Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Marekani kuongozwa na mwanamke ingezorota sana.. Taifa la marekani ni taifa linalotawala dunia , kumpa mwanamke kuongoza na katika kipindi hiki cha vita ya mashariki ya kati kungeiangamiza marekani kiwepesi mno.
 
Angeshinda majimbo haya pia, ingekuwa pigo kubwa sana kwa Democrats. Imagine New York yenyewe ina electoral votes 28!
Kweli kabisa hayo ni majimbo ya mchanganyiko ya wamarekani weusi wengi na wale wenye asili ya Latin America na wahamiaji wengi.

Hivyo wahamiaji wengi wenye ukaazi halali nao wamempa kura K Harris kwasababu hawafahamu "how the system work".
 
Kwa hivyo ni wananchi ndo huamua mshindi na sio hao wajumbe 538 wa electoral college.
Sio kweli. Kama wananchi (popular votes)ndiyo wanaoamua nani awe Rais wao basi Hillary Clinton angekuwa Rais wa Marekani alipogombea na Trump maana Hillary Clinton alimshinda Trump kwa zaidi ya kura milioni tatu lakini Trump alitangzwa mshindi wa Urais baada ya kushinda kwenye electoral votes.

Sasa ubabaishaji huu una maana gani? Kwani wananchi wakifanya maamuzi moja kwa moja kuna shida gani?

Au wananchi wa Marekani hawana IQ za kujua nani anafaa kuwa Rais wao ndiyo maana hawaaminiwi badala yake wanachaguliwa Rais na watu wasiozidi 538.
 
Wenye akili tunaelewa ingawaje dt simuelewi baadhi ya sera zake nazielewa
Kwanza achukue nchi we all know that team Russia hatuipendi USA kutokana na Sera zake za uonevu Kwa mataifa mengine , Lakini ni Bora ashinde Trump Ambaye haamini ktika vita / haamini katika ushoga na usagaji kuliko Raisi wa Dunia atokee ktika chama cha kina Obama wale washenzi
 
Kuna mwaka Mtu alitangazwa kashinda uchaguzi huko Zanzibar, siku hiyo hiyo akaapishwa usiku.
USA utaratibu ukoje?
 
That is what we need...Trump all the way
 
Marekani kuongozwa na mwanamke ingezorota sana.. Taifa la marekani ni taifa linalotawala dunia , kumpa mwanamke kuongoza na katika kipindi hiki cha vita ya mashariki ya kati kungeiangamiza marekani kiwepesi mno.
Mifumo yao ni ile ya zidumu fikra za mwenyekiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…