Donald Trump: I Will Lock Mugabe, Museveni in Prison

Status
Not open for further replies.
yeye mwenyew anawez akaishia jela vilevile..........................shauri yake
 
we Nyani! waweke ushahidi gana uamini? Hiyo id kama ndo wewe basi tunajibizana na mwenye mtindio...

Hiyo habari ni hoax wewe.

Lakini kwa vile unaiamini basi sina jinsi ya kukushawishi.

Endelea kuwa mjinga na j.uha tu.
 
Hii balaa hapo nadhani ule utabiri wa profesa wake utakamilika
 

Waulize IRAQ na LIBYA ndipo utajua kama masuala ya Africa yanaihusu Marekani au la! Wamerekani wakisha amua kumwondoa Dikteta yoyote mahala popote duniani uwezo huo wanao!!We subiri ni swala la muda tu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…