Mmmmmm muda utaongea......Haitimii mpaka itimie baada ya chapisho la mange kule X akidai kuwa kuna utata katika nini kitafuata baada ya Trump kushinda na kuja na sera ya kuwarejesha wakimbizi uchwara makwao na yeye akiwa kwenye list .
Mbali na Mange yupo pia mwanamziki Roma mkatoliki aliyekimbilia Marekani kwa kisingizio cha kutaka kuuwawa na watu aliowatukana kwa kuwaimbia muziki
USSR
Wauaji mnaendelea kujianika tu, wewe mbona unajulikana !Haitimii mpaka itimie baada ya chapisho la mange kule X akidai kuwa kuna utata katika nini kitafuata baada ya Trump kushinda na kuja na sera ya kuwarejesha wakimbizi uchwara makwao na yeye akiwa kwenye list .
Mbali na Mange yupo pia mwanamziki Roma mkatoliki aliyekimbilia Marekani kwa kisingizio cha kutaka kuuwawa na watu aliowatukana kwa kuwaimbia muziki
USSR
Unaelimisha kichwa kilichojaa mchanga mtupu!Mange tayari ana green card, hivyo hawezi rudishwa.
Roma ameenda kama "Mkimbizi wa Kisiasa", hivyo naye hawezi fukuzwa.
Halafu Trump siyo Ultimatum kama ilivyo kwa nchi zetu.
Umemaliza 😂😂😂Wakirudishwa wewe unapata ugali sio.
Waununio wajinoe basi kabisa, huku wakisheherekea kuwafikia washindani wao katika hoja,mitazamo na itikadi.Haitimii mpaka itimie baada ya chapisho la mange kule X akidai kuwa kuna utata katika nini kitafuata baada ya Trump kushinda na kuja na sera ya kuwarejesha wakimbizi uchwara makwao na yeye akiwa kwenye list .
Mbali na Mange yupo pia mwanamziki Roma mkatoliki aliyekimbilia Marekani kwa kisingizio cha kutaka kuuwawa na watu aliowatukana kwa kuwaimbia muziki
USSR
Mange ameolewa kule na watoto wake ni raia wa marekani hawezi kurudishwa kirahisi rahisi tu, hata roma pia anaishi kama mkimbizi wa kisiasa uyo kurudi ni aamue tu yeye mwenyewe.Haitimii mpaka itimie baada ya chapisho la mange kule X akidai kuwa kuna utata katika nini kitafuata baada ya Trump kushinda na kuja na sera ya kuwarejesha wakimbizi uchwara makwao na yeye akiwa kwenye list .
Mbali na Mange yupo pia mwanamziki Roma mkatoliki aliyekimbilia Marekani kwa kisingizio cha kutaka kuuwawa na watu aliowatukana kwa kuwaimbia muziki
USSR
Sio Ultimatum kwa sasa ila kwa mabadiliko ya kisheria anayoenda kufanya atakuwa ultimatum😂! Kitengo cha haki na sheria anataka kukiweka chini ya raisi.Mange tayari ana green card, hivyo hawezi rudishwa.
Roma ameenda kama "Mkimbizi wa Kisiasa", hivyo naye hawezi fukuzwa.
Halafu Trump siyo Ultimatum kama ilivyo kwa nchi zetu.
Sidhani kama bunge litaafikiSio Ultimatum kwa sasa ila kwa mabadiliko ya kisheria anayoenda kufanya atakuwa ultimatum😂! Kitengo cha haki na sheria anataka kukiweka chini ya raisi.
Anafikiri US ni shithole dona kantriSidhani kama bunge litaafiki
Hayo ni ya kwakoMarekani vyama vikuu ni viwili tu R na D hawa wengine ni wasindikizaji tu...Trump kaupiga mwingi