Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

I wish this could happen in Tanzania! Kuna mawaziri wanne watano na president mmoja hivi tungehakikisha wanavaa uniform za magereza! Lakini wakijua hili, wakajiwekea kinga!
 
You really believe that? Ila Marekani safari hii wako between a rock and a hard place, mchague Trump mhalifu, au Biden muungaji mkono mauaji Gaza. Wengi hawatapiga kura kwa sababu wataona ni choice between two devils you know.

..Netanyahu anampenda Trump kuliko Biden. Sasa jiulize kwanini?

..Trump akiwa White House Wapalestina hawatapata nafuu yoyote.
 
Trump akiwa Rais hakukuwepo na hizi vita zilizopo sasa.

Vita zote zilizopo sasa hivi zimetokea kipindi cha Biden.

Una akili kweli wewe?
Mbona kwenye topic nyingine huwa unchangia vizuri ndugu yangu lakini hii ya Trump unekuwa hazy sana?

Umekunbwa na nini?

Ndugu yako nimeanza kuwa na concern sana nitakuja kukutafuta huko GA summer hii kabla kesi ya Foulton County haijaanza
 
..Netanyahu anampenda Trump kuliko Biden. Sasa jiulize kwanini?

..Trump akiwa White House Wapalestina hawatapata nafuu yoyote.
Exactly trump hana sense of humor yan for how alikuw anasem akiwa raisi nikasem WW3 iyo
 
I get your sentiments.

I only wonder if you wouldn’t have
wished for a Trump victory even in the absence of all the fuss. Yaani hizi kesi zisingekuwepo basi usingekuwa na tatizo na Democrats; ungeona sawa tu hata Biden akishinda.

Mawazo yako hapa yana tone ya MAGA supporter - against liberal ideology.
 
Mbona kwenye topic nyingine huwa unchangia vizuri ndugu yangu lakini hii ya Trump unekuwa hazy sana?

Umekunbwa na nini?

Ndugu yako nimeanza kuwa na concern sana nitakuja kukutafuta huko GA summer hii kabla kesi ya Foulton County haijaanza
Sipendi uonevu wa aina yoyote ile.

My sense of justice is clearly far superior to yours.

Mimi hata watu nisiowapenda, nikiona wanaonewa, nitasema.

Wewe inaonekana uko tofauti.

Simpendi Nape. Lakini aliponyanyaswa kwa kunyooshewa bastola, nilikipinga hicho kitendo.

Nimepinga mara nyingi sana viongozi wa upinzani Tanzania kubambikiwa kesi uchwara.

Mimi niko hivyo. Ni mpenda haki.

Wewe uko tofauti. Unasukumwa na hisia za kinazi.

Nitaendelea kuwa hivi nilivyo. Yeyote atakayeonewa, hata kama ni adui yangu, sitounga mkono uonevu huo.

Haki ni haki tu.
 
You know what? Ingekuwa ndo Biden anafanyiwa hivi, ningekuwa upande wake.

Sipendi uonevu.

Hiki kinachoendelea dhidi ya Trump ni lawfare.

Hata CCM huwa inatumia lawfare dhidi ya wapinzani. I’m against that too.

Having said that, I just went and donated money to Trump’s campaign.
 
Na tatizo kubwa alilo analo Donald Trump ni kwamba jaji atakaetoa hukumu ni yuleyule jaji ambae (yeye) mwenyewe Donald Trump amekuwa akitoa kauli za kumkashifu kwamba ni fisadi, mla rushwa na mbembezu.
 
Ni n
 
Na tatizo kubwa alilo analo Donald Trump ni kwamba jaji atakaetoa hukumu ni yuleyule jaji ambae yeye)mwenyewe Donald Trump amekuwa akitoa kauli za kumkashifu kwamba ni fisadi, mla rushwa na mbembezu.
So?

Huyo jaji hawezi tu kujitungia hukumu zake anazotaka yeye.

Kuna miongozo ya kisheria.

Licha ya hivyo, ngoma bado mbichi na ikibidi itaenda mpaka kwenye mahakama ya upeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…