Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Books, movies/films, endorsements and advertising.Nani anampa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Books, movies/films, endorsements and advertising.Nani anampa?
Hata ccm hayo maujanja ya kibwege wamejifunzia huko huko kwa wanademokrasia wakuitwa democratic.Marekani ishageuka kuwa banana republic. Democrats wameiharibu nchi!
Absolutely garbage case. Total embarrassment for the American justice system.
Ipo siku na wao [Democrats] yatawatokea puani.
Now I want Trump to win in November.
Sipendi kabisa uonevu wa aina yoyote ile, hususan wa kisiasa.
Weaponizing the justice system to hurt your political opponents is the hallmark of a banana republic!!
Tofauti ya Democrats na CCM ni nini? 🤣
Shameful.
Kuchakachua nyaraka za biashara kumlipa pornstar afunge mdomo wake wakati wa kipindi cha uchaguzi wa 2016.Kwaiyo tuhuma ni kumchakata pornstar au kutumia hela yake kumuhonga pornstar
I think you’re going overboard mkuu. Hii kulinganisha justice system ya US na ya CCM haiko sawa kabisa. What happens in Tz is plain absurdity. Completely unintelligible.You know what? Ingekuwa ndo Biden anafanyiwa hivi, ningekuwa upande wake.
Sipendi uonevu.
Hiki kinachoendelea dhidi ya Trump ni lawfare.
Hata CCM huwa inatumia lawfare dhidi ya wapinzani. I’m against that too.
Having said that, I just went and donated money to Trump’s campaign.
Marekani ishageuka kuwa banana republic. Democrats wameiharibu nchi!
Absolutely garbage case. Total embarrassment for the American justice system.
Ipo siku na wao [Democrats] yatawatokea puani.
Now I want Trump to win in November.
Sipendi kabisa uonevu wa aina yoyote ile, hususan wa kisiasa.
Weaponizing the justice system to hurt your political opponents is the hallmark of a banana republic!!
Tofauti ya Democrats na CCM ni nini? 🤣
Shameful.
Trump akiwa Rais hakukuwepo na hizi vita zilizopo sasa.
Vita zote zilizopo sasa hivi zimetokea kipindi cha Biden.
Una akili kweli wewe?
I agree with you that it seems there are some forces behind Trump legal troubles, from both parties I might add. Although the indictments seems to be legit, the timing is suspect.Marekani ishageuka kuwa banana republic. Democrats wameiharibu nchi!
Absolutely garbage case. Total embarrassment for the American justice system.
Ipo siku na wao [Democrats] yatawatokea puani.
Now I want Trump to win in November.
Sipendi kabisa uonevu wa aina yoyote ile, hususan wa kisiasa.
Weaponizing the justice system to hurt your political opponents is the hallmark of a banana republic!!
Tofauti ya Democrats na CCM ni nini? 🤣
Shameful.
Hakughushi malipo ya huyo mcheza x?Ndiyo.
Kesi za kupikwa kwenye jurisdiction ambayo ni 85% ilipiga kura dhidi yako na ambayo iliendeshwa na mwendesha mashitaka wa chama cha Democrat…
Hakuna haki hapo.
100% this will be overturned on appeal. 100%.
Kuficha sio ishu. Alichoshitakiwa Trump ni kughushi nyaraka za biashara, which is a felony.I think you’re going overboard mkuu. Hii kulinganisha justice system ya US na ya CCM haiko sawa kabisa. What happens in Tz is plain absurdity. Completely unintelligible.
Kwa mfano, unaweza kulinganisha the suit and proceedings za kesi ya ugaidi ya Mbowe na hii ya Trump. Ile (ya Mbowe) was just a charade.
Hii ya Trump hata mimi imenishangaza. Yaani kuficha rushwa kwa changudoa ni suala zito hivyo? Anyway, I really respect the US justice system as I’m yet to see a better one.
Trump hakushitakiwa kwa kukopa ngono wala kuhonga. Marekani kuhonga sio kosa. Kashitakiwa kwa kughushi nyaraka za biashara ili ionyeshe kwamba hizo hela alizitumia kibiashara na sio kuhonga.Wamarekani waje wajifunze Tanzania. Eti kumkopa mwanamke ngono Ni kosa??? Au kuhonga Ni kosa? Watu wako bungeni kwasababu ya hongo, Kuna wanawake wamekalia vyeo kisa rushwa ya ngono.
Eti mcheza picha za ngono. Huku Africa watu wenye heshima na madaraka wanashiriki kabisa.
Aisee Ni ngumu Sana kuishi marekani.
Nadhani hata punyeto marekani Ni kosa na MTU unafungwa jela kabisa.
Mkuu kwako weye na kwa faida ya wengine, alokifanya Trump ni kuchakachua taarifa zake za fedha ili zisionyeshe ile hash money au fedha za kuziba mdomo.Hush money trial daah
Mimi mtu wa mahenge huku Iringa ndani ndani nitaelewa nini?
Jamaa ni mhalifu anayetakiwa kuwa jela. Mtu aliyekuwa anapiga yowe makamu wake anyongwe unasema anafanyiwa witch hunting!?
Nimeamua kusaidia fikra zako.Tatizo siwezi kuishi bila wanawake
Hujafanya sawa. Ww unaweza kuishi bila wanawakeNimeamua kusaidia fikra zako.
Inabidi unishukuru kwa hili.
Nimeamua kusaidia fikra zako.Tatizo hatuwezi kuishi bila wanawake
Inabidi unishukuru kwa kwa kujitolea kufanya hivi.Tatizo siwezi kuishi bila wanawake
Mwanamke sio engine ya moyo wangu mpaka niseme siwezi kuishi bila yeye.Hujafanya sawa. Ww unaweza kuishi bila wanawake
Acha politics ukiwa mwanaume kamili lazima uhitaji mwanamke.Mwanamke sio engine ya moyo wangu mpaka niseme siwezi kuishi bila yeye.