Dola ya Marekani kutumika rasmi nchini Zimbabwe baada ya mfumuko wa bei kuwa mkubwa

Mugabe alikuwa punguani kiasi fulani. aliwanyang'anya wazungu mashamba na kuwapa wafrica ambao walikuwa hawana hata ujuzi wa kilimo. matokeo yake mashamba ambayo yalikuwa yanazalisha uchumi wa taifa lao yaligeuka mapoli na nyumba za nyoka.hatofautiani na Iddi amin alipowapa mali za wahindi aliowafukuza Uganda wazarendo wamiliki. matokeo yake viwanda maarufu vya Jinja kuporomoka na majumba ya kifahari mijini kuwa machafu sana mpaka sasa hivi jiji chafu barani africa ni kampala.
 
Ni sawa na mwingine afananishe Libya wakati wa Saddam na Sasa......naamini umenielewa
wakati wa sadama au qadafi misikiti mingi alijenga africa ila sasa hivi Libya hajengi misikiti.
 
Kwa nini wachague kutumia dollar ya Marekani? Wakati tunaambiwa hapa na warusi wa malinyi kuwa ruble ndiyo habari ya mjini hivi Sasa!!
 
Lazi kweli kweli African leaders ni mtihani sana [emoji22]
 
Kwa nini wachague kutumia dollar ya Marekani? Wakati tunaambiwa hapa na warusi wa malinyi kuwa ruble ndiyo habari ya mjini hivi Sasa!!
Hawajaanza jana wala juzi toka enzi za babu Mugabe ishu ilikua dollah ya Mmarekani..
 
Ni kweli,vitu hapa ni very expensive sana, daladala kituo kimoja tu ni dola 1,(2300tshs).

Taxi short distance 10usd(23000tshs)
 
Dola inazidi kushuka ndio maana Marekani inaondoa vikwazo nchi nyingi sasaivi ilimradi Dola izidi kutumika, Kulipia Rubbe na Yuan kwa mataifa yanayonunua malighafi kumeyumbisha sana dollar
 
Tanzania tutume wataalamu wetu wa fedha wawashauri watumie pesa yetu ya Tanzania.
Baba Afrika kila mtu yuko kwaajili yake na familia yake.
Haya yote wanayofanya wanasiasa ni kama tu kupigania nafasi zao.
Hawana nia ya kuifanya nchi yao iwe great country.
Niambie nchi yenye Waaafrika weusi kwa asilimia 90_99 na ina maendeleo.
 
Hii inakuja tanzania so soon becoz of jpm economic competitive attitude. Be prepared.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Tell him bro

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…