Dola zimeadimika kwasababu wageni wanavuna fedha za miradi kuliko wazawa

Msoma umbeya utamjua tu. Jifunze kutengeneza pesa online kuliko kuhangaika na kusoma umbeya kwenye mitandao ya kijamii na kubishana na watu ovyo.
Hujui hata nini maana ya Paypal wala mifumo ya kupokea pesa kutoka nje ilivyo
Mimi nakwambia hivi, umbeya siachi, ila acha uwongo, bora uwe mbea, sio Muongo, Ukiwa Muongo unakua unaonekana much know, we don't deal with fukn liars bro, mbea ni cool, siio Muongo. Ww. Hela gani una make online useme dollar imepotea what do you do?
 
Endelea kusoma umbeya na kujibu umbeya mitandaoni. Unakitu gani cha kulipia au kuuza mtandaoni ulipwe kwa dollars? Unashindwa hata na Mange kimambi, mbeya mwenzako anayepiga pesa online😁😁😁😁😁😁😁
Wambeya wanakawaida ya kujibu bila kuelewa comment ya mtu na yeye aonekane.Hongera!
Mtu mwenyewe hajui nini maana ya paypal na yeye anavimba mtandaoni😁😁😁😁😁
 
Endelea kusoma umbeya na kujibu umbeya mitandaoni.
Wambeya wanakawaida ya kujibu bila kuelewa comment ya mtu na yeye aonekane.Hongera!
Mtu mwenyewe hajui nini maana ya paypal na yeye anavimba mtandaoni😁😁😁😁😁
😂😂😂😂Nkitaka kujua PayPal si nagoogle tu. Acha uwongo
 
Dogo ni Kuna ukweli lakini binajichanga kwenye hoja zako

Tunaposema uwekezaji mbovu ni pamoja na dp word je kazi inayoweza kufanya na wazawa (tics) kwa Nini umlete mgeni achote mihela apeleleke kwao

.Dogo tatizo bado ni lile lile labda kama na u na wewe umeridhika kwa kuwa tunajengewa misikiti

Nilimsikia mh mbowe anasema secta ya ujenzi Toka mwaka2014 serikali imelipwa foreign companies tril.4 na local companies bil 600 tu

Ccm wenzio wanasema wazawa hawatoi 10% lakini utataratibu huu unaua uchumi
 
😁😁😁😁😁😁
Nilifikiri unatumia paypal kumbe mpk u-google.
Mimi nafanya making money online, najua ugumu wake.
Wewe muongo, mimi nafanya making money online nddio nini, hata paypal hujui wewe. Muongo. Hujawahi tumia, ukiitumia sana uliregistet utake kutumia ila hujawahi. Urrroooongo huo. Usitupange hapa.
 
Mwenyeji Kushindwa ndio mdudu gani? Huo ujinga Serikali ya mama inaenda kuukomesha
mdudu gani vipi? Niliwahi kuwa kwenye mradi tukatangaza tenda ya consultancy moja (siyo mambo ya ujenzi), basi walijaza watz fulani na wazungu Canadians. Tulitaka kuwapa favour ya dhahiri wale watz wenzetu lakini ilishindikana kabisa maana walijaza ovyo ovyo hizo forms na ilibidi tuwaachie hao wazungu. Kwa kweli roho iliuma lakini forms zikishaingia kwenye system ndiyo basi tena.

Hakuna cha ujinga most of them hawako careful, au hawana fedha za kutosha kusupport ile bid.
 
Hapo Sumbawanga ujenzi wa Mradi wa Tactic km 12 kapewa Mchina wakati Sumry anaweza.

Mbeya Jiji km 15 kapewa Mchina wakati Wazawa wapo .

Huu upumbavu ukome mara Moja.
Magufuli alikuwa anawaamini sana wazawa!

Wachina walikuwa wanapewa mamiradi makubwa pekee!
.huyu bibi hamna kitu.
 
Magufuli alikuwa anawaamini sana wazawa!

Wachina walikuwa wanapewa mamiradi makubwa pekee!
.huyu bibi hamna kitu.
Hao wazawa aliowaamini Magufuli walikuwa wanapewa kazi zipi?

Umekurupuka.Kawaulize Wakandarasi kati ya huyo unaita Bibi na Magufuli nani amewasaidia watakupa majibu.
 
Kwa Sasa imewekwa kwenye sheria ya manunuzi so ni lazima sio option tena 👇👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1809105269336473793?t=V-Zo2_7Ye2EB2ZQVpd19PA&s=19
 
Hata hao wawekezaji wakiruhusiwa kwa wingi huoni itakua yale yale wanufaika ni wao!?
Maana katika miradi watayoanzisha wao watachukua asilimia kubwa kuliko taifa.
Uliona wapi taifa linaendelea kupitia wawekezaji wa nje kwa wingi!??
Nitajie hata taifa moja.

We ongea tu kumsifia huyo mama,ila sera zake mbovu ndio zimefikisha nchi hapa.
 
Hao wazawa aliowaamini Magufuli walikuwa wanapewa kazi zipi?

Umekurupuka.Kawaulize Wakandarasi kati ya huyo unaita Bibi na Magufuli nani amewasaidia watakupa majibu.
Magufuli ali balance acha ubishi.
Katika miradi mikubwa alihakikisha wazawa wengi wanajumuishwa katika huo mradi mgeni anakua msimamizi tu.
Refer uboreshaji wa MGR ya TRC kutoka jointed kuwa joint welded,asilimia 90 ya wafanyakazi walikua wazawa wachina walikua wanne tu kama wasimamizi.
Tofauti na miaka ya nyuma ilikua Mchina akija anakuja na wafanyakazi wake,hiyo MAGUFULI ALIKATAA.
 
Elewa mada yangu, balance of trade utaipata Kwa kuagiza bidhaa amabzo uanaeza uzalishaji mwenyewe? Hujaona orodha ya bidhaa nilizotaja hapo Juu?

Tanzania Hatuwezi uzalishaji Mafuta ya kula au maziwa fresh?
Sasa yeye kaongea nini na wewe unaongea nini mkuu!?
Si yale yale?
 
Nipo na mchina mmoja apa (mkandarasi)ni chapombe na sigara ni kwanzia morning!.

Tafuta hoja mr.
Hao jamaa hata wakiwa walevi vipi ila ni watu wa kukumbuka majukumu yao.
Hao jamaa wawajibikaji sana.
 
Hapo ndio umeandika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…