto.
Gari, simu, ving'amuzi, madishi, boti n.k vyote ataagiza kutoka nchi za waislamu tu😀😀😀
Hiyo simu tupa ni ya makafiri, waislamu (waarabu) wametengeneza simu mpya inaitwa halal phone inaitumia Arabs OS, hii ni OS ya kipekee kabisa ambayo itakuwa na application za kwakwe.
Kama una tv, simu, gari, pikipiki, sabufa, una vyeti vya elimu ya makafiri (unatakiwa uwe na cheti cha madrasa tu ya elimu ya Allah), unatumia mitandao ya makafiri usitumie na acha kutumia bidhaa za makafiri ni haramu😀😀😀