Donald Trump atoa tamko Iran yaweweseka ki-uchumi!!

Nilipogundua hilo nikakupuuza wewe endelea na matusi yako nimeshaelewa tatizo linalokukumba!!
Sasahivi kimyaaaa.
Usitafute huruma humu hakuna wa kuhurumia mtu mjinga kama ambae unaongozwa na hisia za chuki. Huna mbele wala nyuma
 
Si alisema ataivamia Iran kijeshi ,,mambo ya vikwazo ndio nn Tena ?mashoga yatabaki kua mashoga tuh pumbav zake
 
Sasa kama bei ya mafuta inapanda huoni sisi nchi masikini tunaumizwa bila sababu?
Leta mada alioni upuuuzi wa marekani kua unaleta shida Kwa watu wengi .lenyewe linazani ni waislam wanakomolewa ...
 
Si alisema ataivamia Iran kijeshi ,,mambo ya vikwazo ndio nn Tena ?mashoga yatabaki kua mashoga tuh pumbav zake
Kule Yemen kakutana na Marijal wameisha angusha F18 mbili na MQ karibu 20 na Carriers zake mbili zimeharibiwa vibaya kabaki kuilaumu mara China mara Iran hahaha. Ananikumbusha enzi zole tuko shule za msingi akipigwa mtu unasingiza kuna wengine walimsaidia yule unaye pigana naye wamempa tactics au walikurushia mchanga machoni 🤣
 
Leta mada alioni upuuuzi wa marekani kua unaleta shida Kwa watu wengi .lenyewe linazani ni waislam wanakomolewa ...
Hapa Uislamu wako unauingizaje?
 
Si alisema ataivamia Iran kijeshi ,,mambo ya vikwazo ndio nn Tena ?mashoga yatabaki kua mashoga tuh pumbav zake
Ukisikia kapiga kelele jua jiwe limempata kichwani wala usihangaike naye!!!!
 
Rais Donald Trump alitangaza kwamba ununuzi wote wa mafuta ya Iran na bidhaa za petrochemical lazima usitishwe mara moja. Alionya kuwa nchi yoyote au mtu yeyote anayeendelea na biashara hiyo atakabiliwa na vikwazo vingine, na hivyo kuwazuia kufanya biashara na Marekani. Tamko hili linafuatia kuahirishwa kwa mazungumzo ya nyuklia kati ya Marekani na Iran ambayo yalipangwa kufanyika mjini Roma, kuashiria kampeni mpya ya "shinikizo la juu" yenye lengo la kuzuia matarajio ya nyuklia ya Iran na kupunguza mauzo yake ya mafuta hadi sifuri.

Kuwekwa kwa vikwazo vya pili ni muhimu hasa kutokana na hadhi ya China kama muagizaji mkuu wa mafuta ghafi ya Irani. Wachambuzi wanapendekeza kwamba ukandamizaji kamili utahitaji kuwalenga wasaidizi wakuu, kama vile benki za China, ili kupunguza kikamilifu mauzo ya mafuta ya Iran.

Tangazo hilo tayari limeathiri soko la mafuta duniani, huku bei ikipanda karibu 2% kufuatia tishio la vikwazo vipya.
Ayaaaaaaaaaaa kwaiyo yaleeee madege B-52 na menginee yoteee ilikuwa Echolimai unatutishia nyau wazee wa manyahu nyahu!!!!

Ulijitutumua kila Siku UZi Sijui mindege Popo Bawa !!!

Sisi tulikwambia IRAN ndio alpha na umega akuna wakumgusa kwasasa wote wachumba tuuu..!!!!

Wana Technology kubwaaa Sana. Jamaaa uwelewagi ww na Jehova wako!!!!
 
Hapo Jehova kaingiaje??
 
Kwani Waisrael wakifanya Ugaid nyinyi sindio mnamsifia + Jehova wenu Badala ya kulia kwanini Jehova anawanyima akili na nguvu kiasi sasa mnatumia Vikwazo bin Ugaidi kusukuma ajenda zenu.. !!!!!

Jehova kawachoka au kagundua haki ipo wapi na Waisrael awa ni FAKE tu...
 
