MussaMsami
Member
- Mar 24, 2024
- 45
- 38
😆😆😆😆😆😆Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kumuwezesha Trump kushinda kiti cha urais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆😆😆Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kumuwezesha Trump kushinda kiti cha urais
Upumbafu at the peakTunamshukuru sana Rais Samia kwa kumuwezesha Trump kushinda kiti cha urais
Suluhisho kwa sisi we nye vichwa vigumu ni nini?Angalao tujikomboe.Watanzania tuna vichwa vigumu balaa. Ila wewe cha kwako ni zaidi
Dah inauma sanaKawaida hiyo asiyekubali kushindwa huwa sio msindani
Basi usihofu bonga na Baba mkwe kabla hajasogea jumba jeupe itakuwa rahisi zaidi.Ila mimi jamani nampenda huyu mtoto wa mwisho wa Trump (Barron)
Nakapendaga kweli yani.
Nawaona Kobaaz pale kama wamenuna vile......Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari
=====
Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani.
View attachment 3144969
Chanzo: Spectator Index
Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote ametalikiana nao. Mke wake wa sasa ni Bi Melania.
Bwana Trump ana watoto watoto watano, watatu wa kiume Donald Trump Jr, Eric, Barron na watoto wawili wa kike Ivanka na Tiffany.
Rais huyo wa Zamani wa Marekani alizaliwa Juni 14 mwaka wa 1946, mjini New York, akiwa mtoto wa tano kati ya watoto sita.
Babake Fred alikuwa tajiri aliyemilki majumba na babu zake Trump walikua wahamiaji kutoka Ujerumani.
Mamake Mary alikuwa mzaliwa wa Scotland.
Tangu utotoni, Trump alikuwa mtundu na wazazi wake walimpeleka shule ya msingi iliyofadhiliwa na jeshi mjini New York.
Baadaye alifuzu kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania, kitivo cha elimu ya biashara mwaka wa 1968.
Alifanya kazi katika kampuni ya babake ambaye aliendesha biashara ya kuuza nyumba kwa raia wa kipato cha kadiri, viungani mwa New York.
Hata hivyo Donald Trump alikuwa na ndoto ya kufanya biashara nje ya makaazi ya Queens na Brooklyn.
Aliwekeza katika biashara kubwa ya ujenzi na kuweza kujenga mojawapo ya mijengo ya kifahari zaidi nchini Marekani. Alifanikiwa kutokana na sera ya kiuchumi iliyowekwa na utawala wa Reagan miaka wa 1980.
Yapo mahoteli, viwanja vya mchezo wa gofu, makazi ya kifahari, majumba ya kamari kutoka Carlifonia hadi Mumbai nembo yake ikiwa ni Trump.
Ameandika Riwaya kadhaa kuhusu biashara, huku umaarufu wake uking'aa zaidi katika makala yanayoelezea maisha halisi, "The Apprentice," katika runinga ya NBC. Hata hivyo alitupwa nje ya makala hayo baada ya kutoa kauli zilizowakera raia wa Mexico.
Sio kwa namna hiyo, nampenda kama mtoto.Basi usihofu bonga na Baba mkwe kabla hajasogea jumba jeupe itakuwa rahisi zaidi.
Yupo wapi hivi sasa huyu Mzee ama anasetii mipango uwanja wa mazoezi?Wazee wa bao la mkono.... 🤣 🤣
Kwahiyo mkuu umechukulia serious?Upumbafu at the peak