Dollars zimekwenda wapi? Kwa Sasa inapatikana kimagendo bila connection hupati

Sahih kbsa boss viongi lzm wa na mbandala na siyo kuanza kijifanainsha mataifa mengine Hali
 
Unapokuwa Captain wa Meli iwe cruiser ship, merchant ship au Naval ship wewe ndio umeshikilia maisha ya watu na usalama wa mizigo uliyobeba.

Kipimo chako cha uongozi hatukipimi kwenye open cool sea HAPANA, huwa tunakupima kwenye rough sea au high traffic strait/channel hapo ndipo tunasema Captain wetu umebobea.
 
Ni kweli mkuu.

Dola zinauzwa kwa mchongo watu wanapigiana simu tu na kubadilishana maburungutu ya hela.

Central Bank inaloose control watu wapo maofisini wanapiga porojo tu na viongozi wetu wanakuja kutupiga sound kwamba kila kitu kinakwenda sawa.
Waziri na gavana wawajibike.
 
Dollars zimerudi Marekani,kuna uchaguzi mwaka huu!
 
dola kutopatikana sio tatizo la serikali ni tatizo la wananchi, sasa kila mtu ananunua nje mnataka izo dola za ziada zitoke wap?
 
Shida nchi inaongozwa nabaliye Rais na sio taasisi,tunapata tabu kuipa kura UPINZANI kwani hawana watu.
Upinzani hauna watu na waliopo huko ccm wanafanya ufisadi tu wameshakiharibu chama.

Mfumo ujiandae kuweka chama mbadala kwa mustakabali wa Taifa letu.

Kama kweli tunaipenda nchi yetu, tuandae chama kingine kabisa kisicho na elements za haya mafisadi ya sasa.

Maana mafisadi yameshakigeuza chama kuwa mwavuli wa kupigia dili na wanarithisha mafisadi madogo yaliyokulia kwenye maisha ya anasa kupitia kodi zetu.
 
dola kutopatikana sio tatizo la serikali ni tatizo la wananchi, sasa kila mtu ananunua nje mnataka izo dola za ziada zitoke wap?
Funika ujinga wako na wewe ,kwamba siyo tatizo la.serkalii unajuwa adhari zakeikiwa Dolla itendelee kupaaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…