Dollars zimekwenda wapi? Kwa Sasa inapatikana kimagendo bila connection hupati

Unaposema viongozi wawe exceptional unadhani wanatoka mbinguni? Viongozi wote wametokana na sisi wenyewe. Hii nchi haiwezi enda mbele kama watu wapuuzi kama wewe mnajifanya hamuoni, hamsikii wala kuona kinachoendelea duniani.
 
Sa
Sawa nitanyia Kaz vile mm cyo mtazania Hali like so came down nawazaidi mitazani mijinga jinga Kam we
Yaani hapa umeandika kiburundi au? Kinachonikera huna hoja halafu hata huo ushuzi unaouandika unaandika kwa maandishi yenye makosa.
 
Acha uzushi,Dollars zilianza kuadimika kabla maduka ya Bureau de Change hayajafunguliwa tena,na ukata wa Dollars ndio umefanya Serikali kuruhusu tena maduka.
 
sababu kubwa ni ufisadi, serikali inakopa kwa dola, zikija nchini watu wanaiba na kuzirudisha nje kuficha!
 
Wabongo mnaagiza sana kuliko hata kuuza nje...midola mtapataje
Kingine nchi inakopaaa mikopo sana, na sijuwi kama wana mikakati kwenye matumizi ya pesa hizo za mikopo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…