Donald Trump atangaza kusitisha mapigano na Wahouthi baada ya Wahouthi ya "kujisalimisha"

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Wakuu,

Donald Trump alisema kwamba Marekani itasitisha mashambulizi dhidi ya Wahouthi nchini Yemen kwa sababu kundi hilo "limejisalimisha", huku Oman ikithibitisha kuwa makubaliano ya "kusitisha mapigano" yamefikiwa na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran ili likome kulenga meli katika Bahari Nyekundu.

"[Wahouthi] hawataki kupigana tena, na tutaheshimu hilo na kusitisha mashambulizi ya mabomu, kwani wamejisalimisha," alisema Trump akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Kanada, Mark Carney, katika Ikulu ya White House.

Muda mfupi baadaye, waziri wa mambo ya nje wa Oman alichapisha kwamba makubaliano hayo yanamaanisha kuwa hakuna upande utakaomshambulia mwenzake, "na hivyo kuhakikisha uhuru wa meli kusafiri na mtiririko mzuri wa biashara ya kimataifa baharini."

============================================

Donald Trump said the US would stop attacking the Houthis in Yemen because the group had "capitulated", as Oman confirmed a "ceasefire" had been reached with the Iran-backed group for it to stop targeting shipping in the Red Sea.

"[The Houthis] just don't want to fight, and we will honour that and we will stop the bombings, and they have capitulated," he said, speaking alongside Canadian Prime Minister Mark Carney in the White House.

Shortly afterwards the Omani foreign minister posted that the deal meant neither side would target the other, "ensuring freedom of navigation and the smooth flow of international commercial shipping".

The Houthis have yet to comment.

Source: BBC News
 
Vita vya majini kati ya mataifa kadhaa na Yemen vina historia ndefu.Vilianza na nchi karibu 30 zikiwemo nchi jirani za kiarabu.Nchi za kiarabu moja baada ya nyengine zilijiondokea kwenye ushirika huo na kuiwacha Marekani na mataifa ya Ulaya ambapo nayo yote yalijiondoa kimya kimya na kuiacha Marekani,Uiengereza na Israel mwenyewe.
Mwishowe Marekani imejitoa kwenye vita na Houth na kumwachia Israel pekee baada ya kufanya suluhu na wanamgambo hao mahiri.
Oman imethibitisha kuwa Houth na Marekani wamekubaliana kutoshambuliana kwenye bahari nyekundu baada ya vita baina yao vya zaidi ya mwaka mmoja.
Suluhu hii imekuja siku chache tu baada ya meli ya kivita ya Marekani kushamuliwa na maroketi na droni za Houth na hatimae kupoteza ndege moja ya kivita na vifaa kazi ndani ya meli hiyo.
Meli hiyo ya USS truman kwa sasa iko mbioni kurudi nyumbani baada ya kupata majeraha.

Webabu.....Unahitaji kupimwa akili jamaa yetu!
 
We jamaa kwa uongo tu una PhD au unalipwa na maauthi wa Yemen nini? au maaba shatashata kwa waarabu waliokupa dini na sio elimu nini?
 
Hana kitu cha maana kuelezea hapa! Wale Jamaa zao ktk iman wakielemewa na kipigo karibia kushindwa mpambano. Huyu Webabu na wenzie huwaga wanahamisha magoli kwa hoja za kufikirika na utetezi wa kuunga unga
 
Kila anaye dhania Al Houth wamesurrender akapime alili zake aliye surrender ni USA.

Muongeaji wa Al Houth anamcheka Trump anasema yeye ndiye aliye surrender. Anasema US na UK walienda msaidia Israel na sisi tuliwambia tokea mwanzo vita hatusimamishi mpaa vita vya Gaza viishe na Aondolewe Gaza blocked tutaendelea kuzuia meli zinazo kwenda Israel. Hata kama meli ya US ikienda Israel tutaipiga. Pia lazima US alipe aliyo haribu Yemen.

Kuhusu Trump wache aongee anacho taka kuongea, sisi hatuna time na kelele za Trump ukweli Oman ndiye anaujua ukweli.

Kuhusu Israel kupiga Sanaa Yemen international Airport, wamepiga bandar anasema kweli wao wanao uwezo wakupiga infrastructure lakini weka akilini watalipa tu walio vunja Yemen sio wao tu pia US, UAE, Saud Arabia watalipa tu. Kama hawalipi tupo tayari kuendelea nao vita mpaa siku ya kiyama. Hapo Israel kaukalia kama walivyo ukalia Saud Arabia. UAE. USA watalipishwa walio yavunja kule Yemen

Israel hana ubavu wa kuzuia Missiles zetu kwenda kwao na vita hatutasimamisha mpaa vita vya Gaza viishe na pia walipe walio haribu Yemen.

