Sala na Kazi
Senior Member
- Mar 8, 2025
- 171
- 81
Iran ni Taifa hatari sana
Kila goti litapigwaUmeshindwa hoja sasahivi unaongea kinidhamu matakoo wewe. Ukome kutukana dini za watu. Sasahivi kimyaaaa.
Kweli maneno yako nilicho kusudia Iran huwa anamtandika wengine kama Egypt, Algeria, Morocco pia wanaweza kumtandika lakini hawamtishi na hawamshambulii sababu ya uhusiano wao na USA isipokuwa Iran tu na wanamgambo kama Hezbullah. Hamas na pia Yemen Al Houthi hawa Israel hawawezi mpaa uingie mkono wa fitna kama vile Lebanon serekali ndio iliwalazimisha Hezbullah wasimamishe vita.Israel ni overrated sana
Unakosea sana kusema Iran ndio nchi pekee inayomtishia Israel duniani
Israel ni nchi ya kawaida sana kwenye nguvu za kijeshi
Hata haifui dafu kwa nchi kama South Korea katioa medani za nguvu za kijeshi
Israel iendelee kupambana na migambo wa Middle East ndio level zake
“Uongo Njoo utamu kolea “Kule Yemen kakutana na Marijal wameisha angusha F18 mbili na MQ karibu 20 na Carriers zake mbili zimeharibiwa vibaya kabaki kuilaumu mara China mara Iran hahaha. Ananikumbusha enzi zole tuko shule za msingi akipigwa mtu unasingiza kuna wengine walimsaidia yule unaye pigana naye wamempa tactics au walikurushia mchanga machoni 🤣
Mimi na uwongo wapi na wapi mimi sio mkanisa mimi ni Muislam“Uongo Njoo utamu kolea “
Urusi alipewa drone,zile drone zinatembea speed ndogo na Zina kelele angani na huitaji chombo chochote kukujuza kama drone inakuja au la!Iran ni Taifa hatari sana