Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Poleni sana wana Zima Zimabwe
Nalog off Z
Nalog off Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mugabe alikuwa punguani kiasi fulani. aliwanyang'anya wazungu mashamba na kuwapa wafrica ambao walikuwa hawana hata ujuzi wa kilimo. matokeo yake mashamba ambayo yalikuwa yanazalisha uchumi wa taifa lao yaligeuka mapoli na nyumba za nyoka.hatofautiani na Iddi amin alipowapa mali za wahindi aliowafukuza Uganda wazarendo wamiliki. matokeo yake viwanda maarufu vya Jinja kuporomoka na majumba ya kifahari mijini kuwa machafu sana mpaka sasa hivi jiji chafu barani africa ni kampala...na hope's wale wote waliokua wanaandika mema kuhusu Dikteta Mugabe watakuja hapa na kukiri na kutuomba msamaha,dictator Mugabe amedhihirisha kuwa always lizards 🦎 wana utofauti mkubwa na crocodiles 🐊, Sikiliza hii 24%ya ILLEGAL IMMIGRANTS ndani ya SA ni Zimbabweans!,nchi imeioza wakati in 80s ilikua super 👌 country, blacks leaders wote duniani wana cancer ya ubinafsi,greed, selfish.
wakati wa sadama au qadafi misikiti mingi alijenga africa ila sasa hivi Libya hajengi misikiti.Ni sawa na mwingine afananishe Libya wakati wa Saddam na Sasa......naamini umenielewa
C wameamuaKwa nini wachague kutumia dollar ya Marekani? Wakati tunaambiwa hapa na warusi wa malinyi kuwa ruble ndiyo habari ya mjini hivi Sasa!!
Hawajaanza jana wala juzi toka enzi za babu Mugabe ishu ilikua dollah ya Mmarekani..Kwa nini wachague kutumia dollar ya Marekani? Wakati tunaambiwa hapa na warusi wa malinyi kuwa ruble ndiyo habari ya mjini hivi Sasa!!
Yes wameamua, ila wangekurupuka wangetangaza kutumia dafu la Russia au la Tz.
Ni kweli,vitu hapa ni very expensive sana, daladala kituo kimoja tu ni dola 1,(2300tshs).Zimbabwe toka zamani kabla ya Corona Uchumi wao ulishuka sana walianza kutumia Rand na Usd kama hela yao hapo kati Uchumi ulipoanza kuimarika kidogo walikua wanafanya Zim dollar moja eti sawa na Rand moja ukitoa Rand super market unarudishiwa chenji ya Zim dollah ambayo ukitoka Nje ya Zimbabwe haina thamani yeyote na ilikua na expire date...hapo kati walishauriwa watumie Yen ya China wakaambiwa na mabeberu wakijaribu vikwazo vitaongezeka sasa hivi wanataka matumizi ya dhahabu kwa kwenda ku deposit bank ikiwezekana ithaminishwe kama kiasi cha fedha..jamaa vikwazo vimewaathiri sana ingawaje matajiri wapo tuu pamoja na hali yote hiyo...pana dollar zimechafuka na zimejikunja zinatumika hapo hapo tuu hao jamaa wanazijua dollar na miaka yake kwa kutumia mikono tuu..
Huu mwandiko haujakaa sawasawa. In connection na Id yenyewe (Utam) inaleta maswali mengi yasiyo na majibu.
Sio rahisi Kwa sababu aliyepo ni pandikizi la magharibiWanashindwa Nini kutumia ruble ya urusi
Walijidanganya na kumuita Mugabe eti ni simba wa Afrika.Afrika ya makalio!😂😂😂hawa jamaa tatizo ni nini hadi kumekuwa na mfumuko hivyo ?
Colgate ile ndogo kabisa dola ngapi na kubwa 350ml dola ngapi?Ni kweli,vitu hapa ni very expensive sana, daladala kituo kimoja tu ni dola 1,(2300tshs).
Taxi short distance 10usd(23000tshs)
Tanzania tutume wataalamu wetu wa fedha wawashauri watumie pesa yetu ya Tanzania.Nilisoma jana kwenye article fulani,
Daaaahhh jamaa wanaishi kama digidigi
Baba Afrika kila mtu yuko kwaajili yake na familia yake.Tanzania tutume wataalamu wetu wa fedha wawashauri watumie pesa yetu ya Tanzania.
Hii inakuja tanzania so soon becoz of jpm economic competitive attitude. Be prepared.Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi.
Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia 200% kwa mujibu wa Benki Kuu ya Zimbabwe.
Zimbabwe ilianza kutumia Dola ya Marekani kwa pamoja na sarafu ya kwao mwaka 2020 wakati hali ya kiuchumi ilipokuwa ngumu kutokaa na mlipuko wa Covid-19.
Sarafu ya Zimbabwe imekuwa ikishuka thamani kiasi cha Wafanyakazi wengi kutaka walipwe kwa fedha za kigeni.
Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imekuwa ikihangaika kwa miaka kadhaa kubadili hali ya kushuka kwa uchumi ulioanza wakati wa utawala wa Rais Robert Mugabe aliyepinduliwa mwaka 2017.
---
World’s Most Aggressive Central Bank Raises Key Rate to 200%
Zimbabwe’s central bank raised interest rates to a record and the government officially reintroduced the US dollar as legal currency to rein in surging inflation and stabilize the nation’s tumbling exchange rate.
The monetary policy committee more than doubled the key rate to 200% from 80%, Governor John Mangudya said in a statement on Monday. That brings the cumulative increase this year to 14,000 basis points -- the most globally
“The monetary policy committee expressed great concern on the recent rise in inflation,” Mangudya said. “The committee noted that the increase in inflation was undermining consumer demand and confidence and that, if not controlled, it would reverse the significant economic gains achieved over the past two years.”
Central bankers globally have been unleashing what may prove to be the most aggressive tightening of monetary policy since the 1980s to contain runaway inflation, prevent capital outflows and currency weakness as investors hunt for higher yields.
Zimbabwe’s annual inflation rate jumped to 192% in June, the highest level in over a year, as food costs more than tripled. The increase in prices has been spurred by a sharp depreciation in the Zimbabwe dollar, which has lost more than two-thirds of its value against the dollar this year and is Africa’s worst-performing currency.
Source: Bloomberg
Wewe kama ww unakubaliana na dollar au rubble?Dola inazidi kushuka ndio maana Marekani inaondoa vikwazo nchi nyingi sasaivi ilimradi Dola izidi kutumika, Kulipia Rubbe na Yuan kwa mataifa yanayonunua malighafi kumeyumbisha sana dollar
Tell him broDuh! Mkuu Nani alikuambia kuwa wanajeshi sio mafisadi? Uzalendo uko moyoni mwa mtu,kuwa mjeshi sio kigezo Cha wewe kuwa mzalendo , hujui kuwa Kuna masheikh, wachungaji, maparoko na mapadre Ni wazinzi, mafisadi na wauaji? Sikutegemea kauli Kama hii toka kwa mkongwe wa if Kama wewe!!