View: https://youtu.be/OV5wWoI_Mx4?si=N76Z1wcO4QjW-A9s
 
Vita vya majini kati ya mataifa kadhaa na Yemen vina historia ndefu.Vilianza na nchi karibu 30 zikiwemo nchi jirani za kiarabu.Nchi za kiarabu moja baada ya nyengine zilijiondokea kwenye ushirika huo na kuiwacha Marekani na mataifa ya Ulaya ambapo nayo yote yalijiondoa kimya kimya na kuiacha Marekani,Uiengereza na Israel mwenyewe.
Mwishowe Marekani imejitoa kwenye vita na Houth na kumwachia Israel pekee baada ya kufanya suluhu na wanamgambo hao mahiri.
Oman imethibitisha kuwa Houth na Marekani wamekubaliana kutoshambuliana kwenye bahari nyekundu baada ya vita baina yao vya zaidi ya mwaka mmoja.
Suluhu hii imekuja siku chache tu baada ya meli ya kivita ya Marekani kushamuliwa na maroketi na droni za Houth na hatimae kupoteza ndege moja ya kivita na vifaa kazi ndani ya meli hiyo.
Meli hiyo ya USS truman kwa sasa iko mbioni kurudi nyumbani baada ya kupata majeraha.
Hiyo ni TAQIYYAH kusema uongo kwenu ni jadi!!!
 
US km nchi haina hela,na Trump mikakati yake ni kubana matumizi,kingine Yemen hakuna malighafi nyingi km Iran or Iraq or Afghanistan hivyo haoni faida
 
Kila anaye dhania Al Houth wamesurrender akapime alili zake aliye surrender ni USA.

Muongeaji wa Al Houth anamcheka Trump anasema yeye ndiye aliye surrender. Anasema US na UK walienda msaidia Israel na sisi tuliwambia tokea mwanzo vita hatusimamishi mpaa vita vya Gaza viishe na Aondolewe Gaza blocked tutaendelea kuzuia meli zinazo kwenda Israel. Hata kama meli ya US ikienda Israel tutaipiga. Pia lazima US alipe aliyo haribu Yemen.

Kuhusu Trump wache aongee anacho taka kuongea, sisi hatuna time na kelele za Trump ukweli Oman ndiye anaujua ukweli.

Kuhusu Israel kupiga Sanaa Yemen international Airport, wamepiga bandar anasema kweli wao wanao uwezo wakupiga infrastructure lakini weka akilini watalipa tu walio vunja Yemen sio wao tu pia US, UAE, Saud Arabia watalipa tu. Kama hawalipi tupo tayari kuendelea nao vita mpaa siku ya kiyama. Hapo Israel kaukalia kama walivyo ukalia Saud Arabia. UAE. USA watalipishwa walio yavunja kule Yemen

Israel hana ubavu wa kuzuia Missiles zetu kwenda kwao na vita hatutasimamisha mpaa vita vya Gaza viishe na pia walipe walio haribu Yemen.

View: https://youtu.be/OV5wWoI_Mx4?si=N76Z1wcO4QjW-A9s

Maneno ya Mwendawazimu aliyeko Milembe hospital
 
Vita vya majini kati ya mataifa kadhaa na Yemen vina historia ndefu.Vilianza na nchi karibu 30 zikiwemo nchi jirani za kiarabu.Nchi za kiarabu moja baada ya nyengine zilijiondokea kwenye ushirika huo na kuiwacha Marekani na mataifa ya Ulaya ambapo nayo yote yalijiondoa kimya kimya na kuiacha Marekani,Uiengereza na Israel mwenyewe.
Mwishowe Marekani imejitoa kwenye vita na Houth na kumwachia Israel pekee baada ya kufanya suluhu na wanamgambo hao mahiri.
Oman imethibitisha kuwa Houth na Marekani wamekubaliana kutoshambuliana kwenye bahari nyekundu baada ya vita baina yao vya zaidi ya mwaka mmoja.
Suluhu hii imekuja siku chache tu baada ya meli ya kivita ya Marekani kushamuliwa na maroketi na droni za Houth na hatimae kupoteza ndege moja ya kivita na vifaa kazi ndani ya meli hiyo.
Meli hiyo ya USS truman kwa sasa iko mbioni kurudi nyumbani baada ya kupata majeraha.

