Donald Trump atoa tamko Iran yaweweseka ki-uchumi!!

Irani natamani ingesambaratishwa Ili kuepa athari mbaya zaidi zijazo
 
Kweli maneno yako nilicho kusudia Iran huwa anamtandika wengine kama Egypt, Algeria, Morocco pia wanaweza kumtandika lakini hawamtishi na hawamshambulii sababu ya uhusiano wao na USA isipokuwa Iran tu na wanamgambo kama Hezbullah. Hamas na pia Yemen Al Houthi hawa Israel hawawezi mpaa uingie mkono wa fitna kama vile Lebanon serekali ndio iliwalazimisha Hezbullah wasimamishe vita.
 
“Uongo Njoo utamu kolea “
 
Iran ni Taifa hatari sana
Urusi alipewa drone,zile drone zinatembea speed ndogo na Zina kelele angani na huitaji chombo chochote kukujuza kama drone inakuja au la!
Balaa la Ile drone haikuishia hapo,inabeba na bomu.
Ili uiteremshe angani utumie dollar 150k,kenyewe kanauzwa dollar 30 k,Kwa kifupi ukiiacha inakutia hasara,ukiitungua inakutia hasara.
Mpaka Leo hii NATO uwanja umeinama Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…