Donald Trump ahofia njama za Iran kumuua, aomba ulinzi wa ndege na magari ya kijeshi wiki za mwisho kampeni uchaguzi Mkuu Marekani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Biden asema ameshatoa kibali trump apewe ulinzi sawa na Rais aliyeko madarakani

Soma Pia:
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

October 11, 2024
Trump asks for military aircraft protection, citing Iran threat

Reuters

Donald Trump’s campaign has requested the use of military aircraft and vehicles to protect the former president as he campaigns during the final weeks of the presidential campaign, the New York Times and Washington Post report.

The request follows two recent assassination attempts against the Republican presidential candidate. It also comes after Trump’s campaign last month said he had been briefed by US intelligence officials on alleged threats from Iran to assassinate him.

A representative for the US Secret Service, which is charged with protecting presidential candidates, says “the former president is receiving the highest levels of protection” but confirms the Trump campaign had requested more.

“The Secret Service will remain vigilant and continue to adjust and enhance its protective posture as needed to mitigate evolving threats,” the representative says.

US President Joe Biden, speaking to reporters, says he has authorized security to protect Trump as if he were a sitting president, and if Trump’s request falls in that category it should be granted.

Representatives for Trump’s campaign did not immediately respond to a request for comment.

According to the New York Times, Trump’s campaign has been in contact with White House chief of staff Jeff Zients and acting Secret Service Ronald Rowe asking for military assets to protect the Republican candidate, who is facing US Vice President Kamala Harris in the Nov. 5 presidential election.
 
Iran anatafutiwa sababu tu hapa na lengo ni kuja kumuondoa Ayatola kwa nguvu za kijeshi kiuwalinda Waisreaeli.

Mpaka hapa watu wa kitengo huko US wameshaamua Trump ndio raisi ataemrithi Biden, na moja ya jukumu lake litakuwa ni kumuondoa Ayatola.
 
Natabiri itakua vita ngumu sana kupiganwa kwa karne hizi za karibuni na itakua ni risk kubwa sana Marekani kujaribu hio move, kwani Irani sio Iraq ya sadam, akivurugwa Iran ataharibu mtandao wote wa mafuta middle east na usalama wa safari kwenye bahari zote itakuwa vurugu tupu na itachochea akina kidugu na putin na hata china kupenyeza silaha za kutungulia meli zilizo kali hii mbungi na uhakika US na Nato bado hawahitaji kwa sasa lakin inawezekana ila si vyepesi
 
Trump siyo mtu wa vita
 
Iran anatafutiwa sababu tu hapa na lengo ni kuja kumuondoa Ayatola kwa nguvu za kijeshi kiuwalinda Waisreaeli.

Mpaka hapa watu wa kitengo huko US wameshaamua Trump ndio raisi ataemrithi Biden, na moja ya jukumu lake litakuwa ni kumuondoa Ayatola.
Nafahamu na hata hao Iran wanalifahamu hilo uliloandika, lakini sio jambo jepesi hivyo kama unavyofikiria. Iran sio sawa sawa na Iraq au Libya.

Kama wamemshindwa Asadi anaepewa tu ulinzi na silaha na Iran Je unafikiri wataiweza Iran? Sasa hivi hakuna vita vya kishamba kama vile vya kina Sadam Hussein. Hata Afghanistan tu hapo walikimbia.
 
Marekani akija kuthubutu kuivamia Iran atakumbana na aibu ya karne aliyo ipata Vietnam ni chamtoto.
 
Hapo Syria Russia ndo anamkinga Assad.
 
Trump akishinda urais ndio utakuwa mwisho wa serikali ya ayatollah Khomeini huko Iran
 
Hapo Syria Russia ndo anamkinga Assad.
Umeandika ujinga. Assad ni shia, na lengo kuu la Iran ni kuwapigania na kuwalinda kwanza mashia popote walipo hapo mashariki ya kati. Ndomaana unaona anatoa support kubwa sana ya silaha kwa Hezbullah, Houth na lile kundi la shia linalopigana nchini Iraq.

