Donald Trump atangaza kusitisha mapigano na Wahouthi baada ya Wahouthi ya "kujisalimisha"

Donald Trump atangaza kusitisha mapigano na Wahouthi baada ya Wahouthi ya "kujisalimisha"

Nyie watu wakanisa ni watu wa ajabu sana wapi Al Houth karuhusu meli kwenda Israel? Al Houthi tokea mwanzo hawakuzuia meli za US au UK kupita Red Sea walicho zuia hizo meli kwenda Israel na mpaa sasa hakuna meli itakayo pita pale kwenda Israel iwe hata ya USA.

USA alijingiza hiyo vita kuondoa blocked alio fanyiwa Israel ka failed na yeye meli zake zikawa haziruhusiwi kupita Red Sea hata kama haziendi Israel. Sa USA kaona isiwe tabu kaomba poa na Sl Houth ili meli zake zisiguswe na yeye hata gusa Yemen tena, lakini Al Houth wamekubali kwa sharti meli zake sisiende Israel sa nani kashindwa hapo kwenye akili yako hahaha au nani kasurrender 🤣


View: https://youtube.com/shorts/0HD3f62ZmUg?si=ctuFLxh6PrUbMUUo

Ungelewa kiarabu ungemfahamu huyu semaji wa Al Houth anasema nini ni USA kaona anakula hasara hawezi kuvumilia hizo hasara kaomba Al Houthi waruhusu meli zake kupita Red Sea kapiga magoti hahaha

OK,nimekupata.
 
Back
Top Bottom