Rais Donald Trump alitangaza kwamba ununuzi wote wa mafuta ya Iran na bidhaa za petrochemical lazima usitishwe mara moja. Alionya kuwa nchi yoyote au mtu yeyote anayeendelea na biashara hiyo atakabiliwa na vikwazo vingine, na hivyo kuwazuia kufanya biashara na Marekani. Tamko hili linafuatia kuahirishwa kwa mazungumzo ya nyuklia kati ya Marekani na Iran ambayo yalipangwa kufanyika mjini Roma, kuashiria kampeni mpya ya "shinikizo la juu" yenye lengo la kuzuia matarajio ya nyuklia ya Iran na kupunguza mauzo yake ya mafuta hadi sifuri.

Kuwekwa kwa vikwazo vya pili ni muhimu hasa kutokana na hadhi ya China kama muagizaji mkuu wa mafuta ghafi ya Irani. Wachambuzi wanapendekeza kwamba ukandamizaji kamili utahitaji kuwalenga wasaidizi wakuu, kama vile benki za China, ili kupunguza kikamilifu mauzo ya mafuta ya Iran.

Tangazo hilo tayari limeathiri soko la mafuta duniani, huku bei ikipanda karibu 2% kufuatia tishio la vikwazo vipya.
US mwenyewe taaban kiuchumi, tariff za Trump madhara yamerudi kwake, urusi iliekewa vikwazo hivyo hivyo na imeshindikana
 
Mpaka usa wakija kujua wako nje ya muda mambo yatakuwa yameharibika. Nguvu inayotumia usa kudeal na iran ni kubwa kuliko hata ya wapiga kura wake
 
Hivi mnafikiri ni mara ya kwanza kwa Marekani kufanya hivyo kwa Iran?

China na Iran zinaendelea kupiga business ya wese na wala hawatumii SWIFT

HIii yote ni hasira ya China kupiga chini uagizaji wa LNG kutoka Marekani
 
Unajua maana ya Propaganda? Au unaposhindwa kujibu hoja unabwabwaja PROPAGANDA? Maana nilitarajia utatuelezea Propaganda kivipi!!
TUNAJUA TARRIF ZAKE MWENYEWE ZINAFANYA UCHUMI WA USA UNAYUMBA YUMBA SANA PIA
 
Ayaaaaaaaaaaa kwaiyo yaleeee madege B-52 na menginee yoteee ilikuwa Echolimai unatutishia nyau wazee wa manyahu nyahu!!!!

Ulijitutumua kila Siku UZi Sijui mindege Popo Bawa !!!

Sisi tulikwambia IRAN ndio alpha na umega akuna wakumgusa kwasasa wote wachumba tuuu..!!!!

Wana Technology kubwaaa Sana. Jamaaa uwelewagi ww na Jehova wako!!!!
Huyo kondoo hajui Iran ndio ni nchi pekee duniani inayo mtisha Israel
 
Israel ni overrated sana

Unakosea sana kusema Iran ndio nchi pekee inayomtishia Israel duniani

Israel ni nchi ya kawaida sana kwenye nguvu za kijeshi

Hata haifui dafu kwa nchi kama South Korea katika medani za nguvu za kijeshi

Israel iendelee kupambana na migambo wa Middle East ndio level zake
 
Rais Donald Trump alitangaza kwamba ununuzi wote wa mafuta ya Iran na bidhaa za petrochemical lazima usitishwe mara moja. Alionya kuwa nchi yoyote au mtu yeyote anayeendelea na biashara hiyo atakabiliwa na vikwazo vingine, na hivyo kuwazuia kufanya biashara na Marekani. Tamko hili linafuatia kuahirishwa kwa mazungumzo ya nyuklia kati ya Marekani na Iran ambayo yalipangwa kufanyika mjini Roma, kuashiria kampeni mpya ya "shinikizo la juu" yenye lengo la kuzuia matarajio ya nyuklia ya Iran na kupunguza mauzo yake ya mafuta hadi sifuri.

Kuwekwa kwa vikwazo vya pili ni muhimu hasa kutokana na hadhi ya China kama muagizaji mkuu wa mafuta ghafi ya Irani. Wachambuzi wanapendekeza kwamba ukandamizaji kamili utahitaji kuwalenga wasaidizi wakuu, kama vile benki za China, ili kupunguza kikamilifu mauzo ya mafuta ya Iran.

Tangazo hilo tayari limeathiri soko la mafuta duniani, huku bei ikipanda karibu 2% kufuatia tishio la vikwazo vipya.
Maumivi yatakuka Tanzania pia
 
Back
Top Bottom