Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Longu live the president kuna wadau sahii wanagongeana Cheers hukoAtafia madarakani
Na kichwani yupo vizuri pia ongezea hilo umelisahau hapotezi kumbukumbu km yule kibabu cha kijadiSafi sana Donald...........nimeona X huko,huyu jamaa hapendwi kwasababu ni mcha Mungu na anasema ukweli kwa lugha ngumu tena ya kuudhi...........
Umri 0Hivi una miaka mingapi?
Toka pepo!Atafia madarakani
Bora aisee kuliko sisi tutakaofia usingizini kwa stress za maisha ya BongoAtafia madarakani
Kwanini Umejibu kikatili mno?
Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.
Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.
Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.
View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ
Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .
Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .
Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.
Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tusishirikiane sekta zote.
Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni
πππNdugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.
Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.
Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.
View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ
Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .
Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .
Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.
Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.
Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni