Domo zege disease tukutane hapa

Hahahahaha hahahahaha umenikumbusha mbali sana aisee shukrani miss natafuta
 
Dunia ya sa hv tunatongozana bado kwan?
 
Duh.... Hyo ndg zezeta kiwango cha lami ningkuwa mimi had papuchi ningeshakukula teh teh teh
 
Muhurumie bac mgagongane maana mpka saiv namhurumia jamaa
 
Ila kukataliwa c mchezo. Inauma ww acha tu, unamtongoza dem hlf anakukataa..anakutangazia kwa marafiki zake, na hapo ushampa credit za bure na bichwa juu Miss Natafuta
 
nimecheka sana aic mis natafuta...yaan nimecheka saaaaanaaa lol.mi mwenyewe hubby hakunitongoza dir..lol..wish nningekuwaa boy ahahahahhhha na ninavyojua kuongea sasa na kupangilia maneno uwiiiiii...mi mwenzenu kila sehem hua napeenya aic yaan hua natumia hasa haiba niliyonayo kufan8kisha biashara zangu ...mie ndukiiiiii...safi sn
 

Huyo ndio mwanaume safi wa kuwa mumeo maana akishakupata hatatongoza mwingine tena [emoji3]
 
ahahaaa naomba mashairi jamani
 
kutongoza raha sana... starehe ya bure unaanzaje kuogopa kuitumia!!?
 
Alikuona wa kawaida sana,masaa 3 unakula tu,kama mmoja nilikutana naye soda ya kwanza akamaliza,akaomba na ya pili,mimi nikaingia mitini
 
hah
Alikuona wa kawaida sana,masaa 3 unakula tu,kama mmoja nilikutana naye soda ya kwanza akamaliza,akaomba na ya pili,mimi nikaingia mitini

ahahhhhahah katoka shamba huyo au msukuma kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…