Dollars zimekwenda wapi? Kwa Sasa inapatikana kimagendo bila connection hupati

Dollars zimekwenda wapi? Kwa Sasa inapatikana kimagendo bila connection hupati

Ndio maana tunahitaji viongozi wenye akili zisizo za kawaida ili kuweza kutusaidia kila kwenye ugumu kwa kutumia akili zao na maarifa yao na sio watu wenye akili za kawaida ambazo wengi wetu tunazo.

Kiongozi anapaswa kuwa exception kwa kuja na solution pale ambapo akili zote zimeshindwa, na hili hufanyika kwa kutumia resources zilizokuwepo.

Haina maana yakuwa na viongozi kama na wao wanatoka mbele na kutuambia tatizo la Dola ni la dunia nzima na sio kuja na solution yakulimaliza na kulinda Taifa lako na crisis.
Raia anapolalamika kiongozi unapaswa kutoa solution na sio kulalamika.

Kwa sababu Zambia wana tatizo la Dola basi na Tanzania kuwa na tatizo hilo ni sawa, hapa ndio tunapaswa kuona umahili wa viongozi wetu ili tuwe na confidence na kujiona kweli tuko salama tutembee kifua mbele.

Akili iliyokomaa inapaswa kuja na suluhu madhubuti ya kila tatizo na sio blahblah na malalamishi kama ya watu wa kawaida, tunahitaji kuona maana ya kuwa na viongozi na tafsiri sahihi ya uongozi na sio blah blah defensive mechanism.
Sahih kbsa boss viongi lzm wa na mbandala na siyo kuanza kijifanainsha mataifa mengine Hali
 
Unapokuwa Captain wa Meli iwe cruiser ship, merchant ship au Naval ship wewe ndio umeshikilia maisha ya watu na usalama wa mizigo uliyobeba.

Kipimo chako cha uongozi hatukipimi kwenye open cool sea HAPANA, huwa tunakupima kwenye rough sea au high traffic strait/channel hapo ndipo tunasema Captain wetu umebobea.
 
Ni kweli mkuu.

Dola zinauzwa kwa mchongo watu wanapigiana simu tu na kubadilishana maburungutu ya hela.

Central Bank inaloose control watu wapo maofisini wanapiga porojo tu na viongozi wetu wanakuja kutupiga sound kwamba kila kitu kinakwenda sawa.
Waziri na gavana wawajibike.
 
Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa.

Basi kutoka na ninayo yaona Happ ndani ya nchi hi ikabidi nimdodoze baada ya kuona mzigo wake unakariibia kukata na mzigo huu unatoka Zambia kisha kwenda China kisha inarudi Afrika ikiwa na dhamani kubwa mno na mitaji ya kufanya biashara hyo lzm uwe vyema sana kimtaji. Bas nimuuliza mzee itakuwa na nasikiaa dollars Ni adimu huu mzigo ukikata utanunua VIP.

Ndipo akanimbia kijana angu bishara bila connection ni kupiga mark time tu "alinieleza alisafiri Hadi Arusha ndio akaenda akapata kwa mbinde tena mnakutana hotelin mnakabidhiana mzigo unamuachia madafu unapokea dollars Tena kwa Bei ya juu Sana akasema tunako elekea tutkamatwa na kupigwa kesi mbay anatamani aache hyo biashara ya kuagizaa mzigo china Ila akaona kiuchumi atadorora sana 😆

Akasema Dkt. Magufuli hakuwa mjinga kuwadhibiiti na kufamia maduka ya kubadilisha fedha aliona kuna uhuni mkubwa kwenye biashara hiyo ".

Dkt. Mwingulu Nchemba chukua hatua Wizara imekushinda na wewe ndio tatuzo linasemekana method unazotumia kusimmamia wizra zimefeli plz ondoka.
Dollars zimerudi Marekani,kuna uchaguzi mwaka huu!
 
Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa.

Basi kutoka na ninayoyaona hapa ndani ya nchi hii ikabidi nimdokeze baada ya kuona mzigo wake unakariibia kukata na mzigo huu unatoka Zambia kisha kwenda China kisha inarudi Afrika ikiwa na dhamani kubwa mno na mitaji ya kufanya biashara hyo lazima uwe vyema sana kimtaji. Basi nilimuuliza mzee itakuwa na nasikia dollars Ni adimu huu mzigo ukikata utanunua VIP.

Ndipo akanimbia kijana angu bishara bila connection ni kupiga mark time tu "alinieleza alisafiri hadi Arusha ndio akaenda akapata kwa mbinde tena mnakutana hotelini mnakabidhiana mzigo unamuachia madafu unapokea dollars Tena kwa Bei ya juu sana. Akasema tunakoelekea tutakamatwa na kupigwa kesi mbaya, anatamani aache hiyo biashara ya kuagiza mzigo China Ila akaona kiuchumi atadorora sana 😆

Akasema Dkt. Magufuli hakuwa mjinga kuwadhibiiti na kuvamia maduka ya kubadilisha fedha, aliona kuna uhuni mkubwa kwenye biashara hiyo ".

Dkt. Mwingulu Nchemba chukua hatua, Wizara imekushinda na wewe ndio tatizo linasemekana methods unazotumia kusimamia wizara zimefeli. Plz ondoka.
dola kutopatikana sio tatizo la serikali ni tatizo la wananchi, sasa kila mtu ananunua nje mnataka izo dola za ziada zitoke wap?
 
Shida nchi inaongozwa nabaliye Rais na sio taasisi,tunapata tabu kuipa kura UPINZANI kwani hawana watu.
Upinzani hauna watu na waliopo huko ccm wanafanya ufisadi tu wameshakiharibu chama.

Mfumo ujiandae kuweka chama mbadala kwa mustakabali wa Taifa letu.

Kama kweli tunaipenda nchi yetu, tuandae chama kingine kabisa kisicho na elements za haya mafisadi ya sasa.

Maana mafisadi yameshakigeuza chama kuwa mwavuli wa kupigia dili na wanarithisha mafisadi madogo yaliyokulia kwenye maisha ya anasa kupitia kodi zetu.
 
dola kutopatikana sio tatizo la serikali ni tatizo la wananchi, sasa kila mtu ananunua nje mnataka izo dola za ziada zitoke wap?
Funika ujinga wako na wewe ,kwamba siyo tatizo la.serkalii unajuwa adhari zakeikiwa Dolla itendelee kupaaaa?
 
Back
Top Bottom