USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Haitimii mpaka itimie baada ya chapisho la mange kule X akidai kuwa kuna utata katika nini kitafuata baada ya Trump kushinda na kuja na sera ya kuwarejesha wakimbizi uchwara makwao na yeye akiwa kwenye list .
Mbali na Mange yupo pia mwanamziki Roma mkatoliki aliyekimbilia Marekani kwa kisingizio cha kutaka kuuwawa na watu aliowatukana kwa kuwaimbia muziki
USSR
Mbali na Mange yupo pia mwanamziki Roma mkatoliki aliyekimbilia Marekani kwa kisingizio cha kutaka kuuwawa na watu aliowatukana kwa kuwaimbia muziki
USSR