Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Tazameni wenyewe

Miaka minne baada ya kuondoka Ikulu ya White House, Donald Trump anatazamiwa kureudi tena, baada ya mamilioni ya Wamarekani kupiga kura kumpa nafasi ya pili.
-
Haya ni baadhi ya matukio katika usiku wa uchaguzi ikijumuisha baadhi ya matukio wakati kura zikiendelea kuhesabiwa.

-
Snapinsta.app_465376050_970086148487226_8767297433393633528_n_1080.jpg
Snapinsta.app_465710036_970086168487224_1334585780041971132_n_1080.jpg
Snapinsta.app_465799586_970086208487220_1360336108866843438_n_1080.jpg
 
Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari

=====

Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani.

View attachment 3144969
Chanzo: Spectator Index

Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote ametalikiana nao. Mke wake wa sasa ni Bi Melania.

Bwana Trump ana watoto watoto watano, watatu wa kiume Donald Trump Jr, Eric, Barron na watoto wawili wa kike Ivanka na Tiffany.

Rais huyo wa Zamani wa Marekani alizaliwa Juni 14 mwaka wa 1946, mjini New York, akiwa mtoto wa tano kati ya watoto sita.

Babake Fred alikuwa tajiri aliyemilki majumba na babu zake Trump walikua wahamiaji kutoka Ujerumani.

Mamake Mary alikuwa mzaliwa wa Scotland.


Tangu utotoni, Trump alikuwa mtundu na wazazi wake walimpeleka shule ya msingi iliyofadhiliwa na jeshi mjini New York.

Baadaye alifuzu kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania, kitivo cha elimu ya biashara mwaka wa 1968.

Alifanya kazi katika kampuni ya babake ambaye aliendesha biashara ya kuuza nyumba kwa raia wa kipato cha kadiri, viungani mwa New York.

Hata hivyo Donald Trump alikuwa na ndoto ya kufanya biashara nje ya makaazi ya Queens na Brooklyn.

Aliwekeza katika biashara kubwa ya ujenzi na kuweza kujenga mojawapo ya mijengo ya kifahari zaidi nchini Marekani. Alifanikiwa kutokana na sera ya kiuchumi iliyowekwa na utawala wa Reagan miaka wa 1980.

Yapo mahoteli, viwanja vya mchezo wa gofu, makazi ya kifahari, majumba ya kamari kutoka Carlifonia hadi Mumbai nembo yake ikiwa ni Trump.

Ameandika Riwaya kadhaa kuhusu biashara, huku umaarufu wake uking'aa zaidi katika makala yanayoelezea maisha halisi, "The Apprentice," katika runinga ya NBC. Hata hivyo alitupwa nje ya makala hayo baada ya kutoa kauli zilizowakera raia wa Mexico.
Nawaona Kobaaz pale kama wamenuna vile......
 
Mama anaupiga mwingi, amesababisha Harris kukosa ushisndi
 
Nchini Tanzania sasa..
 
“The conversation was warm and cordial,” Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu’s office said in a statement. “The Prime Minister congratulated Trump on his election victory, and the two agreed to work together for Israel’s security. The two also discussed the Iranian threat.”

Netanyahu’s office said he was among the first world leaders to call Trump after his victory.
 
Democrats wamechukua L na kwenda Nyumbani sio kama MAGA Trump ambao wangesema wameibiwa Kura.
 
Back
Top Bottom