Taarifa hii imeripotiwa na mashirika mengi makubwa ya habari ikiwemo Reuters
 
Ile dini imewafanya vilaza wa kupindukia, so vita ya Gaza imeisha sio
 
Naona Trump hapa kweli wamesitisha Vita sasa sijajua wamesitisha vita ili ianze fitina au mana Marikani kwa fitna hajambo
 
Wanaitaka Iran kwakua wana Uranium, gas,madini na mafuta,Yemen wameyamaliza hakuna cha maana nikumaliza resources tu
 
Vita vya majini kati ya mataifa kadhaa na Yemen vina historia ndefu.Vilianza na nchi karibu 30 zikiwemo nchi jirani za kiarabu.Nchi za kiarabu moja baada ya nyengine zilijiondokea kwenye ushirika huo na kuiwacha Marekani na mataifa ya Ulaya ambapo nayo yote yalijiondoa kimya kimya na kuiacha Marekani,Uiengereza na Israel mwenyewe.
Mwishowe Marekani imejitoa kwenye vita na Houth na kumwachia Israel pekee baada ya kufanya suluhu na wanamgambo hao mahiri.
Oman imethibitisha kuwa Houth na Marekani wamekubaliana kutoshambuliana kwenye bahari nyekundu baada ya vita baina yao vya zaidi ya mwaka mmoja.
Suluhu hii imekuja siku chache tu baada ya meli ya kivita ya Marekani kushamuliwa na maroketi na droni za Houth na hatimae kupoteza ndege moja ya kivita na vifaa kazi ndani ya meli hiyo.
Meli hiyo ya USS truman kwa sasa iko mbioni kurudi nyumbani baada ya kupata majeraha.
Kuna kitu kizito kinaenda kutokea

Don't take life so seriously
 
Kila anaye dhania Al Houth wamesurrender akapime alili zake aliye surrender ni USA.

Muongeaji wa Al Houth anamcheka Trump anasema yeye ndiye aliye surrender. Anasema US na UK walienda msaidia Israel na sisi tuliwambia tokea mwanzo vita hatusimamishi mpaa vita vya Gaza viishe na Aondolewe Gaza blocked tutaendelea kuzuia meli zinazo kwenda Israel. Hata kama meli ya US ikienda Israel tutaipiga. Pia lazima US alipe aliyo haribu Yemen.

Kuhusu Trump wache aongee anacho taka kuongea, sisi hatuna time na kelele za Trump ukweli Oman ndiye anaujua ukweli.

Kuhusu Israel kupiga Sanaa Yemen international Airport, wamepiga bandar anasema kweli wao wanao uwezo wakupiga infrastructure lakini weka akilini watalipa tu walio vunja Yemen sio wao tu pia US, UAE, Saud Arabia watalipa tu. Kama hawalipi tupo tayari kuendelea nao vita mpaa siku ya kiyama. Hapo Israel kaukalia kama walivyo ukalia Saud Arabia. UAE. USA watalipishwa walio yavunja kule Yemen

Israel hana ubavu wa kuzuia Missiles zetu kwenda kwao na vita hatutasimamisha mpaa vita vya Gaza viishe na pia walipe walio haribu Yemen.

View: https://youtu.be/OV5wWoI_Mx4?si=N76Z1wcO4QjW-A9s

Wa houthi walikuwa wanazuia meli kupita na kwa mujibu wa msuluhishi wamekubali kutozuia meli hizo. Hapo nani ka surrender??
 
Nyie watu wakanisa ni watu wa ajabu sana wapi Al Houth karuhusu meli kwenda Israel? Al Houthi tokea mwanzo hawakuzuia meli za US au UK kupita Red Sea walicho zuia hizo meli kwenda Israel na mpaa sasa hakuna meli itakayo pita pale kwenda Israel iwe hata ya USA.

USA alijingiza hiyo vita kuondoa blocked alio fanyiwa Israel ka failed na yeye meli zake zikawa haziruhusiwi kupita Red Sea hata kama haziendi Israel. Sa USA kaona isiwe tabu kaomba poa na Sl Houth ili meli zake zisiguswe na yeye hata gusa Yemen tena, lakini Al Houth wamekubali kwa sharti meli zake sisiende Israel sa nani kashindwa hapo kwenye akili yako hahaha au nani kasurrender 🤣

View: https://youtube.com/shorts/0HD3f62ZmUg?si=ctuFLxh6PrUbMUUo

Ungelewa kiarabu ungemfahamu huyu semaji wa Al Houth anasema nini ni USA kaona anakula hasara hawezi kuvumilia hizo hasara kaomba Al Houthi waruhusu meli zake kupita Red Sea kapiga magoti hahaha
 
Back
Top Bottom