dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa.
Basi kutoka na ninayoyaona hapa ndani ya nchi hii ikabidi nimdokeze baada ya kuona mzigo wake unakariibia kukata na mzigo huu unatoka Zambia kisha kwenda China kisha inarudi Afrika ikiwa na dhamani kubwa mno na mitaji ya kufanya biashara hyo lazima uwe vyema sana kimtaji. Basi nilimuuliza mzee itakuwa na nasikia dollars Ni adimu huu mzigo ukikata utanunua VIP.
Ndipo akanimbia kijana angu bishara bila connection ni kupiga mark time tu "alinieleza alisafiri hadi Arusha ndio akaenda akapata kwa mbinde tena mnakutana hotelini mnakabidhiana mzigo unamuachia madafu unapokea dollars Tena kwa Bei ya juu sana. Akasema tunakoelekea tutakamatwa na kupigwa kesi mbaya, anatamani aache hiyo biashara ya kuagiza mzigo China Ila akaona kiuchumi atadorora sana 😆
Akasema Dkt. Magufuli hakuwa mjinga kuwadhibiiti na kuvamia maduka ya kubadilisha fedha, aliona kuna uhuni mkubwa kwenye biashara hiyo ".
Dkt. Mwingulu Nchemba chukua hatua, Wizara imekushinda na wewe ndio tatizo linasemekana methods unazotumia kusimamia wizara zimefeli. Plz ondoka.