Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Siku P.Diddy akisema yeye ni myahudi kuna watu watakubali fasta mwaliko wake wa kwenda kuangalia runinga chumbani kwake kwa jinsi walivyo na mahaba na Wayahudi!
 
kamala harris alikuwa hawapendi waisraeli japo usoni na kimatamshi alikuwa akijifanya kuwa nao na wamemmaliza
Hapa ndio umetoa hoja kabisa?, na ukamaliza kabisa?

Kwa nini mnapenda kuidhalilisha JamiiForums? Watu wa maana wengi wameshaikacha, kwa sababu ya watu kama nyie.

Basi sawa, hakuna noma. Acha na mimi niikimbie.
 
Hivi unafahamu kwanini wamarekani wana shauku sana ya Trump kurudi madarakani? Sababu Trump ni nationalist na anaenda kukata misaada yote kwa hao Israel. Acha kusoma viblogs vya ajabu ajabu badala yake nenda YouTube au X ukasome comments za wenye nchi yao wanasemaje. But it doesn't matter sababu Tanzania mpaka leo bado inalia shida ya maji na umeme.

Alafu acha kuramba miguu ya hao wajinga, ni watu kama wewe mmatumbi.
''Alafu''?
Hiki kizazi ni lazima tuwaache tu muendelee na lugha zenu mnazozijua.
Hakuna namna.
 
safi sana marekani,mwanamke hafai kushika madaraka ya juu kama hayo
 
Sizungumzii Chandema nazungumzia mkutano mkuu ndani Mambo siyo shwari sana. Na kauli za wananchi walio wengi mioyo imekunjana hali ni ngumu.
 
Mbona kijana wa 60 anabwagwa na kizee cha 80
Kwa sababu Kamala alisukumizwa hakuwa na wazo Wala hajawahi jiandaa kugombea Urais maana Chama kilishampa Tiketi Biden.

Tramp Toka alivyoshindwa Urasi alianza kujiandaa na Urais,Kamala kasulumizwa ndani ya miezi 3,ulitegemea miujiza gani?
 
Acheni visingizio huyo jamaa ni genius kama anavyowatafuta ma genius wenzake,sio kusumbuana na vilaza.
 
Hivi unafahamu kwanini wamarekani wana shauku sana ya Trump kurudi madarakani? Sababu Trump ni nationalist na anaenda kukata misaada yote kwa hao Israel. Acha kusoma viblogs vya ajabu ajabu badala yake nenda YouTube au X ukasome comments za wenye nchi yao wanasemaje. But it doesn't matter sababu Tanzania mpaka leo bado inalia shida ya maji na umeme.

Alafu acha kuramba miguu ya hao wajinga, ni watu kama wewe mmatumbi.
Umesema Tanzania bado inalia shida ya maji na umeme? Vitu vikubwa sana hivo bro; sema hivi, "Tanzania bado inaomba msaada wa kujengewa vyoo vya shimo mashuleni"

Back to Israel Vs USA. Trump ni muhafidhina zaidi kuliko hata Biden na Kamala kuhusu Israel, jamaa ana amini katika Israel sana kuwazidi Marais wengi wa democratic waliowahi kutawala Marekani na in fact most Republicans presidents wanaonekana hivo, Obama, Clinton, Biden mara zote wameonekana wapo moderate kulinganisha na Bush Sn na Bush Jr, Reonald Reagan na Trump mwenyewe; huyu ndio aliyepiga mkwara akiwa madarakani hadi kuhamisha ofisi za ubalozi from Tel Aviv to Jerusalem, remember moja kati ya mgogoro mkubwa sana na mataifa ya kiarabu na Israel then ni huo mji wa Jerusalem, mgogoro wa Israel na Palestinian ni ardhi BUT when it comes to Jerusalem then mgogoro unakua mkubwa zaidi cause unakua kati ya Israel na jumuia za kiislam duniani na issue ni ule msikiti. Jerusalem ni mji mtakatifu kwa dini zote 3, uislma, Judaism na Christianity though kwa Wakristo wata slide upande wa Judaism cause sababu zao zinafanana, now mwamba Trump akaukuza zaidi mgogoro. So kwangu mimi, Trump is more radical kuliko Kamala when it comes to middle east crisis
 
Back
Top Bottom