Dollars zimekwenda wapi? Kwa Sasa inapatikana kimagendo bila connection hupati

Namdodoza = ninamdodosa, dhamani = thamani.. wewe ni Dr wa kusomea darasani au Dr Manyaunyau?
 
Tatizo la dollar ni la nchi nyingi mno. Hata hapo Zambia wanapitia wakati mgumu kuhusu dollar. Lawama anazopewa Hichilema ni kama anazopewa Samia. Hakuna Rais aliyeingia madarakani baada ya Covid19 kuanza amewahi kupumzika.
 
Mkuu umeongea kitu cha msingi sana. Hua naangalia wakat mwingine spidi yenye kasi sana wanayoenda wengine huko duniani kwenye mambo haya ya uchumi, teknolojia,biashara, naona kabisa sisi hapa tunapiga marktime tu, watu wana plan ama kufanya vitu vya mwaka 2080 nimewaza kubadlisha uraia na kuishi nchi nyingine kuna namna ukikaa hapa akili inakua kama IMEDUMAA hivi unakua kama.mjinga jinga flan..
 
Tatizo la dollar ni la nchi nyingi mno. Hata hapo Zambia wanapitia wakati mgumu kuhusu dollar. Lawama anazopewa Hichilema ni kama anazopewa Samia. Hakuna Rais aliyeingia madarakani baada ya Covid19 kuanza amewahi kupumzika.
Acheni utapeli mafala nyie copper inakwenda nnje Sana na zambai na congo dollar haziadimikagi ,,mm nina taarifa kamil mkuu
Acheni utapeli ni HV samia ameshindwa kazi aliyoridhishwa na CCM
 
Nakazia.
 
Aliyoridhishwa = aliyorithishwa. Kwanini usifanyie kazi kwanza huu ulemavu wako wa kushindwa kuandika kiswahili vizuri?
 
Sa

Sawa nitanyia Kaz vile mm cyo mtazania Hali like so came down nawazaidi mitazani mijinga jinga Kam we
 
Ni kweli mkuu.

Dola zinauzwa kwa mchongo watu wanapigiana simu tu na kubadilishana maburungutu ya hela.

Central Bank inaloose control watu wapo maofisini wanapiga porojo tu na viongozi wetu wanakuja kutupiga sound kwamba kila kitu kinakwenda sawa.
 
Wewe si ni liccm ama
 
Waziri wa fedha kutokea mkoa wa singida 🤣
 
Tatizo la dollar ni la nchi nyingi mno. Hata hapo Zambia wanapitia wakati mgumu kuhusu dollar. Lawama anazopewa Hichilema ni kama anazopewa Samia. Hakuna Rais aliyeingia madarakani baada ya Covid19 kuanza amewahi kupumzika.
Ndio maana tunahitaji viongozi wenye akili zisizo za kawaida ili kuweza kutusaidia kila kwenye ugumu kwa kutumia akili zao na maarifa yao na sio watu wenye akili za kawaida ambazo wengi wetu tunazo.

Kiongozi anapaswa kuwa exception kwa kuja na solution pale ambapo akili zote zimeshindwa, na hili hufanyika kwa kutumia resources zilizokuwepo.

Haina maana yakuwa na viongozi kama na wao wanatoka mbele na kutuambia tatizo la Dola ni la dunia nzima na sio kuja na solution yakulimaliza na kulinda Taifa lako na crisis.
Raia anapolalamika kiongozi unapaswa kutoa solution na sio kulalamika.

Kwa sababu Zambia wana tatizo la Dola basi na Tanzania kuwa na tatizo hilo ni sawa, hapa ndio tunapaswa kuona umahili wa viongozi wetu ili tuwe na confidence na kujiona kweli tuko salama tutembee kifua mbele.

Akili iliyokomaa inapaswa kuja na suluhu madhubuti ya kila tatizo na sio blahblah na malalamishi kama ya watu wa kawaida, tunahitaji kuona maana ya kuwa na viongozi na tafsiri sahihi ya uongozi na sio blah blah defensive mechanism.
 
Ni kweli mkuu.

Dola zinauzwa kwa mchongo watu wanapigiana simu tu na kubadilishana maburungutu ya hela.

Central Bank inaloose control watu wapo maofisini wanapiga porojo tu na viongozi wetu wanakuja kutupiga sound kwamba kila kitu kinakwenda sawa.
Jamaa alinunusuru gari ya m 120 sijui katoa wapi hzo dollars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…