Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Mkuu kenya msimu huu ana chai Uganda ana kahawa leta ya sehem.kama Zambia, Kongo na mozambique maana hawa kwa msimu huu ni kama hawakuwa na mazao
Wewe kwa akili yako chai na kahawa ndio imefanga kuwa na hilo poromoko? Kila mwaka mauzo ya kahawa Uganda yanaongezeka kwa nn hakukua na poromoko?

2020/21 Uganda waliexport kahawa ya thamani ya $550m+

But kwa 2022/23 thamani iliongezeka hadi $860m+. Hapo kwa nn dollar haikuporomoka ije iporomoke kwa ongezeko la kutoka $860m to $1.1b??
 
Kwa hivyo monetary policy za Tanzania imesababisha kushuka kwa thamani ya dollar?
Sasa tukuelewe kipi ni sahihi sera za TZ au sera za USA kushusha interest rate za mikopo?
Mbona statements zako zinaji contradict?
Ujinga unakusumbua wapi nimesema monetary policy za Tanzania zinashusha thamni ya dollar ebu nionyeshe
 
Tukiwaambia Samia ni Mama wa Uchumi wa Tanzania muwe mnaelewa.

Na itashuka zaidi Hadi kuelekea mwezi wa 2 ndio inaweza simama kwanza ila kiangazi itashuka zaidi.

Habari njema Kwa Serikali hizi,deni la Taifa litapungua
 
Machadema na Chawa wa Mwendazake Kwa Sasa wamekosa hoja za kumnanga Samia.

-Mafuta bei chee yanazidi kupungua
-Dola ziko bwerere , Shilingi inaimarika.
-Vyakula viko bwerere bei chee
-Umeme ni bwerere bei kitonga
-Biashara zinamiminika vyuma vimelegea

Kiufupi Mama amewakata mdomo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Soma hapa Wale Waliokuwa Wanalalamika kuhusu Dola kwa sasa Wanaimba pambio gani tena?
 
Au ile kitu inaitwa BRICS inafanya yake?
 
Tusubiri kuna mtu atapongezwa muda si mrefu na mwingine atabubujikwa na machozi
CC Luka Mtakatifu wa Shamba
 
Msikilize Ruto kuhusu kushuka kwa bei ya petroli, halafu ujitafakari!

View: https://youtu.be/pvchKykQv5M?si=m71s6wUMT9EvWEVx
 
Niliw
Niliwaambia kuwa dr mwigulu nchemba ni mchumi nguli ndo mana samia hamgusi kabisa mana anamjua.. Ngoja ausuke uchumi
 
Heaabu ndogo sana Aliwapa Kaburu, park fee zote wana charge Tshs, Ukweli kwamba your tour operators wanapokea dollar, na sasa wanapaswa change to Tshs kulipa park fee which amounts to millions, dollar lazima iende chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…