Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya makampuni ya simu mawazo ya aina hii wanapaswa kufanyia kazi. Mwaka 2012 simu yangu iliibwa na laini ya Vodacom. Baada ya siku kumi kampuni hiyo ilimpa mteja wao namba kama ileile. Alichokipata yule dada Mungu anakijua. Nilielewa baada ya kufanya majaribio ya kuipiga namba ile ndipo dada alifunguka yaliyokuwa yakimsibu akipigiwa simu. 😂😂😂😂😂Nimeitupa mkuu hali haijawa shwari kabisa
Deep pondHuenda yumo humu
Umejichanganya shabani kaoneka😂Hii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu tuhuma nyingi tu
Kwa mtindo huu wapo wanaouziwa matatizo na mitandao ya simu kwa kugawa namba hizo kwa wateja wapya, imagine mtu anaambiwa atasakwa awe dead au live.
- Ati nimetelekeza mimba
- Nimetelekeza watoto
- Nadaiwa ada za watoto
- Nakwepa kulipa kodi ya chumba
- Na meseji za mahusiano mapya nyingi
- Wanaume nao wanashambulia kuwa niachane na wapenzi wao wengine wananisaka
Yeah. Fanya hivyo Mkuu.Labada niairenew then niifunge niitupe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji725]Hii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu tuhuma nyingi tu
Kwa mtindo huu wapo wanaouziwa matatizo na mitandao ya simu kwa kugawa namba hizo kwa wateja wapya, imagine mtu anaambiwa atasakwa awe dead au live.
- Ati nimetelekeza mimba
- Nimetelekeza watoto
- Nadaiwa ada za watoto
- Nakwepa kulipa kodi ya chumba
- Na meseji za mahusiano mapya nyingi
- Wanaume nao wanashambulia kuwa niachane na wapenzi wao wengine wananisaka
Aisee pole sanaHii kadhia huenda inawakuta wengi, nilikwenda ofisi ya 062 kupata line ya simu siku ya Ijumaa wiki iliyopita nikapewa na kuanza kuitumia, inavyoonekana hii namba ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine huko nyuma akaitelekeza, kinachonikuta hadi sasa ni wanawake 11 wananitumia meseji na kupiga simu tuhuma nyingi tu
Kwa mtindo huu wapo wanaouziwa matatizo na mitandao ya simu kwa kugawa namba hizo kwa wateja wapya, imagine mtu anaambiwa atasakwa awe dead au live.
- Ati nimetelekeza mimba
- Nimetelekeza watoto
- Nadaiwa ada za watoto
- Nakwepa kulipa kodi ya chumba
- Na meseji za mahusiano mapya nyingi
- Wanaume nao wanashambulia kuwa niachane na wapenzi wao wengine wananisaka
TIGO kwa hili nawasifu sana namba mpk kupewa mtu mwingine inaweza chukua hata mwaka au miaka 2Hiyo ni kawaida kwa mitandao yote. Line ikiwa dormant miezi mitatu wanapewa wateja wengine.