dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Huwa nashangaa sana wanawake wanao-support ushoga! Mtazalishwa na nani sasa?Mi nimefurahi wanawake tunazingua..
Yeye Kamala anakubali ushoga
Yeye Kamala anakubali utoaji mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nashangaa sana wanawake wanao-support ushoga! Mtazalishwa na nani sasa?Mi nimefurahi wanawake tunazingua..
Yeye Kamala anakubali ushoga
Yeye Kamala anakubali utoaji mimba
Sio kweli. Kama wananchi (popular votes)ndiyo wanaoamua nani awe Rais wao basi Hillary Clinton angekuwa Rais wa Marekani alipogombea na Trump maana Hillary Clinton alimshinda Trump kwa zaidi ya kura milioni tatu lakini Trump alitangzwa mshindi wa Urais baada ya kushinda kwenye electoral votes.
Sasa ubabaishaji huu una maana gani? Kwani wananchi wakifanya maamuzi moja kwa moja kuna shida gani?
Au wananchi wa Marekani hawana IQ za kujua nani anafaa kuwa Rais wao ndiyo maana hawaaminiwi badala yake wanachaguliwa Rais na watu wasiozidi 538.
Tunaishukuru sana na kuipongeza serikali ya mama kwa kufanikisha hiliJabali limerudi viongozi wa Africa wajiandae
Mwisho wa KUNUKUU
I🤣Tunaishukuru sana na kuipongeza serikali ya mama kwa kufanikisha hili
Hiyo electrol vote naona ni km inabalance maamuzi ya majimbo yote. Kwa maana wanaondoa ule uwezekano wa majimbo machache yenye watu wengi kufanya maamuzi ya kuamua nani awe rais wa marekani.Sasa ina maana gani hii? Mbona ni kupoteza muda kusiko na maana yoyote.
Kama kushinda popular votes ndiyo kushinda electoral votes kwanini isiachwe tu hiyo popular votes?
Hillary Clinton alipogombea na Donald Trump, Hillary Clinton alimshinda Trump kwenye popular votes lakini Trump akamshinda Hillary Clinton kwenye electoral votes na kupelekea Trump kuwa Rais wa Marekani.
Sasa hoja yako ya kwamba popular votes na electoral votes zinaendana mbona kama haina uhalisi?
Viongozi wabinafsi ni kujilimbikizia mali utazani wakifa wanaondoka nazoNi aibu kwa bara la Afrika,lenye natural resources na human resources ya kutosha, kutembeza bakuri ughaibuni na mbaya zaidi viongozi wamekuwa madalali na makuwadi wa rasilimali.
When it was great???Trump amerejea tena kuwa Raisi wa Marekani,
Make America great Again
Nifah, mwambie Habibu a.k.a The bold, arudi kuwa active humi jukwaani tuna miss makala zake.Mjanja kama mimi nikawe upande wa akili ndogo Zele kweli?
Inaumiza sanaSisi tunaendelea na mazingaombwe ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hongera zake aiseeInavyoelekea na popular votes atashinda.
Omba kueleweshwa haraka, mkuu. Vinginevyo utaendelea na ujinga wako kichwani hadi mwisho wa dunia.Uchaguzi wa kupitishwa na watu 270 kati ya 538 wa Electoral College kuwa Rais wa USA hata kama raia wengi wa USA hawajakuchagua?
Halafu wanazishadadia na kuzisema nchi zingine kwamba hazina demokrasia na kubeza chaguzi zake kwamba zimegubikwa na udanganyifu?
Waendelee na mfumo wao huo wa kiimla; lakini waache kuingilia mifumo ya mataifa mengine, maana hata wao hawana demokrasia ya kweli.
Minne; USA siyo URT.
Muulize Saa100Swali: hivi Trump alishawahi kutembelea nchi yoyote barani Africa wakati wa utawala wake wa nyuma.
HAKUNA KAMA MAMA WEWE ENDEELEA TU NA CHUKI ZAKO.Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa linapokuja
suala la kuongoza nchi.
Donald Trump has no issues with the shithole countries.Jabali limerudi viongozi wa Africa wajiandae
Mwisho wa KUNUKUU