Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Haitasaidia bora naye aachane nayoHatari ni hiyo namba 6, maana hujui mambo yalikuwaje na huenda ndio sababu ya huyo mtu kutelekeza namba. Nakushauri wasiliana na huduma kwa wateja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitasaidia bora naye aachane nayoHatari ni hiyo namba 6, maana hujui mambo yalikuwaje na huenda ndio sababu ya huyo mtu kutelekeza namba. Nakushauri wasiliana na huduma kwa wateja.
Daaaa!! weeee!!!1 dogo umenifurahisaha sana una miaka mingapi kwani???...kanywe soda kwa mangi naja lipa mieHii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu tuhuma nyingi tu
Kwa mtindo huu wapo wanaouziwa matatizo na mitandao ya simu kwa kugawa namba hizo kwa wateja wapya, imagine mtu anaambiwa atasakwa awe dead au live.
- Ati nimetelekeza mimba
- Nimetelekeza watoto
- Nadaiwa ada za watoto
- Nakwepa kulipa kodi ya chumba
- Na meseji za mahusiano mapya nyingi
- Wanaume nao wananishambulia kuwa niachane na wapenzi wao wengine wananisaka
Nilidhani jnanitokea mimi peke yanguswali la kizushi. kwanini kila simu wrong call m..yani simu zilizokosewa huwa ni watu wa shinyanga au mwanza.. uani umekaa tu paa namba ngeni inaongea lafudhi ya kisukuma haha majina unakuta shija

TIGO kwa hili nawasifu sana namba mpk kupewa mtu mwingine inaweza chukua hata mwaka au miaka 2
lkn AIRTEL na HALOTEL wapuuzi sana tena sana waweza kukuharibia biashara yako yani namba ishajulikana na wateja ss ikatokea tatizo ikawa haupo hewani kwa miezi kadhaa ebwanaee siku unaenda kuirenew unaambiwa kashapewa mtu mwingine unaweza ukampiga mtu ngumi
.kuna ndugu yangu alikuwa anaishi SOUTHAFRICA
sasa alikuja TANZANIA akakaa Kama miezi minne hivi sasa ile tayari anajiandaa kuondoka kurudi BONDENI ndo ikawa CORONA na mipak ikafungwaa
akabaki TANZANIA kwa mwaka mmoja zaidi mpk mpaka wa SOUTH ulivyofunguliwa
jumla alikaa TANZANIA mwaka 1 na miezi 6
siku anaondoka akasema mpk akifika nyumbani atatumia Simu ya mkewe kutujurisha kam amefika salama
mana tuliamini (kwa upuuzi tuliouzoea watanaznaia)kwa muda aliokaa ile lain itakuwa ishafungiwa pengine hata kupewa mtu mwingine
lkn cha kushangaza ike kutua tu OLIVA THAMBO akatucheck kwa namba ile ile na salio lake lilikuwa vile vile hakuongeza
yeye alishangaa hata sisi tulishangaa
kusema ukweli WENZETU upuuzi upuuzi hawana kabisa ndo mana wanazidi kufanikiwa
Nilikuwa Kajiado kwa Ishu ya miezi Mitatu Bahati mbaya line nikapoteza kure.TIGO kwa hili nawasifu sana namba mpk kupewa mtu mwingine inaweza chukua hata mwaka au miaka 2
lkn AIRTEL na HALOTEL wapuuzi sana tena sana waweza kukuharibia biashara yako yani namba ishajulikana na wateja ss ikatokea tatizo ikawa haupo hewani kwa miezi kadhaa ebwanaee siku unaenda kuirenew unaambiwa kashapewa mtu mwingine unaweza ukampiga mtu ngumi
.kuna ndugu yangu alikuwa anaishi SOUTHAFRICA
sasa alikuja TANZANIA akakaa Kama miezi minne hivi sasa ile tayari anajiandaa kuondoka kurudi BONDENI ndo ikawa CORONA na mipak ikafungwaa
akabaki TANZANIA kwa mwaka mmoja zaidi mpk mpaka wa SOUTH ulivyofunguliwa
jumla alikaa TANZANIA mwaka 1 na miezi 6
siku anaondoka akasema mpk akifika nyumbani atatumia Simu ya mkewe kutujurisha kam amefika salama
mana tuliamini (kwa upuuzi tuliouzoea watanaznaia)kwa muda aliokaa ile lain itakuwa ishafungiwa pengine hata kupewa mtu mwingine
lkn cha kushangaza ike kutua tu OLIVA THAMBO akatucheck kwa namba ile ile na salio lake lilikuwa vile vile hakuongeza
yeye alishangaa hata sisi tulishangaa
kusema ukweli WENZETU upuuzi upuuzi hawana kabisa ndo mana wanazidi kufanikiwa
Nimecheka kama mazuri vile. Ila unachosema ni ukweli kabisa na issue ya kuangalia kwa umakini.Hii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu tuhuma nyingi tu
Kwa mtindo huu wapo wanaouziwa matatizo na mitandao ya simu kwa kugawa namba hizo kwa wateja wapya, imagine mtu anaambiwa atasakwa awe dead au live.
