Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi.
Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia 200% kwa mujibu wa Benki Kuu ya Zimbabwe.
Zimbabwe ilianza kutumia Dola ya Marekani kwa pamoja na sarafu ya kwao mwaka 2020 wakati hali ya kiuchumi ilipokuwa ngumu kutokaa na mlipuko wa Covid-19.
Sarafu ya Zimbabwe imekuwa ikishuka thamani kiasi cha Wafanyakazi wengi kutaka walipwe kwa fedha za kigeni.
Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imekuwa ikihangaika kwa miaka kadhaa kubadili hali ya kushuka kwa uchumi ulioanza wakati wa utawala wa Rais Robert Mugabe aliyepinduliwa mwaka 2017.
---
World’s Most Aggressive Central Bank Raises Key Rate to 200%
Zimbabwe’s central bank raised interest rates to a record and the government officially reintroduced the US dollar as legal currency to rein in surging inflation and stabilize the nation’s tumbling exchange rate.
The monetary policy committee more than doubled the key rate to 200% from 80%, Governor John Mangudya said in a statement on Monday. That brings the cumulative increase this year to 14,000 basis points -- the most globally
“The monetary policy committee expressed great concern on the recent rise in inflation,” Mangudya said. “The committee noted that the increase in inflation was undermining consumer demand and confidence and that, if not controlled, it would reverse the significant economic gains achieved over the past two years.”
Central bankers globally have been
unleashing what may prove to be the most aggressive tightening of monetary policy since the 1980s to contain runaway inflation, prevent capital outflows and currency weakness as investors hunt for higher yields.
Zimbabwe’s annual inflation rate jumped to 192%
in June, the highest level in over a year, as food costs more than tripled. The increase in prices has been spurred by a sharp depreciation in the Zimbabwe dollar, which has lost more than two-thirds of its value against the dollar this year and is Africa’s worst-performing currency.
Source: Bloomberg