Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,358
we Nyani! waweke ushahidi gana uamini? Hiyo id kama ndo wewe basi tunajibizana na mwenye mtindio...Huo ni uzushi, uongo mtupu.
Donald Trump hajawahi kusema hayo maneno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we Nyani! waweke ushahidi gana uamini? Hiyo id kama ndo wewe basi tunajibizana na mwenye mtindio...Huo ni uzushi, uongo mtupu.
Donald Trump hajawahi kusema hayo maneno.
we Nyani! waweke ushahidi gana uamini? Hiyo id kama ndo wewe basi tunajibizana na mwenye mtindio...
Hii habari kuwa Trump kasema kuhusu Mugabe na Museveni imekanushwa kuwa sio ya kweli ni uzushi tu kutoka mitandao ya majungu
Mythbuster: What Donald Trump didn't say about Africa - BBC News
Trump ni punga la kupitiliza, kwanza ni mbaguzi sasa masuala ya nchi za Africa yanamhusu nini? Siku marekani ikijidai kwenda kuvuruga nchi hizo mbili ajie Africa nzima itamvamia, wazungu wameshatuchefua kila kona ya nchi zetu wanakaa kuangalia movie tu. Shetani mkubwa na ashindwe.