- Ati nimetelekeza mimba
- Nimetelekeza watoto
- Nadaiwa ada za watoto
- Nakwepa kulipa kodi ya chumba
- Na meseji za mahusiano mapya nyingi
- Wanaume nao wananishambulia kuwa niachane na wapenzi wao wengine wananisaka
Achana na hiyo lineHii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu tuhuma nyingi tu
Kwa mtindo huu wapo wanaouziwa matatizo na mitandao ya simu kwa kugawa namba hizo kwa wateja wapya, imagine mtu anaambiwa atasakwa awe dead au live.
- Ati nimetelekeza mimba
- Nimetelekeza watoto
- Nadaiwa ada za watoto
- Nakwepa kulipa kodi ya chumba
- Na meseji za mahusiano mapya nyingi
- Wanaume nao wananishambulia kuwa niachane na wapenzi wao wengine wananisaka
[emoji23][emoji2] no ya baharia fulani hivi..
Unafaa sana kufanya kazi Huduma kwa Wateja. Apply tukupe kazi 🙂Mimi ilinitokea, kuna watu wengi walikuwa wakinigia kutokea Lindi.
Kuna siku dada mmoja ikabidi niende naye sawa. Nikamuuliza, huyu unayemtafuta hauna namba yake nyingine? akasema namba nyingine sina, ila naweza kuipata maana watu wake wa karibu nawajua. Nikamwambia nitafutie hixo namba basi, akanitafutia na akanipa.
Baadaye sasa ikawa akipiga mtu simu, namwelekeza tu kwamba mtu unayemtaka anatumia namba fulani. Baada ya miezi kadhaa ishu ikaisha kabisa.
Kidogo niseme Job NdugaiMie nilikuwa nikipokea nasikia "habari za asubuhi muheshimiwa"!! Nastuka muheshimiwa which,who,where..? Mara wanitumie msg Mh. Kikao kile kimehairishwa hadi tarehe fulani.
Sijui ilikuwa namba ya muheshimiwa gani!
Kuna issues zingine za kiusalama ambapo ni lazima mhusika apate namba tofauti. Imagine ile namba ya baba yake Paul Makonda ambayo Ask. Gwajima aliitaja live wakati ule wa timbwili lao. Haikupita round, ikawa imebadilishiwa usajili.Sijui kwann huwa wanagawa namba za watu aisee. Unajua wanapogawa namba za simu za watu wanasahau kuwa kuna watu wanakuwa bado wanatafuta wahusika kupitia hizo namba.
Kwann utaratibu usingekuwa mtu akisajiri line, anapopoteza iwe ni lazima arejeshe namba ya awali awe nayo.
Hahahah[emoji23]Namba yangu mpya ya airtel zinaingia mesej za bili za maji na wamama wanapiga kuulizia ratiba za jumuia vikundi na mikopo,,,,,, Nimeifunga nimeachana nayo Ningejua bora ningetumia mbinu ya mshana Jr nawaambia karibu Mochwari tukuhudumie
Kuna uwezekano wa wafanyakazi wapya kurithishwa makoloniNiliwahi kusumbuliwa mno na watoto wengi sana wa kike as it seems aliyekuwa akitumia line ile kabla yangu alikuwa baharia flani hivi. Yaani kuna baadhi walikuwa wanang’ang’ania tukutane live ili kuhakikisha sio yule mtu wao. Mpaka huruma yaani
Ndicho kinachotokeaKuna uwezekano wa wafanyakazi wapya kurithishwa makoloni