Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

Acha sheria ichukue mkondo wake. Ameshitakiwa mbele ya mahakama kama raia mwingine yeyote wa kawaida. Ukishasema kesi ilikuwa kwenye eneo la democrats una sahau kuwa alizaliwa na kupatia umaarufu wake kwenye eneo hilo hilo. Mashahidi wote waliotumika kumtia hatia ni marafiki zake wa zamanı aliofahamiana nao kwa muda mrefu sana.
I wish this could happen in Tanzania! Kuna mawaziri wanne watano na president mmoja hivi tungehakikisha wanavaa uniform za magereza! Lakini wakijua hili, wakajiwekea kinga!
 
You really believe that? Ila Marekani safari hii wako between a rock and a hard place, mchague Trump mhalifu, au Biden muungaji mkono mauaji Gaza. Wengi hawatapiga kura kwa sababu wataona ni choice between two devils you know.

..Netanyahu anampenda Trump kuliko Biden. Sasa jiulize kwanini?

..Trump akiwa White House Wapalestina hawatapata nafuu yoyote.
 
Trump akiwa Rais hakukuwepo na hizi vita zilizopo sasa.

Vita zote zilizopo sasa hivi zimetokea kipindi cha Biden.

Una akili kweli wewe?
Mbona kwenye topic nyingine huwa unchangia vizuri ndugu yangu lakini hii ya Trump unekuwa hazy sana?

Umekunbwa na nini?

Ndugu yako nimeanza kuwa na concern sana nitakuja kukutafuta huko GA summer hii kabla kesi ya Foulton County haijaanza
 
Marekani ishageuka kuwa banana republic. Democrats wameiharibu nchi!

Absolutely garbage case. Total embarrassment for the American justice system.

Ipo siku na wao [Democrats] yatawatokea puani.

Now I want Trump to win in November.

Sipendi kabisa uonevu wa aina yoyote ile, hususan wa kisiasa.

Weaponizing the justice system to hurt your political opponents is the hallmark of a banana republic!!

Tofauti ya Democrats na CCM ni nini? 🤣

Shameful.
I get your sentiments.

I only wonder if you wouldn’t have
wished for a Trump victory even in the absence of all the fuss. Yaani hizi kesi zisingekuwepo basi usingekuwa na tatizo na Democrats; ungeona sawa tu hata Biden akishinda.

Mawazo yako hapa yana tone ya MAGA supporter - against liberal ideology.
 
Sipendi uonevu wa aina yoyote ile.

My sense of justice is clearly far superior to yours.

Mimi hata watu nisiowapenda, nikiona wanaonewa, nitasema.

Wewe inaonekana uko tofauti.

Simpendi Nape. Lakini aliponyanyaswa kwa kunyooshewa bastola, nilikipinga hicho kitendo.

Nimepinga mara nyingi sana viongozi wa upinzani Tanzania kubambikiwa kesi uchwara.

Mimi niko hivyo. Ni mpenda haki.

Wewe uko tofauti. Unasukumwa na hisia za kinazi.

Nitaendelea kuwa hivi nilivyo. Yeyote atakayeonewa, hata kama ni adui yangu, sitounga mkono uonevu huo.

Haki ni haki tu.
 
I get your sentiments.

I only wonder if you wouldn’t have
wished for a Trump victory even in the absence of all the fuss. Yaani hizi kesi zisingekuwepo basi usingekuwa na tatizo na Democrats; ungeona sawa tu hata Biden akishinda.

Mawazo yako hapa yana tone ya MAGA supporter - against liberal ideology.
You know what? Ingekuwa ndo Biden anafanyiwa hivi, ningekuwa upande wake.

Sipendi uonevu.

Hiki kinachoendelea dhidi ya Trump ni lawfare.

Hata CCM huwa inatumia lawfare dhidi ya wapinzani. I’m against that too.

Having said that, I just went and donated money to Trump’s campaign.
 
Na tatizo kubwa alilo analo Donald Trump ni kwamba jaji atakaetoa hukumu ni yuleyule jaji ambae (yeye) mwenyewe Donald Trump amekuwa akitoa kauli za kumkashifu kwamba ni fisadi, mla rushwa na mbembezu.
 
Ni n
Marekani ishageuka kuwa banana republic. Democrats wameiharibu nchi!

Absolutely garbage case. Total embarrassment for the American justice system.

Ipo siku na wao [Democrats] yatawatokea puani.

Now I want Trump to win in November.

Sipendi kabisa uonevu wa aina yoyote ile, hususan wa kisiasa.

Weaponizing the justice system to hurt your political opponents is the hallmark of a banana republic!!

Tofauti ya Democrats na CCM ni nini? 🤣

Shamefu
 
Na tatizo kubwa alilo analo Donald Trump ni kwamba jaji atakaetoa hukumu ni yuleyule jaji ambae yeye)mwenyewe Donald Trump amekuwa akitoa kauli za kumkashifu kwamba ni fisadi, mla rushwa na mbembezu.
So?

Huyo jaji hawezi tu kujitungia hukumu zake anazotaka yeye.

Kuna miongozo ya kisheria.

Licha ya hivyo, ngoma bado mbichi na ikibidi itaenda mpaka kwenye mahakama ya upeo.
 
Back
Top Bottom