Obvious kwa kawaida rafiki wa Iran ndio rafiki wa mrusi, hivyo kwa vile Iran inamlinda Assad basi ni lazima mrusi na yeye ashirikiane nae. Yeye mwenyewe mrusi yupo kwenye vita miaka miwili sasa, so anawezaje kuilinda nchi nyingine full power na wakati yeye mwenyewe sometimes anapewa makombora na ndege zisizokuwa na rubani na Iran ili zimsaidie kumpiga mu Ukraine. Najua haupendi kusikia habari zozote zinazoonesha kuwa Iran ina nguvu, lakini huo ndio ukweli kuwa jamaa wana nguvu za kijeshi ambazo wamezionesha kwa kushambulia Israel mara mbili bila majibu yoyote ya kulipiza kisasi kutoka Israel, Marekani, UK wala EU.

Hii inaitwa msiempenda kaja. Vikwazo kibao lakini bado wanatengeneza silaha zao wenyewe, tena kwa wingi mpaka zingine wanazisambaza kama msaada kwa hezbulah, houth na hata Urusi ili ziwasaidie kupambana na Ukraine. Tofauti ni Israel ambayo yenyewe ndio inayotegemea silaha kutoka Ulaya na Marekani.
 
Wewe ni MPUUZI mmoja unaendeshwa kwa hisia za KOBAZI, Russian alikuwepo Syria na bado anatoa full support kwa Assad, hiyo vita na Ukraine imeanza miaka miwili iliyopita wakati alishakuwepo nchini Syria, acha ujuaji.mzee wa KOBAZI.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Biden asema ameshatoa kibali trump apewe ulinzi sawa na Rais aliyeko madarakani

Soma Pia:
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

October 11, 2024
Trump asks for military aircraft protection, citing Iran threat

Reuters

Donald Trump’s campaign has requested the use of military aircraft and vehicles to protect the former president as he campaigns during the final weeks of the presidential campaign, the New York Times and Washington Post report.

The request follows two recent assassination attempts against the Republican presidential candidate. It also comes after Trump’s campaign last month said he had been briefed by US intelligence officials on alleged threats from Iran to assassinate him.

A representative for the US Secret Service, which is charged with protecting presidential candidates, says “the former president is receiving the highest levels of protection” but confirms the Trump campaign had requested more.

“The Secret Service will remain vigilant and continue to adjust and enhance its protective posture as needed to mitigate evolving threats,” the representative says.

US President Joe Biden, speaking to reporters, says he has authorized security to protect Trump as if he were a sitting president, and if Trump’s request falls in that category it should be granted.

Representatives for Trump’s campaign did not immediately respond to a request for comment.

According to the New York Times, Trump’s campaign has been in contact with White House chief of staff Jeff Zients and acting Secret Service Ronald Rowe asking for military assets to protect the Republican candidate, who is facing US Vice President Kamala Harris in the Nov. 5 presidential election.
kweli zama zimebadilika yani leo hii US ndiye wa kutishiwa na nchi nyingine kuwa inaweza kuua former president.
Noma sana. Jana nimeona Vintage kuwa inasemekana mkuu wa kikosi cha Quds cha Iran anatuhumiwa kuwa agent wa mossad maana wale viongozi wa hezibollah na yule wa hamas kuna dalili mashambulizi yalikuwa yanawapata baada ya yeye kukutana au kuwasiliana nao.
 
Iran anatafutiwa sababu tu hapa na lengo ni kuja kumuondoa Ayatola kwa nguvu za kijeshi kiuwalinda Waisreaeli.

Mpaka hapa watu wa kitengo huko US wameshaamua Trump ndio raisi ataemrithi Biden, na moja ya jukumu lake litakuwa ni kumuondoa Ayatola.
yes inawezekana but kumuua ayatolah haitasaidia kitu coz watamchagua mwingine tena hapa usa wanatakiwa wauondoe mfumo mzima wa kiutawala na ili kufanikisha hilo usa inabidi wapigane vita kamili na iran which is easier said than get it done.!!
 
Marekani akija kuthubutu kuivamia Iran atakumbana na aibu ya karne aliyo ipata Vietnam ni chamtoto.
unadhani atakuja peke ake? Anaweza kuwatumia washirika wake wa karibu ambao wapo karibu na iran kumrahisishia kazi mfano jordan,kuwait n.k
 
Back
Top Bottom