Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Aache uongo, Elon musk anadanganywaje na yeye ndo mwenye àkili nyingi duniani?Hii naona Elon Musk amemwambia na ku -influence Trump aipiganie kwa nguvu zake zote. Elon ana hasira mtoto wale alizaliwa mwanaume (Xavier) anakapewa hormones blockers zimemsadia kuwa Transwoman (Vivian).
Elon amesema atapigana vita kuondoa hivyo vitu sababu anasema walimdanganya ili akatoa ruhusa mtoto wake apewe hayo madawa.
Elon Musk’s estranged trans daughter says she doesn’t ‘see a future’ in the US
‘Even if he’s only in office for 4 years, even if the anti-trans regulations magically don’t happen, the people who willingly voted this in are not going anywhere anytime soon,’ the Tesla CEO’s daughter wrotewww.independent.co.uk
Ni kweli hatoboi, maana anaziba riziki za watu. Ushoga na ufiraji ni bashara ya wenye nguvu ya kifedha dunianiAtafia madarakani
Watanzania bhana... Video fake hyoo..Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.
Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.
Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.
View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ
Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .
Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .
Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.
Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.
Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni
Elon anasema hakujua effects yake ya hizo hormones puberty blockers na walimwambia zitaokoa maisha ya mtoto wake, Elon anasema alikuwa kwenye hali ya kuchanganyikiwa wakati wa Covid na kuokoa maisha ya mtoto wake.Aache uongo, Elon musk anadanganywaje na yeye ndo mwenye àkili nyingi duniani?
Nafikiri WaTz hatujafika huko.Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.
Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.
Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.
View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ
Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .
Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .
Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.
Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.
Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni
Hahaha eti mcha Mungu, Anasali kanisa gani au msikiti gani?Safi sana Donald...........nimeona X huko,huyu jamaa hapendwi kwasababu ni mcha Mungu na anasema ukweli kwa lugha ngumu tena ya kuudhi...........
Unadhani mtu anayeshinda Kanisani au msikitini ndiyo mcha Mungu, unaweza kuwa una imani yako ya kwenye mapango huko,lakini matendo yako yakawa yanaakisi wema,upendo na yale yote mambo mazuri yanayompendeza Mungu na yanahubiriwa kila siku kwenye hizo dini unazozijua ww.Matendo mema ndiyo taswira ya mcha MunguHahaha eti mcha Mungu, Anasali kanisa gani au msikiti gani?
Hivyo Trump ana matendo mema?Unadhani mtu anayeshinda Kanisani au msikitini ndiyo mcha Mungu, unaweza kuwa una imani yako ya kwenye mapango huko,lakini matendo yako yakawa yanaakisi wema,upendo na yale yote mambo mazuri yanayompendeza Mungu na yanahubiriwa kila siku kwenye hizo dini unazozijua ww.Matendo mema ndiyo taswira ya mcha Mungu
Hata ww kwa namna unavyomsikiliza una tafsiri yako nzuri tu,so baki na unavyomuelewa namm nabaki na ninavyomuelewa.Hivyo Trump ana matendo mema?
hii ya LGBTQI ni mipango ya kuzimu. shetani ndiye mfaidika. usisahau ibilisi anatafuta wafuasi ambao atakwenda nao kwenye ziwa la moto. (maana tayari yeye keshahukumiwa)Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.