Donald Trump ahofia njama za Iran kumuua, aomba ulinzi wa ndege na magari ya kijeshi wiki za mwisho kampeni uchaguzi Mkuu Marekani

Trump akishinda urais ndio utakuwa mwisho wa serikali ya ayatollah Khomeini huko Iran
wamekufa wangapi na bado watu wapya wanakuja frontline kila siku...sio kila mtu atawasujudia hao WORLD NEW ORDER wengine tutawapinga mpk mwisho wa dunia
 
Iran anatafutiwa sababu tu hapa na lengo ni kuja kumuondoa Ayatola kwa nguvu za kijeshi kiuwalinda Waisreaeli.

Mpaka hapa watu wa kitengo huko US wameshaamua Trump ndio raisi ataemrithi Biden, na moja ya jukumu lake litakuwa ni kumuondoa Ayatola.
watu kama ayatolah hawawezi kuisha walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo
 
Sio mtu wa vita, unafikiri UsA 🇺🇸. Inaoongozwa na akili za mtu mmoja
Angeingia vitani na Iran kipindi chake,maana israel na saudia waliojitahidi kumtia hatiani Iran kwa kulipua meli,lakini trump aligoma akamtimua bolton na kusema bolton hufurahia nchi zikiangushiwa mabomu sasa mabomu yanamwangukia yeye
 
Wewe ni MPUUZI mmoja unaendeshwa kwa hisia za KOBAZI, Russian alikuwepo Syria na bado anatoa full support kwa Assad, hiyo vita na Ukraine imeanza miaka miwili iliyopita wakati alishakuwepo nchini Syria, acha ujuaji.mzee wa KOBAZI.
Naona ni kazi ngumu sana kwa mtu mwenye akili kama mimi kubishana na lipumbavu. Kwani ni wapi nilipoandika kuwa Russia haipo Syria?

Hivi unajua kusoma kweli au unakimbilia tu kuandika ushuzi wako bila kuelewa kilichoandikwa? Nimekwambia kuwa ushirikiano wa Iran na Russia umesababisha Russia iungane na Iran kum support Assad ili kuulinda utawala wa kishia unaoongozwa na Assad pale Syria.

Najua lengo lako ni kutaka ionekane kuwa Iran haijamsaidia Assad, kitu ambacho kinafanya wafuatiliaji wa vita vya mashariki ya kati wakuone wewe kuwa ni mpumbavu zaidi. Pale mashariki ya kati popote ilipo shia ujue nyuma yake kuna Iran piga ua. Hakuna namna ambayo mtu anaweza kuutenganisha utawala unaoongozwa na mashia na Iran, Never. Mrusi anachofanya ni kuunganisha nguvu pale aliposimama Iran. Hapo chini nimekuwekea picha ya Syria pamoja na makundi yale yale niliyoyaandika hapo juu, ambayo yote kwa umoja wao yanapata support kutoka Iran.

Unajiaibisha dada yangu, jambo kama hulijui bora ukae kimya.

Attachments

  • Screenshot_20241012-134930.jpg
    Screenshot_20241012-134930.jpg
    257.8 KB · Views: 1
Kwani MAJINI huwa haya husiki kwenye harakati hizi?
Hayaonekani, yanafika kila mahala, wanasubiri nini kuyatumia?
 
Natabiri itakua vita ngumu sana kupiganwa kwa karne hizi za karibuni na itakua ni risk kubwa sana Marekani kujaribu hio move, kwani Irani sio Iraq ya sadam, akivurugwa Iran ataharibu mtandao wote wa mafuta middle east na usalama wa safari kwenye bahari zote itakuwa vurugu tupu na itachochea akina kidugu na putin na hata china kupenyeza silaha za kutungulia meli zilizo kali hii mbungi na uhakika US na Nato bado hawahitaji kwa sasa lakin inawezekana ila si vyepesi
ugumu uko wapi ,anayempa kiburi urusi ni ujerumani na kashaonywa na trump

NATO,inatakiwa kuamua moja
 
Naona ni kazi ngumu sana kwa mtu mwenye akili kama mimi kubishana na lipumbavu. Kwani ni wapi nilipoandika kuwa Russia haipo Syria?

Hivi unajua kusoma kweli au unakimbilia tu kuandika ushuzi wako bila kuelewa kilichoandikwa? Nimekwambia kuwa ushirikiano wa Iran na Russia umesababisha Russia iungane na Iran kum support Assad ili kuulinda utawala wa kishia unaoongozwa na Assad pale Syria.

Najua lengo lako ni kutaka ionekane kuwa Iran haijamsaidia Assad, kitu ambacho kinafanya wafuatiliaji wa vita vya mashariki ya kati wakuone wewe kuwa ni mpumbavu zaidi. Pale mashariki ya kati popote ilipo shia ujue nyuma yake kuna Iran piga ua. Hakuna namna ambayo mtu anaweza kuutenganisha utawala unaoongozwa na mashia na Iran, Never. Mrusi anachofanya ni kuunganisha nguvu pale aliposimama Iran. Hapo chini nimekuwekea picha ya Syria pamoja na makundi yale yale niliyoyaandika hapo juu, ambayo yote kwa umoja wao yanapata support kutoka Iran.

Unajiaibisha dada yangu, jambo kama hulijui bora ukae kimya.
Huna uelewa dogo wa 2000s. Piga kimya wazazi wako wakikuelewesha.
 
Back
Top Bottom