Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

Marekani ishageuka kuwa banana republic. Democrats wameiharibu nchi!

Absolutely garbage case. Total embarrassment for the American justice system.

Ipo siku na wao [Democrats] yatawatokea puani.

Now I want Trump to win in November.

Sipendi kabisa uonevu wa aina yoyote ile, hususan wa kisiasa.

Weaponizing the justice system to hurt your political opponents is the hallmark of a banana republic!!

Tofauti ya Democrats na CCM ni nini? 🤣

Shameful.
Hata ccm hayo maujanja ya kibwege wamejifunzia huko huko kwa wanademokrasia wakuitwa democratic.
 
Kwaiyo tuhuma ni kumchakata pornstar au kutumia hela yake kumuhonga pornstar
Kuchakachua nyaraka za biashara kumlipa pornstar afunge mdomo wake wakati wa kipindi cha uchaguzi wa 2016.
 
You know what? Ingekuwa ndo Biden anafanyiwa hivi, ningekuwa upande wake.

Sipendi uonevu.

Hiki kinachoendelea dhidi ya Trump ni lawfare.

Hata CCM huwa inatumia lawfare dhidi ya wapinzani. I’m against that too.

Having said that, I just went and donated money to Trump’s campaign.
I think you’re going overboard mkuu. Hii kulinganisha justice system ya US na ya CCM haiko sawa kabisa. What happens in Tz is plain absurdity. Completely unintelligible.

Kwa mfano, unaweza kulinganisha the suit and proceedings za kesi ya ugaidi ya Mbowe na hii ya Trump. Ile (ya Mbowe) was just a charade.

Hii ya Trump hata mimi imenishangaza. Yaani kuficha rushwa kwa changudoa ni suala zito hivyo? Anyway, I really respect the US justice system as I’m yet to see a better one.
 
Marekani ishageuka kuwa banana republic. Democrats wameiharibu nchi!

Absolutely garbage case. Total embarrassment for the American justice system.

Ipo siku na wao [Democrats] yatawatokea puani.

Now I want Trump to win in November.

Sipendi kabisa uonevu wa aina yoyote ile, hususan wa kisiasa.

Weaponizing the justice system to hurt your political opponents is the hallmark of a banana republic!!

Tofauti ya Democrats na CCM ni nini? 🤣

Shameful.

Trump akiwa Rais hakukuwepo na hizi vita zilizopo sasa.

Vita zote zilizopo sasa hivi zimetokea kipindi cha Biden.

Una akili kweli wewe?

Marekani ishageuka kuwa banana republic. Democrats wameiharibu nchi!

Absolutely garbage case. Total embarrassment for the American justice system.

Ipo siku na wao [Democrats] yatawatokea puani.

Now I want Trump to win in November.

Sipendi kabisa uonevu wa aina yoyote ile, hususan wa kisiasa.

Weaponizing the justice system to hurt your political opponents is the hallmark of a banana republic!!

Tofauti ya Democrats na CCM ni nini? 🤣

Shameful.
I agree with you that it seems there are some forces behind Trump legal troubles, from both parties I might add. Although the indictments seems to be legit, the timing is suspect.
But we can agree that Trump is a wacko, as we saw last time he was in charge. Maybe some people feel that he has to be stopped by any means necessary.
 
Ndiyo.

Kesi za kupikwa kwenye jurisdiction ambayo ni 85% ilipiga kura dhidi yako na ambayo iliendeshwa na mwendesha mashitaka wa chama cha Democrat…

Hakuna haki hapo.

100% this will be overturned on appeal. 100%.
Hakughushi malipo ya huyo mcheza x?
 
Bibi mwenyewe mbovuuu.
images (23).jpeg
 
Attachments

  • download (8).jpeg
    download (8).jpeg
    6.1 KB · Views: 2
I think you’re going overboard mkuu. Hii kulinganisha justice system ya US na ya CCM haiko sawa kabisa. What happens in Tz is plain absurdity. Completely unintelligible.

Kwa mfano, unaweza kulinganisha the suit and proceedings za kesi ya ugaidi ya Mbowe na hii ya Trump. Ile (ya Mbowe) was just a charade.

Hii ya Trump hata mimi imenishangaza. Yaani kuficha rushwa kwa changudoa ni suala zito hivyo? Anyway, I really respect the US justice system as I’m yet to see a better one.
Kuficha sio ishu. Alichoshitakiwa Trump ni kughushi nyaraka za biashara, which is a felony.
Kwa kumwambia Michael Cohen amlipe Stormy kisha yeye kum-refund Cohen halafu kuripoti malipo hayo kama business expense ndio kosa.
 
Wamarekani waje wajifunze Tanzania. Eti kumkopa mwanamke ngono Ni kosa??? Au kuhonga Ni kosa? Watu wako bungeni kwasababu ya hongo, Kuna wanawake wamekalia vyeo kisa rushwa ya ngono.
Eti mcheza picha za ngono. Huku Africa watu wenye heshima na madaraka wanashiriki kabisa.
Aisee Ni ngumu Sana kuishi marekani.
Nadhani hata punyeto marekani Ni kosa na MTU unafungwa jela kabisa.
Trump hakushitakiwa kwa kukopa ngono wala kuhonga. Marekani kuhonga sio kosa. Kashitakiwa kwa kughushi nyaraka za biashara ili ionyeshe kwamba hizo hela alizitumia kibiashara na sio kuhonga.
 
Hush money trial daah
Mimi mtu wa mahenge huku Iringa ndani ndani nitaelewa nini?
Mkuu kwako weye na kwa faida ya wengine, alokifanya Trump ni kuchakachua taarifa zake za fedha ili zisionyeshe ile hash money au fedha za kuziba mdomo.

Hawa wenzetu pale State hii yaitwa NDA au non disclosure agreement na so kosa la jinai.

Kosa hapo no kichakachua taarifa za hesabu zake.

Yaani Kama vile wataka kwenda kupeleka hesabu zako TRA lakini kuna fedha kiasi fulani ulitoa siku fulani na wataka isionyeshe.

Jambo la muhimu ni kwamba hili sio kosa kubwa na pia si lazima Trump apelekwe jela.

Watamtoza faini kubwa au kupunguza makosa ili asilipe faini kubwa.

Lakini ukweli ni kwamba pamoja na Donald Trump kupatikana na hatıa ya mashtaka yote 34 na convicted felony, utashangaa sana pale wamarekani wengi wa vitongojini watakapojitokeza tena kumpigia kura.
 
Sioni utofauti mkubwa kati ya Biden na Trump wote ni maharamia tu.

Utofauti ni kwamba mmoja amepata chance ya kumshughulikia mwenzake na scandal zake chance ambayo hata Trumpet akiipata ataitumia vyema.

Biden na mishe mishe za China😀
 
Back
Top Bottom