Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Ndio tunanunua nje bidhaa nyingi ila ili dollar ishuke na tuwe na surplus lazima na sisi tuuze nje. Ndo maana ukiangalia hata maelezo yangu ni kuwa usd kushuka inaweza kuwa pia na kuongeza kwa mahitaji ya shilling kwa ajili ya ununuzi wa bidhaa za nje.
Mfano wanunuzi wa korosho,ufuta na mbaazi wanakuja na dollar ila mkulima wa tandahimba yeye anataka shilling tu ,kwahiyo huyo mnunuzi inambidi atafute shilling kwa namna yoyote ili aweze kununua korosho, hivyo kuongeza mahitaji ya shilling na kupatikana kwa usd na ndio maana ukiangalia kwa mwaka huu tanzania imepunguza trade deficit kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu imeuza bidhaa nyingi sana nje za almost usd 17bil
Mh tunauza nini mkuu
 
Kwanini imeanza kushuka miezi hii baada ya u.s federal reserve kuanza kushusha interest rate na sio miezi mingine
Mkuu siwez comment ila kumbuka maamuzi ya kuanza kununuliwa dhahabu yamefanyika kuanzia mwez wa saba na yameanza kufuatishwa mwezi wa tisa. Kuanzia mwez wa tano mpaka kumi tulikuwa na hali mbaya.
Jaribu kufuatiliq exportation ya bidhaa kuanzia tisa mpaka sasa kwa dhahabu,makaa ya mawe,korosho na kadhalika utagundua yameongezeka sana kama korosho imeongezeka karibia Mara mbili ya mwaka jana same gold
 
Kipindi imepanda tulikuwa hatuuzi
Mkuu unaelewa logic au unapinga tu. Logic ni kuwa mwaka huu tumeuuza Sanaa tofauti na miaka mingine hivyo dollar imepatikana kwa wingi tofaut na miaka mingine na ili upate pesa ya kigeni kabla ya hapo Bot haikuwa inanunua dhahab kwa ajili ya kupeg na tz shilling.
 
Unadanganya wazi wazi kwani miaka mingine tulikua hatuuzi kabisa hizo bidhaa

Anayeamua dollar ishuke au ipande ni u.s federal reserves
Option nyingine ili dollar ishuke nchi inatakiwa iwe na viwanda vingi sana vinavyozalisha bidhaa na kuuza nje ya nchi-sasa nenda kariakoo uone bidhaa nyingi zinatoka nje ya nchi

Tanzania na nchi nyingi za afrika wanauza raw materials ambazo thamani yake ni ndogo sana ukilinganisha na final products
 
Kuna mawili,

Aidha Dollar imeshuka thamani.
Au Tsh imepanda thamani.
Sasa hatuwezi ku conclude chochote kwa kutumia reference ya Tzs Vs Usd pekee..

Je Tzs vs Kes hali ikoje? Kes Vs Usd je?
Tzs Vs Euro hali ikoje? Euro Vs Usd je?
 
Kwa kiwango gani mfano mwaka jana cashewut exportation. Haikuzidi 230000 tonnes ila mpaka leo 338,000 na bado Mirada inaendelea ,mwaka jana ufuta haukufika tone 150,000 mwaka huu ulidouble , mauzo ya dhahabu nayo yamedouble Sasa hata kama uliuza,uliuza kwa kiwango gani, some la uchumi sio unavyofikiria.
Unavyouza sana ndo pesa yako inavyopata dhamani hakuna mtu kakupangia dhaman ya pesa yako. Interest ya marekani imeleta mabadiliko kwa nchi zinazofanya exportation na zile ambazo ni kama hakuna export hakuna lililobadilika
 
Tungekuwa hatuuz tungekuwa tunabeba fedha kwenye magunia
 
Kuna mawili,

Aidha Dollar imeshuka thamani.
Au Tsh imepanda thamani.
Sasa hatuwezi ku conclude chochote kwa kutumia reference ya Tzs Vs Usd pekee..

Je Tzs vs Kes hali ikoje? Kes Vs Usd je?
Tzs Vs Euro hali ikoje? Euro Vs Usd je?
Kuna biashara chache zinazotumia pound au euro kipimo ingekuwa na nchii walau tano zinazotuzunguka
 
Kwa kiwango gani mfano mwaka jana cashewut exportation. Haikuzidi 230000 tonnes ila mpaka leo 338,000 na bado Mirada inaendelea ,mwaka jana ufuta haukufika tone 150,000 mwaka huu ulidouble , mauzo ya dhahabu nayo yamedouble Sasa hata kama uliuza,uliuza kwa kiwango gani, some la uchumi sio unavyofikiria.
Unavyouza sana ndo pesa yako inavyopata dhamani hakuna mtu kakupangia dhaman ya pesa yako. Interest ya marekani imeleta mabadiliko kwa nchi zinazofanya exportation na zile ambazo ni kama hakuna export hakuna lililobadilika
Swala unauza nini
Wewe unauza raw material mwenzako anauza final products unazani mtakua sawa acha kujidanganya
 
Back
Top Bottom