Sababu HAWANA PESA km Wakandarasi wa NJE Wakandarasi wa Ndani wanategemea wapewe Pesa NDIO wafanye kazi km Pesa hakuna Kazi inadoda Ila wa NJE hata km Pesa haijaingia wanatumia za KWAO huku wakisubiria Pesa iingie ilimradi mradi usiishie NJIANIWakandarasi wa ndani ya nchi wana ubabaishaji mwingi Sana, they're not serious.
Tuna export vitu vingi tuu ila ni vichache na vyenye thamanindogo sana kulinganisha na tunavyo import.Nasikia karibuni tunaanza export mitumba ya nguo na viatu kutoka Tanzania kwenda sehemu zote za dunia...ππ
Wewe ulitakaje? Ulitaka Nini kiruhusiwe na Nini kisiruhusiwe? Kwani wabongo hawapo China?Kama unaruhusu wachina waje kuwa machinga kariakoo
Kama umeruhusu wachina wajenge jengo la maduka Ubungo badala ya kiwanda unategemea maajabu yapi?
Kama Wana pesa mbona miradi Yao imesimama? Kwa nini hawajengi Ili Waendelee kudai si Wana pesa? Labda pesa ya kuhonga.Sababu HAWANA PESA km Wakandarasi wa NJE Wakandarasi wa Ndani wanategemea wapewe Pesa NDIO wafanye kazi km Pesa hakuna Kazi inadoda Ila wa NJE hata km Pesa haijaingia wanatumia za KWAO huku wakisubiria Pesa iingie ilimradi mradi usiishie NJIANI
Kila siku tunalia kuhusu kuadikika Kwa Dola licha ya juhudi za kukuza Uchumi lakini hakuna ambae anajadili jambo Hilo Kwa kuangalia sababu za msingi.
Mojawapo ya vitu vinavyosababisha kuadikika Kwa Dola Nchini no hizo hapa π
1. Kuwapa kazi za Ujenzi wakandarasi wa kigeni badala ya wazawa Kwa visingizio vya hawana uwezo na uzoefu(wageni hulipwa Kwa Dola)
2. Kuagiza bidhaa nyingi ambazo tunaweza Kuzalisha wenyewe ndani ya mwaka eg maziwa,ngano,Mafuta ya kula,sabuni,vyakula vya mifugo,mbegu nk
3. Kukwamisha uwekezaji kutoka Nje kutokana na mitizamo ya siasa za ujamaa(kusema Nchi imeuzwa Kwa Waarabu,kuwa na sera ambazo hazitabiriki,Urasimu wa Kiserikali na Rushwa) eg miradi ya Lindi LNG na Liganga imekwama kutokana na siasa uchwara.
---
WAGENI WAVUNA FEDHA ZA MIRADI KULIKO WAZAWA
SERIKALI imesema asilimia kubwa ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inawanufaisha wageni kutoka nje ya nchi kuliko wazawa.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema bungeni Dodoma kuwa sababu kubwa inayochangia hali hiyo ni uwezo mdogo wa makandarasi wa ndani wa kifedha, mitambo na wataalamu hivyo inakuwa vigumu kwao kushindana kwenye zabuni za kazi na makandarasi kutoka nje hasa kampuni za Kichina.
Bashungwa amesema hayo akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/25 bungeni Dodoma jana. Alisema kwa mujibu wa takwimu za Bodi ya Usajili wa Makandarasi, kati ya miradi 36,839, wazawa walitekeleza miradi 35,351 sawa na asilimia 95.9 ya miradi hiyo.
Hata hivyo, Bashungwa amesema miradi iliyotekelezwa na wazawa ni midogomidogo yenye thamani ya Sh trilioni 23.749, sawa na asilimia 38.5 ya thamani ya miradi yote iliyosajiliwa na kutekelezwa katika kipindi hicho ambayo ni Sh trilioni 61.638.
βHivyo, makandarasi wa nje ambao ni takribani asilimia 4.1 walitekeleza miradi michache yenye thamani kubwa (asilimia 61.5 ya thamani ya miradi yote),β amesema Bashungwa.
Kwa mujibu wake, kuna kampuni 14,800 za ndani za makandarasi, za ushauri wa wahandisi ni 252 na kampuni za wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi ni 461.
Chanzo: Habari Leo
My Take
Naunga mkono wazo la Bashungwa kuanza kuwaamini Wakandarasi Wazawa.Sheria hii isiishie Wizara ya Ujenzi pekee Bali Taasisi zote.Tanzania sio Mali ya Wachina pekee.
πππππ mtumba toka Tz...Kilaza huyuπΈπβ.
Kama unaruhusu wachina waje kuwa machinga kariakoo
Kama umeruhusu wachina wajenge jengo la maduka Ubungo badala ya kiwanda unategemea maajabu yapi?
Ukikopa kibiashara kwa muda mfupi inakula kwako ...Kwani kukopa ni nini? Unakopa harafu unampa Mchina hapo unaingiliwa mara 2
Stow,Ila wa NJE hata km Pesa haijaingia wanatumia za KWAO huku wakisubiria Pesa iingie ilimradi mradi usiishie NJIANI
Unauliza maswali ya kijingaKama Wana pesa mbona miradi Yao imesimama?
Kama Wana pesa mbona miradi Yao imesimama? Kwa nini hawajengi Ili Waendelee kudai si Wana pesa? Labda pesa ya kuhonga.
Mnaotetea huu ujinga nadhani mtakuwa ni punguani mahala
Kama mitumba tunaimport kila siku sqsa hiyo nguo yako ya kajamba jamba utaexport wapi?.πππππ mtumba toka Tz...
Wewe umesema Wana pesa, wajenge Sasa tuone.Unauliza maswali ya kijinga
Unauliza maswali ya kijinga
Mentality za kikoloni.Tumetengeneza mifumo migumu kwa wakandarasi wa ndani ili waonekane hawawezi na hawana hela. Bond zinataka hela nyingi.
Lakini sio kwamba kazi hawawezi. Siku hizi hata kazi ndogo tu wanafanya makampuni ya nje. Unajiuliza kwanini? Jibu liko wazi...hawana hela za kugawa kama wachina.
Mentality za kikoloni.
Kama wanapesa mbona mkapa stadium wamekwama wanasubiri notice walipwe kwa awamu?.Sababu HAWANA PESA km Wakandarasi wa NJE Wakandarasi wa Ndani wanategemea wapewe Pesa NDIO wafanye kazi km Pesa hakuna Kazi inadoda Ila wa NJE hata km Pesa haijaingia wanatumia za KWAO huku wakisubiria Pesa iingie ilimradi mradi usiishie NJIANI
Nitatoa mfano:Stow,
Wa nje wanatumia pesa zao kwa maana ipi? Pesa za mradi au pesa za matumizi yao binafsi?
HAO waliopewa NDIO hawana Hela SIO wote ambao hawana HelaKama wanapesa mbona mkapa stadium wamekwama wanasubiri notice walipwe kwa awamu?.