Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kuitupa kutaongeza ukubwa wa tatizo, irudishe makao makuu ya mtandao husika na pia toa ripoti kituo Cha polisi ili kuweka ushahidi mapema.Ifunge Ili Uepuke Kadhia
Ukiitupa Tu Kule Kwenye Usajili Inasoma Wewe
Marcus ungetoka nje mkalipana[emoji23][emoji1787]Kuna mtu alinitafuta sana nikamwambia Mimi sikujui ila alining'ang'ania sana kesho yake asubuhi akanitumia meseji akasema toka nje nipo hapa kwako nikamuuliza kwangu wapi? Daah mwishowe akaniambia malipo ni hapahapa.
Warudishie line yao.Wakupe nyingine.Hii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu tuhuma nyingi tu
Kwa mtindo huu wapo wanaouziwa matatizo na mitandao ya simu kwa kugawa namba hizo kwa wateja wapya, imagine mtu anaambiwa atasakwa awe dead au live.
- Ati nimetelekeza mimba
- Nimetelekeza watoto
- Nadaiwa ada za watoto
- Nakwepa kulipa kodi ya chumba
- Na meseji za mahusiano mapya nyingi
- Wanaume nao wananishambulia kuwa niachane na wapenzi wao wengine wananisaka
Hukutakiwa kuituoa bali kuwarudishia wenyeweKiukweli nimeitupa naona itaniharibia ndoa yangu
[emoji3]mkuu hawajatuma helaJuzikati nipo pale G7 Kinyerezi akapita dogo anasajili laini. Nikakumbuka kurenew laini yangu ya Airtel, salaleee wameshaigawa.
Nikamwambia anisajilie nyingine. Anapigaga maza mmoja ye kila siku anaulizia hamjambo huko? Namwambia hatujambo.....baadae anauliza lakini mbona wewe sio mwenye simu. Mwenyewe yuko wapi. Namwambia umekosea namba. Ameshapiga kama mara 5 na haachi.
Juzi hapa nimetumiwa message, NIAMBIE WE MWANAMKE.....sikuijibu.
Leo tena imekuja nyingine MAMB....nikajua hawa madogo wanatongozana.
Ngoja niendelee nione itakavyokuwa.
Hamna, sijaona muamala.[emoji3]mkuu hawajatuma hela