Minah
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 840
- 2,343
Nimeipenda hii mbinu ngoja nami niitumie𤣠maana kwa bahati mbaya special namba yangu ilikua inatumiwa na CHUO CHA AFYA nakoma kwa usumbufu na watu hawajiongezi kugoogle Details za hiko chuo japo sshv imepunguaNikawa napigiwa sana
Sasa ili kuwakomesha kila anayepiga nilikuwa namjibu HALO HAPA NI MOCHWARI KARIBU TUKUHUDUMIE...
Nilimaliza tatizo kwa namna hiyo